Je, dini inaweza kukupeleka kwa Mungu?

Je, dini inaweza kukupeleka kwa Mungu?

Ndio ni real.

Hizo Organ zote na system zote mwilini mwangu zipo na ninazo in reality.

Hata hizo DNA zinapimika in reality na mimi naweza kujua nina DNA kwa kujipima.

Mimi ni real ndio.
How can you measure photons? are massless na ndio zilizofanya yote haya
 
Ndio ni real.

Hizo Organ zote na system zote mwilini mwangu zipo na ninazo in reality.

Hata hizo DNA zinapimika in reality na mimi naweza kujua nina DNA kwa kujipima.

Mimi ni real ndio.
Nimekutoa kwenye Bing Bang sasa nakupeleka kwenye String theory Utanielewa tu hata kama kichwa chako ni kigumu.
 
Mjadala ni mzuri bila kujali utani unao endelea.
Mimi nilivyosoma hizo rejea Naona bado universe is not everything.

Mosi rejea inasema universe is created.
Who created it ?
And what was there before it's creation ?

Pili inasema Universe is expanding.
Expanding to where ?

Tatu inasema Universe contains everything in it.
How about out of universe ?

Hivyo ijulikane
Maswali ya Ki-imani hayawezi kuthibishwa na sayansi ambayo haisemi nini kipo nje ya Universe ambayo wanasayansi hawajaenda kufanya utafiti wao huko
And Vice-Versa.

Imani inasema Mungu ambaye ni Omnipresence, Yupo ndani na nje ya Universe.

Mjadala uendelee.
 
Kwa kutumia Photodetectors.
You detect or you measure. Detection ya photons hata macho yetu yanaweza fanya hivyo.

Photons are Electromagnetics waves mzee. They are massless.
Unajua photons zimeundwa na nini?
 
Kwanza hujathibitisha hiyo Bing-bang ilitoka wapi?

Na huko ilipotoka, kulifanyikaje?
Big bang is a theory mzee. Wala usitake turudi huko maana issue ya universe tumemalizana nayo. Sasa hivi tunaongelea small particles. Ndio maana nikakwambia usome String theory

Also ukiweza usome Quantum Physics
 
Kwa kutumia Photodetectors.
Ngona nikupigie vitu vichache vya Physics ili akili ichangamke kidogo.
Einstein energy equation?

1723636784092.png

E= Energy
m= Relative mass
c = speed of light

Hii formula unaweza kupata energy from nuclear reaction. Kwamba matter contains energy. Hizo matter ndani ya Atoms ni Quarks na vingine. But Quarks are made of what?

Photons energy
1723636607596.png

E = Energy
h= Planck's constant
f= Wave Frequency

Tunaona kabisa Photons hazina mass. Energy produced from vibration.
 
You detect or you measure. Detection ya photons hata macho yetu yanaweza fanya hivyo.

Photons are Electromagnetics waves mzee. They are massless.
Unajua photons zimeundwa na nini?
Electromagnetic radiation.
 
Big bang is a theory mzee. Wala usitake turudi huko maana issue ya universe tumemalizana nayo. Sasa hivi tunaongelea small particles. Ndio maana nikakwambia usome String theory

Also ukiweza usome Quantum Physics.
Mwanzoni nilikwambia kabisa,

Universe ilikuwepo, ipo na itaendelea kuwepo.

Ndio maana umeshindwa kuonyesha hiyo Big-bang ilipotokea.

Huoni sasa hiyo Bing-bang imeanzia kwenye universe ambayo ilikuwepo tangu mwanzo?
 
Yes radiations are waves are not matters
But hizo radiations zipo ndani ya Universe ndio maana umeweza kuzichunguza na kuzipima.

Sasa huwezi kusema kwamba universe is not everything.

Kwa sababu tayari hizo radiations zipo ndani ya Universe hii hii, uliyopo na tuliyopo wote.

Ndio maana umeweza kuzi dadisi.
 
Mwanzoni nilikwambia kabisa,

Universe ilikuwepo, ipo na itaendelea kuwepo.

Ndio maana umeshindwa kuonyesha hiyo Big-bang ilipotokea.

Huoni sasa hiyo Bing-bang imeanzia kwenye universe ambayo ilikuwepo tangu mwanzo?
Mzee mbona unaandika kama uneducated person? Big bang is a theory of Creation of universe. Wewe huna proof yoyote ya kuwa Universe ilikuwepo na itaendelea kuwepo. Haya ni maneno tu unaongea hayana proof yoyote.

Can you prove your claim?
 
But hizo radiations zipo ndani ya Universe ndio maana umeweza kuzichunguza na kuzipima.

Sasa huwezi kusema kwamba universe is not everything.

Kwa sababu tayari hizo radiations zipo ndani ya Universe hii hii, uliyopo na tuliyopo wote.

Ndio maana umeweza kuzi dadisi.
Those radiations created universe kwa wa mujibu Science.
 
Mzee mbona unaandika kama uneducated person? Big bang is a theory of Creation of universe. Wewe huna proof yoyote ya kuwa Universe ilikuwepo na itaendelea kuwepo. Haya ni maneno tu unaongea hayana proof yoyote.

Can you prove your claim?
Hata wewe Huna proof ya wapi au sehemu gani hiyo Bing-bang ilitokea.
 
Hizo radiations kabla yaku create Universe, Zilikuwa wapi?

Huko zilipokuwa, kulitoka wapi?

Na kulifanyikaje?
Sasa unaniulza mimi tena. Unatakiwa sasa wewe ujibu swali hilo. Tueleze Universe ilikuwaje kabla ya kuwa created.

Ukikubali kuwa Universe is not everything tutajadili kisomi
 
Sasa unaniulza mimi tena. Unatakiwa sasa wewe ujibu swali hilo.
Mimi nilishakujibu tangu mwanzoni, Tatizo lako huzingatii.

Nilikwambia na ninakwambia tena,

Kama kila kitu kilichopo lazima kiwe kina chanzo chake, Hata chanzo cha kila kitu, Lazima kiwe na chanzo chake.

Pasiwepo kitu chochote kile kilicho exist chenyewe pasipo chanzo, Maana kitazua maswali ya kiliwezaje ku exist chenyewe tu, pasipo chanzo.

Na kama si lazima kwamba kila kitu kilichopo kina chanzo, Hata hii universe iliyopo haina chanzo na haihitaji chanzo.

Universe ilikuwepo, ipo na itaendelea kuwepo.

Tueleze Universe ilikuwaje kabla ya kuwa created.
Universe haikuwa created.

Universe ilikuwepo, ipo na itaendelea kuwepo.

Kama kila kitu lazima kiwe created, Hata creator wa kila kitu lazima awe created.

Creator huyo hawezi ku exist tu, from no where.

Na kama si lazima kila kitu kina creator, Hata Universe haina na haihitaji creator.
Ukikubali kuwa Universe is not everything tutajadili kisomi
Mpaka sasa umeshindwa kuonyesha andiko linalosema na lililo kufunza kwamba, Universe is not everything.

Unafosi fosi tu kwamba, Universe is not everything.
 
Back
Top Bottom