Je, dini inaweza kukupeleka kwa Mungu?

Je, dini inaweza kukupeleka kwa Mungu?

Ningependa kujua, je, inawezekana kuwa Rais wa nchi wakati wewe si Raia wa nchi hiyo?

Pia ningependa kufahamu, Mungu ni wa dini gani? Je, ni Muislamu au Mkristo?

Kwa nini Masheikh na Wachungaji husema kwamba dini haiwezi kukufikisha Mbinguni?

Kama Dini haziwezi kutupeleka Mbinguni, basi kwa nini zipo? Kama Mungu yuko upande wa Wakristo, kwa nini hawapendelei?

Na kama Mungu ni wa Waislamu, kwa nini nao hawapendelei? Je, inamaanisha nini kusema kwamba Mungu ni wa kila mtu?

Kwa nini alitufanya tofauti kwa rangi? Na kwa nini alitufanya tofauti hata kwa jinsi tunavyoishi duniani au kwa kipato?

Kwanini aliumba shida na matatizo?

Na kusema kwamba alituumba kwa mfano wake, ningependa kujua, kama sisi ni mfano wa Mungu, je, hii inamaanisha kwamba Mungu anakula chakula, anaenda chooni, na pia anakabiliana na matatizo kama sisi?

Kama jibu ni hapana, kwa nini sisi, ambao ni mfano wa Mungu, tunateseka hivi wakati yeye ana uwezo mkubwa wa kutusaidia?
Nope, dini haikupeleki huko, matendo yako
 
Ambacho huelewi wewe ni kwamba mimi napinga uwepo wa Mungu anaye daiwa kwamba ndiye Monitor na controller wa mienendo yote ya binadamu na viumbe wote ulimwenguni.

Ambaye Mungu huyo anadaiwa kukaa mahali paitwapo mbinguni,

Pia amekaa anataka kuabudiwa na kuaminiwa na kila binadamu na ambaye asipo aminiwa na kuabudiwa hukasirika. Na ameandaa adhabu kwa watu wasio mwabudu.

Mimi napinga uwepo wa Mungu wa namna hii. Ndio maana napingana na watu wa dini.

Kwa vile wao, Huyo Mungu wao wana maanisha Mungu wa namna hiyo mwenye kutaka kuabudiwa na kuaminiwa.

Ila kama wewe huyo Mungu ni jina tu unalotumia kumaanisha hiyo intelligent ability beyond your understanding, Ni sawa.

Mimi pia natumia jina "Nature" ku refer uwezo huo uliyo beyond our understanding.
Hizo ni Imani mzee huhitaji kupinga imani ya mtu. Ni jambo ambalo lipo kwenye memory yake.

Ona sasa wewe umeanza kuita nature. Unachopinga wewe ni namna na wala hupingi uwepo wa dini

Ungeelewa concept ya dini usinge jihangaisha kumpinga mtu anayeamini.

Mambo ya dini ni moralities.

Sijui unaelewa hapo?
 
Una elewa nilicho andika?
 
Una elewa nilicho andika?
Labda hujaelewa ulichoandika. Tangu mwanzo nimekueleza Existence of God imetokana na curiosity ya watu.

Nikakupatia mfano mtoto wangu mdogo ananiona mimi ni Mungu lakini akikua ataanza kuwaza tofauti.

Imani ya mtu is too personal. Kwasababu is not tangible.

Kama wewe umewahi kuwa mkristo wa katoliki tueleze umegundua nini kuhusu Nature?
 
Umeelewa ni Mungu wa namna ninayempinga?

Karudie nilicho sema kuhusu ni aina gani ya Mungu ninayempinga.

Maana naona unataka mabishano yasiyo na tija.
 
Tatizo lako siyo kupinga, tatizo lako hujui. Kubali kufundishwa.
Your problem is you want to humanize the concept

Existence of God imetokana na curiosity of people. Na inatofautiana kati ya tamaduni na tamaduni, umri mmoja kwenda mwingine, Elimu na Elimu.

Ndiyo maana kuna wakati nilitaka tujadiliane kisayansi. Ukasema hujui sayansi.

Kwenye sayansi Energy is everything.

The law of conservation of energy states that energy can neither be created nor destroyed - only converted from one form of energy to another.

So we can Say Energy is a God of Science

Kama upo tayari nikuchanganulie zaidi.

Nitafanya hivyo.

Kuhusu Mungu gani unayempiga I don't care about it, because concept of God varies from one culture to another
 
Kama concept of God varies from one culture to another, Na usha elewa ni aina gani ya Mungu ninayempinga.

Then maelezo yako mengine kuhusu huyo Mungu ni blah! blah! tu.
 
Huwezi ukapinga concept just kwa kupinga. Leta alternative ya maswali yasiyojibika katika utamaduni huo.

Kama huna majibu basi kaa kimya. Utakuwa unaoiga kelele tu.

