Je, Dkt. Dorothy Gwajima ataiweza vita dhidi ya ushoga?

Mashoga kukaa na wanawake ni baada ya kuharibiwa na kutengwa na jamii ya kiume, na wanaokaa na wanawake ni wale wanaotembea ongea kama wanawake

Lakini wapo wengine wapo ndani ya jamii ya straight na wanapakuliwa vizuri tuu nao mnawazungumziaje ??
Hivi mfano kwenye sherehe inapokua na MC mmoja ni Mwanamke na mwingine ni Chakula hivi unaichukuliaje shughuli km hio? Na unakuta wanawake wanamshangilia sana huyo Mc Chakula wewe unaonaje hapo kwamba wanawake wanakaa nao karibu ila wakizinguana nao pia wanaanza kuwapiga vita tena wanawapiga vita vibaya sana ikiwemo kuwatolea siri zao zinazowahusu, tuache hio kuna hizi live show zinazofanywa kwenye shughuli na sherehe mbalimbali km umewahi kuona unakuta wanaita kakikundi fulani cha kusherehesha vipo vingi tu mjini hapa kukiwa na kasherehe hua wanalipwa kusherehesha kwa kuimba na kucheza na kupiga vyombo ngoma tarumbeta etcetera kunakua na muimbaji anaimba nyimbo au anaimbisha nyimbo tofauti anaweza akaimba hizi nyimbo zinazopendwa sana au zinazotrend, sasa nikawa nasikia anaimba mtu kwa mbali ni sauti ya kiume ila nikijaribu kuzoom anaimba km mwanamke na anavyoongea ni km Mwanamke ila ni Mwanaume nikawa najiuliza ni nini hiki ila wenyewe kwenye sherehe yao waliomuita aje kuimba na yeye amewekwa km muimbaji wanamshangilia na wengi ni wanawake ndio wanaomshangilia zaidi kwa sauti ya juu sana, hivi wewe unachukua picha gani hapo?
 
Huyo uncle wenu ndo nani ametokea wapi hii nchi mbona imekua ya ovyo kila mtu anafanya anavyotaka ila usiguse maslahi ya kubwa labda kusema tunataka katiba mpya Lissu kua huru Mengine fanya utaona unasumbuliwa Dar yote itanuka mavi ni suala la Mda
 
Hivi mfano kwenye sherehe inapokua na MC mmoja ni Mwanamke na mwingine ni Chakula hivi unaichukuliaje shughuli km hio? Na unakuta wanawake wanamshangilia sana huyo Mc Chakula wewe unaonaje hapo kwamba wanawake wanakaa nao karibu ila wakizinguana nao pia wanaanza kuwapiga vita tena wanawapiga vita vibaya sana ikiwemo kuwatolea siri zao zinazowahusu, tuache hio kuna hizi live show zinazofanywa kwenye shughuli na sherehe mbalimbali km umewahi kuona unakuta wanaita kakikundi fulani cha kusherehesha vipo vingi tu mjini hapa kukiwa na kasherehe hua wanalipwa kusherehesha kwa kuimba na kucheza na kupiga vyombo ngoma tarumbeta etcetera kunakua na muimbaji anaimba nyimbo au anaimbisha nyimbo tofauti anaweza akaimba hizi nyimbo zinazopendwa sana au zinazotrend, sasa nikawa nasikia anaimba mtu kwa mbali ni sauti ya kiume ila nikijaribu kuzoom anaimba km mwanamke na anavyoongea ni km Mwanamke ila ni Mwanaume nikawa najiuliza ni nini hiki ila wenyewe kwenye sherehe yao waliomuita aje kuimba na yeye amewekwa km muimbaji wanamshangilia na wengi ni wanawake ndio wanaomshangilia zaidi kwa sauti ya juu sana, hivi wewe unachukua picha gani hapo?
Mpk huyo mc chakula anawafikia wanawake ametokea wapi ??

Inakera na inaumiza Ila tuache kuwasingizia wanawake

Unafikiri mtu kama huyo mc chakula Hana muonekano hata auze tuu kitu kama karanga nani atampa kazi au kuweka ofisin kwake mtu ambaye Hana muonekano wa kiume ??.

Inakuwa ngumu na badala yake watakimbilia maeneo ya kuwapatia faraja au kuonewa huruma kama kwa wanawake ili wapate shugbuli za kufanya

Huwezi niambia kuliwa kunawapa pesa sidhani!!!!

wanawake wanawapa airtime kwa sababu wale hawana impact kwao iko hivyo tofauti na straight
 
Back
Top Bottom