Je, Dkt. Dorothy Gwajima ataiweza vita dhidi ya ushoga?

Je, Dkt. Dorothy Gwajima ataiweza vita dhidi ya ushoga?

Serikali haijashindwa
Serikali imekosa utashi
Serikali inayopambana na drugs
Serikali inayopambana na ujambazi na ugaidi
Ndo ije ishindwe kulinda maadili Kwa kuzuia ushoga na usagaji
Nadhani mashoga wana nguvu mno kimataifa serikali ikigusa suala la ushoga, mzungu atakasirika
Tuache unafiki jamani tuseme tu ukweli. Serikali inasapoti ushoga. Kama mtu anabisha atuletee kesi yoyote ya ushoga ambayo imewahi kushughulikiwa ipasavyo.
Tukemee ushoga kwenye jamii na kwenye dini zetu basi lakini kutegemea serikali isaidie SAHAU.
 
Wala sio kichaka ni wewe na mtazamo wako, mawigi sioni kama ni tatizo kwake kuvaa na kutangaza kwa muda..!!

Kama angekuwa anayavaa anazunguka nayo hapo tungesikiliza hoja yenu..!!

Kwani Joti hawezi kumuweka mwanamke akaigiza mpaka ajiweke yeye??
Hivi ushawahi kuona content za Joti?

Wanaume wanafki sana hebu anzeni na Joti. Huyu ndo kinara wa kuharibu desturi.

Watoto wanaharibika vipi? Kwamba wewe unawapa simu wamtazame Anko T akiuza mawigi yake??
Basi tukuchape viboko kama unaruhusu watoto washike simu wawatazame watu uliowafollow mitandaoni..!!
Joti anaigiza uanamke lakini maisha yake ya kawaida anaishi kama mwanaume...huyo dogo T anachopost ndicho anachoishi na maisha yake ni kama mwanamke
 
Wanawake matopeni maskini

Kugeuzwa wageuzwa

Lakini bado wapambania mipini na mashoga

All in all Gwajima anajisumbua tu and if she truly is serious, ahakikishe Tanzania inajitoa kwenye dependency ya misaada Or else zitakuwa ni sarakasi tu
😁😁 Wajitoe kwenye misaada wakati hapo ndio kwenye ulaji wao
 
Kwa alichokiandika kiufupi Mama Heshima ni " Tuna shida na hayo matangazo yake je amesajiki hiyo brand? Matangazo yako kwa mujibu wa Sheria?"
Haraka haraka hapo utaona Kuna angle wameona wanamsukumia akae kwenye Corner ambayo atakutwa na kitu. Na Wala hawagusi Wala hawatoweza kuguswa matumizi mabaya ya ****** wake Moja kwa Moja.
Ndio maana nikasema anauza mawigi
 
Kwa alichokiandika kiufupi Mama Heshima ni " Tuna shida na hayo matangazo yake je amesajiki hiyo brand? Matangazo yako kwa mujibu wa Sheria?"
Haraka haraka hapo utaona Kuna angle wameona wanamsukumia akae kwenye Corner ambayo atakutwa na kitu. Na Wala hawagusi Wala hawatoweza kuguswa matumizi mabaya ya ****** wake Moja kwa Moja.
Matangazo yake yana shida gani? 😅😅
 
Sio unadhani hiyo ni sera ya kimataifa kwaajili ya kuspead ushoga duniani so kitu chochote kile kikisha undiwa sera na sheria kukifuta ni ngumu lazima kitasambaa tu katika jamii so next years to comes itaonekana ni kitu Cha kawaida Kwa baadhi ya watu wengi
Naona hivo
Ni sera za kimataifa
Serikali yetu ambayo ni tegemezi haiwezi kubweka
Nchi kubwa kama Saudia ina pesa na sheria Kali ila Bado huo uchafu Kwa Sasa unapenya
Wanataka watalii, na watalii wenye pesa wengi ni mashoga hapo ndo hii vita inakuwa ngumu.
 