Waache waendelee na imani yao. Imani is a personal issue.

Wewe tafuta imani yako mpya
 
Hukatazwi kuwa na imani yako, ila Ukianza kudai kwamba imani yako ina ukweli lazima uthibitishe hilo.
 
Mzee nadhani upo na shida sehemu. Nimekueleza mambo ya Imani ni mambo ya mtu binafsi.

Jambo la Ukweli au siyo ukweli ni lako sasa. If someone believes on that faith it means anajua kwanini anaamini.

Kama upo na jambo ambalo ni alternative na imani yake mwambie kwa hekima na siyo kumchamba na kumtukana.

Imani is a personal issue lina gusa hisia za watu.
 
Kama imani ni jambo binafsi la mtu. msingeleta hizo imani zenu hapa kwenye public forum JF.

Kuja hapa public forum JF na kuanza kuhubiri maswala ya imani yako, ni kwamba umeiweka hiyo imani yako binafsi kwenye public na kwa vile ni public kila mtu ana uwezo wa kuichambua, kuikosoa na kuifanya chochote atakacho.

Kama imani ni jambo lako binafsi na hutaki imani yako ikosolewe, Unapaswa kubaki na hiyo imani yako hukohuko moyoni mwako, Sio kuja kuiongelea hiyo imani yako kwenye public.

Kama mtu anaamini kwenye imani fulani, Anapaswa kuamini binafsi Personally.

Lakini aki iweka hiyo imani yake kwenye public na kuanza kuhubiri kwa wengine kwamba hiyo imani yake ina ukweli lazima athibitishe hilo.

Kama imani ni personal issue, Hupaswi kuiweka public na kuanza kudai kwamba imani yako ndio sahihi, Halafu hutaki ikosolewe.

Ukishaweka imani yako public, Pia umekaribisha ikosolewe.
 
Maelezo yoote umeandika kitu kimoja tu. Unadai kwakuwa imani ni personal inatakiwa isiwekwe public. Na kama inawekwa public inatakiwa ikosolewa.

Sasa tuambie wapi umekosoa Imani ya Existence of God? Nimeona unasema hiyo imani uliyokuwa unaamini siyo kweli ni ya uongo. Sasa Imani ya kweli ni ipi?

Ukasema unaamini katika Nature. Alah!! kumbe na wewe upo na Imani yako!!! 🤣 🤣 🤣 🤣

Sasa unatakiwa uwashawishi wanaoamini kwa Mungu wao God waje kwako kwa Mungu wako Nature

Wapo watu wanaamini katika jua hupo mbali nao. Kwa sababu jua nalo ni part of Nature
Anzisha dini hujakatazwa
 
Una elewa ni aina gani ya Mungu ambaye watu dini, Huwa wanakuja kumuongelea hapa JF?

Uli elewa ni aina gani ya Mungu ninayempinga?
 
I don't care about which God unampinga. Kwakuwa umewatuhumu kuwa wanaabudu Mungu wa uongo, tueleze sasa Mungu wa ukweli ni yupi?
 
Dunia ndio ukweli uliopo na Dunia inathibitika ipo na kila mtu yupo ndani yake.

Dunia ndio asili ya kila kitu.

Mungu ni jina uchwara tu mlilotunga vichwani mwenu.
 
Unaongelea Dunia vipi kuhusu Jupiter? Hujui kuwa existence ya Jupiter affects life in the earth? Kwahiyo wewe kinachokukera ni Jina Mungu? Basi ngoja tubadilishe jina liwe Allah!! What about that?

Kwahiyo supernatural being yako ni Dunia? Kwahiyo na wewe unaamini? Na unaamini katika dunia?

Maswali ni mengi mno. Naomba uyajibu hayo machache.
 
Mimi najua kwamba Dunia na Universe kwa ujumla ndio vipo.

Na vinathibititika vipo

Hakuna Mungu, Allah au Yesu ambaye yupo.

Allah, Mungu, Yesu yote haya ni majina uchwara, Dhana za kufikirika zisizo katika uhalisia.
 
Kwahiyo unaamini katika Universe? Unaamini kitu gani?

Umesema Mungu ni dhana!!!

Mbona unarudi huko huko nilichokuwa nakuambia. God is not only a Name is a concept.

Unaonekana unabisha kitu ambacho hujui unabishia kitu gani.
 
Huyo Mungu ni concept yako.

Mimi siitambui.

Mimi siamini kwenye kuamini.

Mimi najua na natambua kwamba Universe na Dunia ndio vilivyopo.

Hivyo vya Mungu, Allah, God, Yahweh, Jehovah, Yesu ni Vikolombwezo vya watu tu na dhana za kufikirika mlizo zitunga vichwani mwenu.
 
Umetambua universe kutoka wapi? How does universe became to exist?

Concept of God is beyond the existence of Universe.
 
Back
Top Bottom