Kukupiga wewe ni jambo dogo hapa siunabweka tuUnapinga ushoga au unahukumu watu kuuza mawig mpaka wanakuhamsisha kuwa shoga??
Wewe jeuri ya kunipiga hata kibao huna kama wewe umeshindwa kujizuia kuhamasika kuwa shoga kwenye kitu kidogo kama mawig..!! Sasa ungeonyeshwa pesa wewe ingekuwaje??
Wewe si ndo umekuja naye tulia niwakaange!!Endelea nae nani kaingilia quote yako muone
Bar tutaenda wote😅Nilale bar😂
Hapa nina uhakika soda haina gesi hii.
Amna, ni doria mtandaoni tu wala hakuna cha zaidi😹😹😹 duh!
Ila waungwana kwa kuconnect dot mnajitahidi..!!
Tema zile sumu ulizosema unataka kutema nasubiri utapike maana kichefuchefu kimekushika na mimba ya wiki 2Wewe si ndo umekuja naye tulia niwakaange!!
Naomba ulale nitakuchapaKuna shoga hapa naona hizi siku mbili linanizoea kama limepotelewa bwana! Kila likiniona linapwitapwita kunisemesha uharo!
Haya basi sawa fukuza wachawi nataka sumu zitemwe hapahapa na wachawi waone siku hizi siwaogopi wachawi tena kila wakija wanafikiri nimelala wananikuta bado nipo macho aidha nipo nakata bia au nimeingia JF mchawi anaanzaje?Kule hapa wachawi washakuwa wengi😂
Hata mimi ninaona yaan mimba za wazee zinazeesha tena, haya tena sumu cheuaMimba za wazee zina tabu hizi😂
Hebu kalale hukoHaya basi sawa fukuza wachawi nataka sumu zitemwe hapahapa na wachawi waone siku hizi siwaogopi wachawi tena kila wakija wanafikiri nimelala wananikuta bado nipo macho aidha nipo nakata bia au nimeingia JF mchawi anaanzaje?
Soko la nini?Soko la leo gumu niache😂
Kaa kwa kutulia dogoHata mimi ninaona yaan mimba za wazee zinazeesha tena, haya tena sumu cheua
Nataka nikushike kwanza kabla sijalala haya tema sumu, kwanza huu ndio muda wako wa kula kesho Eid na Jumuiya hua unalala mapema nimekushika sijakushika?Hebu kalale huko
Umetumwa?? Kajichekeshe huko hebu niacheNataka nikushike kwanza kabla sijalala haya tema sumu, kwanza huu ndio muda wako wa kula kesho Eid na Jumuiya hua unalala mapema nimekushika sijakushika?
Tatizo ni AKILI WANAZO ZA KUJUA CHA KUFANYA NA NINI KINASABABISHA USHOGA KUZIDI...sheria mbovu za ubakaji na mambo ya jinsia ndiyo sababu ...sheria zimetungwa kuzifanya jinsia za kike kuwa kama Bomu kwa njinsia ya kiume ...hivyo wanaume kupoteza mvuto wa asili kuhusu jinsia ya kike.Nampongeza sana Waziri Dr Dorothy Gwajima ( wazara yake siijui vyema)
Kwa kuthubutu kupinga uchafu wa ushoga ambao ni kinyume cha maadili ya Mtanzania na mtu mweusi Kwa ujumla
Ushoga na usagaji ni kinyume cha nature yaani maumbile
Vita dhidi ya agenda ya ushoga ni ngumu mno
Nadhani hapa Gwajima acheze smart mno hii inaweza mpoteza Kisiasa au akaupa meno ushoga bila kujua
1. Sina uhakika kama ana meno kisheria kutuhumu ushoga
2. Sina uhakika kama anaweza kuthibitisha bila shaka kama huyo mhuni Anko T ni shoga
3. Sina uhakika kama sheria yetu inatambua mavazi ya kike na ya kiume
Na kuwa kama ni kosa kuwa mwanaume hapaswi kuvaa mavazi ya kike na mwanamke hapaswi kuvaa mavazi ya kiume.
Na mavazi ya kiume na ya kike ni yapi hasa kisheria
4. Kuhusu Anko T kuvaa mawigi.
Je ni kosa kisheria
5. Nadhani sheria yetu haikujiandaa vyema ili ku deal ni hatari ya ushoga na usagaji
Nadhani Gwajima apeleke muswada bungeni ili apate mamlaka kisheria ili tuanze kuzuia hili janga
View attachment 3560593
Wewe ndio ukae kwa kutulia tema sumu uliyotaka kutema niione ni sumu ya aina gani kidogoKaa kwa kutulia dogo
Au sio 😹😹Amna, ni doria mtandaoni tu wala hakuna cha zaidi
Kalale , kukikucha unishtue upate bia za sikukuuUteee