Je, Dkt. Dorothy Gwajima ataiweza vita dhidi ya ushoga?

Je, Dkt. Dorothy Gwajima ataiweza vita dhidi ya ushoga?

Jaribu kufunguka vizuri mkuu, hapo kwenye Global agenda ungepaelezea vizuri poor countries zifanyeje zijitegemee la sivyo zinaendelea kufanyajwe?
Global agenda = global population control

And sometimes I think inahusiana na New World Order kwa sababu thinking deeply there is no clear explanation over why western countries invest a lot in homosex agenda

Nchi maskini Of course zinabanwa kwa mikataba ya human rights protection
 
Kuvaa mavazi ya kike yanahitaji kibali? Hebu nifungueni macho tafadhali...
Ni kosa kisheria mwanaume kuvaa gauni hadharani au kujinadibisha na mwanamke na hivo hivo kinyume chake Kwa mwanamke.
Serikali Huwa inapuuza Kwa kuwa impact yake ni ndogo.
Ikiamua inaunda zigo inamwagushia huyo kijana apambane nalo
 
Global agenda = global population control

And sometimes I think inahusiana na New World Order kwa sababu thinking deeply there is no clear explanation over why western countries invest a lot in homosex agenda

Nchi maskini Of course zinabanwa kwa mikataba ya human rights protection
Basi ulipofafanua hapo tu nimeshakuelewa mkuu.
 
Hapa nakubaliana na wewe, wa kudili nao ni mabasha.. hawa kwa namna moja ama nyingine ndio washawishi wakubwa wa ushoga.
Na wao ndio sababu kubwa ya kuwaingiza vijana kwenye ushoga.

Kijana anaweza kuwa ashawishiki na vitendo vya ushoga. Ila mabasha ndio washawishi wakubwa
Bahati mbaya jamii inawaadhibu walawitiwa while in most instances wanaolawiti ni wabaya zaidi yet wapo safe side

Gwajima is literaly doing the same, dealing with the impact and not the source. Nataka nione itaishia wapi
 
Najua ni jambo la aibu kwenye familia yangu, kazi yangu ni kumlea kijana wangu kwenye maadili mema, na mimi kama mzazi ni moja wa role model wake. Je nitamzuia vipi asiwe shoga kama kaamua kufata njia hio?

Cha msingi tu nikijua ameanza ushoga. Mimi na yeye undugu ndio umeishia hapo. Na sitanii namaanisha. Akaolewe kabisaa
😁😁😁😁

So Ili hayo yasitokee that's why unaona Kuna watu wanapinga unajua kwanini wanapinga kwasababu huo Ushenzi ukitawala katika jamii itaonekana kwamba ni kitu Cha kawaida na vizazi vyao pia vita adopt ikitokea mwanao akawa shoga umeshajiuliza Nini kitakacho fuata tafsiri ni kwamba ata waambukiza Watoto wa watu wengine kuingia katika huo Ushenzi ndio maana unaona Kuna watu wanapinga , sio kwamba wanapinga Kwa kuto kujua kwamba mwili ni watu na anahaki ya kuutumia atakavyo Bali wanapinga Kwa sababu Ikitokea ushoga ukasambaa katika jamii basi na vizazi vyao pia havitokuwa salama
 
Hii vita ni kali sana.. Na kusema apbane yeye sio kweli. Kwanza waziri hana chakupoteza kwa watoto wenu. Hii vita irejeshwe kwenye familia na serikali iwe inatoa muongozo tu.

Mtoto hapati uangalizi na watu wanaochangua kuharibu hawa watoto, jamii inakaa nao na kuwafumbia macho, unafikiri waziri ataweza?

Inawezekana vipi jamii iache hii hali iendelee huku utotoni, halafu waziri aje apambanie ukubwani?

Kila mzazi achunge mwanae. Halafu hawa waharibifu wapigwe pini.

Sema hii vita ngumu sana
 
Hapo chacha

Another thing

Why Anko T amemjibu waziri indirectly like a nobody tena very fast

When James delicious aliwekwa behind bars na kutishia kutaja the guys anadate nao. Why aliachiwa very fast

Tatizo most of you guys think wanaowala these gays with spotlight ni chokambaya heheee only God knows
Kamjibu vipi !?
 
Hii vita ni kali sana.. Na kusema apbane yeye sio kweli. Kwanza waziri hana chakupoteza kwa watoto wenu. Hii vita irejeshwe kwenye familia na serikali iwe inatoa muongozo tu.

Mtoto hapati uangalizi na watu wanaochangua kuharibu hawa watoto, jamii inakaa nao na kuwafumbia macho, unafikiri waziri ataweza?

Inawezekana vipi jamii iache hii hali iendelee huku utotoni, halafu waziri aje apambanie ukubwani?

Kila mzazi achunge mwanae. Halafu hawa waharibifu wapigwe pini.

Sema hii vita ngumu sana
Hakuna vita yoyote, ni nyie tu mko obsessed na ushoga kwa sababu ya dini zenu, media na kushindwa kufuatilia mambo muhimu zaidi kuliko jinsi gani watu wazima wenye akili zao wanavyofanya ngono.
 
