AXIOM APEX VERBOSE
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 13,769
- 23,676
Subiri kwanza, unaposema soko lenu unamaanisha nini? Sikuelewi unajua halafu unaponi-attack angalia unavyokuja maana nikija km unavyokuja hapatatosha hapa utatafuta kwa kukimbiliaHuyo anko t ana miaka wewe unaongelelea October ya juzi, kwanini mkiguswa soko lenu mnakuwa wakali hivi? Mnapata faida gani?