Wanawake matopeni maskini

Kugeuzwa wageuzwa

Lakini bado wapambania mipini na mashoga

All in all Gwajima anajisumbua tu and if she truly is serious, ahakikishe Tanzania inajitoa kwenye dependency ya misaada Or else zitakuwa ni sarakasi tu
Kwa hio wanawake wanagombania mipini na magasho? Ebu wafafanulie vizuri
 
Wanawake matopeni maskini

Kugeuzwa wageuzwa

Lakini bado wapambania mipini na mashoga

All in all Gwajima anajisumbua tu and if she truly is serious, ahakikishe Tanzania inajitoa kwenye dependency ya misaada Or else zitakuwa ni sarakasi tu
Very wise mkuu,
Ni wachache wenye akili kubwa watakaelewa.
Ushoga ni personal issues, inashangaza kuona mtu sio ndugu yako wa karibu unapambanania kumtoa huko kwenye furaha zake. Je wewe unafaidika na nini akiwa shoga ama akiacha ushoga?
Mtu akiamua kufrw simpi hata nafasi ya kumjadili ni kupoteza mda.

Kuna wanawake wazuri sana hapa duniani mwanaume kufrwa inashangaza sana.
 
Wewe unaweza kuzuia mambo ya gizani? Wako wengine hawana mionekano ya kishoga na wanafrwa.
Hebu tuambie utazuiaje wasfrwe?
Issues hapo ni influence anayoitoa Kwa vijana mtu akiwa anafanya Ubaya then Ubaya wake ukawa unajianika hadharani itapelekea Sehemu ya jamii kuadopt Ubaya huo na kuona kuwa ni jambo la kawaida sijui unaelewa

So kama amechagua kuliwa tope aliwe tu akaushe asilete mambo yake in public anaharibu next generation ,

Now huwezi kuona hilo tatizo lakini siku ukija kusikia mtoto wako wa kiume kawa shoga na role model wake ni huyo uncle T ndio utaelewa SoMo 🤣🤣
 
Tuache unafiki jamani tuseme tu ukweli. Serikali inasapoti ushoga. Kama mtu anabisha atuletee kesi yoyote ya ushoga ambayo imewahi kushughulikiwa ipasavyo.
Tukemee ushoga kwenye jamii na kwenye dini zetu basi lakini kutegemea serikali isaidie SAHAU.
Viongozi wa serikali wao kama huatarishi madaraka yake na mtu anatumia mkund. Wake visivyo halali, serikali itaongea mikwara tu itaacha.
 
NGOs zinazogawa lubricants si wanazijua. Why can't they deal with them

My dear stop dreaming

Homosex is a global agenda

Poor countries cannot go against it unless wajitegemee
Jaribu kufunguka vizuri mkuu, hapo kwenye Global agenda ungepaelezea vizuri poor countries zifanyeje zijitegemee la sivyo zinaendelea kufanyajwe?
 
Umfungie ndani au wewe ulifikiria kufanyaje kumkatakata mapanga?
Nimfungie ndani hadi azeeke?🙄
Niache shughuli zote nifanye kibarua cha kumfungia mtu mzima ndani...
Ni makosa ku.fungia mtu ndani..unamnyima uhuru wake.

Mzazi ni mshauri tu. Kama ikitokea kwa mtoto wako ambaye ni above 18 nakwambia hakuna kitu utaweza fanya.
 
😁😁 Wajitoe kwenye misaada wakati hapo ndio kwenye ulaji wao
Hapo chacha

Another thing

Why Anko T amemjibu waziri indirectly like a nobody tena very fast

When James delicious aliwekwa behind bars na kutishia kutaja the guys anadate nao. Why aliachiwa very fast

Tatizo most of you guys think wanaowala these gays with spotlight ni chokambaya heheee only God knows
 
Nimfungie ndani hadi azeeke?🙄
Niache shughuli zote nifanye kibarua cha kumfungia mtu mzima ndani...
Ni makosa ku.fungia mtu ndani..unamnyima uhuru wake.

Mzazi ni mshauri tu. Kama ikitokea kwa mtoto wako ambaye ni above 18 nakwambia hakuna kitu utaweza fanya.
Kwa hio unamuacha tu aende akaendelee kufanya anachofanya si ndio?
 
Back
Top Bottom