Mtoto wako kama ni shoga atakuwa shoga tu bila hata kumuona huyo ankoT,
Kwani huyo ankoT na mashoga wengine wao ealikuwa wakimuona nani shoga ndio ikawafanya nao kuwa mashoga??
There are some cases

Young boys wanalawitiwa kinguvu then wanakubali such life to adulthood

Same sex boarding schools

Tamaa ya good life without working or getting some opportunities including jobs "yes jobs"

Porn

Na wengi pia ni hormones tu like from the moment they were born. They look and behave like girls na wengine wakikua wanapata feminine features
 
Nampongeza sana Waziri Dr Dorothy Gwajima ( wazara yake siijui vyema)

Kwa kuthubutu kupinga uchafu wa ushoga ambao ni kinyume cha maadili ya Mtanzania na mtu mweusi Kwa ujumla

Ushoga na usagaji ni kinyume cha nature yaani maumbile

Vita dhidi ya agenda ya ushoga ni ngumu mno
Nadhani hapa Gwajima acheze smart mno hii inaweza mpoteza Kisiasa au akaupa meno ushoga bila kujua
1. Sina uhakika kama ana meno kisheria kutuhumu ushoga

2. Sina uhakika kama anaweza kuthibitisha bila shaka kama huyo mhuni Anko T ni shoga

3. Sina uhakika kama sheria yetu inatambua mavazi ya kike na ya kiume
Na kuwa kama ni kosa kuwa mwanaume hapaswi kuvaa mavazi ya kike na mwanamke hapaswi kuvaa mavazi ya kiume.

Na mavazi ya kiume na ya kike ni yapi hasa kisheria

4. Kuhusu Anko T kuvaa mawigi.
Je ni kosa kisheria

5. Nadhani sheria yetu haikujiandaa vyema ili ku deal ni hatari ya ushoga na usagaji

Nadhani Gwajima apeleke muswada bungeni ili apate mamlaka kisheria ili tuanze kuzuia hili janga

View attachment 3560593
Hii sio vita ya mtu mmoja,na pia inataka mkakati maalumu uliopangwa vizuri,sio kelele za kijinga
 
Bahati mbaya jamii inawaadhibu walawitiwa while in most instances wanaolawiti ni wabaya zaidi yet wapo safe side

Gwajima is literaly doing the same, dealing with the impact and not the source. Nataka nione itaishia wapi
Anaepaswa kuchukuliwa hatua si wote km wakibainika kufanya hivyo, unakumbuka ile kesi ya kule Mtwara kulikua na Mwalimu wa kiume alikua anamlazimisha Mwanafunzi wake wa kiume amuingilie kwa hio inamaana hapo huyo Mwanafunzi ana makosa kwa kulazimishwa kufanya hicho kitendo? Maana aliekutwa na hatia na kufungwa ni huyo Mwalimu ila Mwanafunzi hadi leo yupo uraiani na Mwalimu alikiri kweli alitaka Mwanafunzi amuingilie kwa hio Mwalimu anatumikia kifungo
 
Predators wapo waliwa na waliwaji

Wote wanastahili kifungo
 
Cha kushangaza kuna wengine wameanza ushoga ukubwani. Unasikia mtu ana mke na watoto. Ghafla kawa shoga
I'm sorry to dissapoint you

Most gays waliwa na walaji huanzisha familia kama cover tu since jamii inaamini any person with a wife and kids sio shoga.

While wasionao husumbuliwa na societal pressure hadi waanzishe familia and eventually wataoa yet nae ni mume au mke kwa another man

Bro It's very rare gay aanze late 30's or 40's

I 've lived kwa hiyo world so I know the reality
 
There are some cases

Young boys wanalawitiwa kinguvu then wanakubali such life to adulthood

Same sex boarding schools

Tamaa ya good life without working or getting some opportunities including jobs "yes jobs"

Porn

Na wengi pia ni hormones tu like from the moment they were born. They look and behave like girls na wengine wakikua wanapata feminine features
Hakuna huo ushahidi wa kulawitiwa kunamgeuza mtu kuwa shoga, ni story za wajinga tu mtaani. Waulizeni hao mnaowajua na mnaowesama ni mashoga kama walilawitiwa, au walitoka boarding schools au ni kwa sababu ya pesa.
Na pia kisayansi hakuna hormones za kusababisha mtu kuwa au kutokuwa shoga.

Halafu kama hizo ndio sababu za ushoga kweli kwa nini mnadili na matokeo badala ya chanzo? Ilitakiwa mpinge shule za boarding au mdai ziwe mchanganyiko wa wanaume na wanawake, ilitakiwa mpambane na umasikini ili wazazi watimize mahitaji ya vijana wao wasirubuniwe, ilitakiwa mpambane na walawiti na kama hormones ni tatizo wekeni tiba za kurekebisha hormones.
 
Back
Top Bottom