Je, Dkt. Dorothy Gwajima ataiweza vita dhidi ya ushoga?

Je, Dkt. Dorothy Gwajima ataiweza vita dhidi ya ushoga?

Wabongo wanapenda kutumia nguvu kubwa for trivial matters (kuua nzi kwa nyundo). Mambo ya msingi hawapigi kelele ila mambo ya hovyo ambayo wana option ya kuangalia au lah ndo wanaweka nguvu zote hapo. Hili ni tatizo la akili.
Wanashangaza sana wengine hawana kazi wanashinda na kuamkia JF utasema ni server 😹😹😹

Sasa mpaka unajiuliza hawa watu muda wa kusafisha makalio yao wanapata saa ngapi? Ukifikiria kwa undani unakuja kugundua ni machoko wanavizia wanaume 🤣😹😹😹

Jitu 24/7 liko JF mdomo mrefu km chuchunge nywinywiiii wakati na lenyewe ***** watu wamelishtukia..!!

Anko T kawazidi muonekano wana wivu wao sura za NIPIGE TAFU.. majirani hukuuu..!!
 
Ukishasema ni experience yako acha kusema "most gays"! Sema tu wewe ilivyokuwa kwako, labda kama ungesema umekutana na mashoga 20 ishirini na hayo ndio uliyoyabaini.
Bro bro my previous comment was more of telling you

"I respect you and I won't argue with you regardless comments zako zimekuwa more of attacks"

Just read conversations za wengine waliouliza, I answered them politely without attacks or emotions

Again 20 gays for what

To make sense to you?.

Bro unajua nina contacts za gays wangapi ambao at one point of my life, we met and talk deeply
Even dates

Unaona 20 or 50 is a huge number,

Naweza direct you kwenye single app unayoweza chat hata na 50 gays per day for free, anonymously

Kwenye discussion, naweza kukupatia online space ya bongo gays 3000 with online users hata 200. East Africa or Africa even over 30000 unapata

Guess which kind of topics zinakuwa discussed

The same

But again why did I choose to prefer peace over being right

Kwenye gay life

External approval and acceptance ni huge struggles but once you overcome them. You learn how to ignore things and belittling yourself ili ulinde amani yako

Kwako this might sound like sio issue but to me. It means a lot

Eid Mubarak mkuu
 
Kwa wale wanaosema kwamba ushoga ukionekana ni jambo la kawaida utahamasisha vijana wa kiume kuwa mashoga zaidi na zaidi, hii siyo kweli.

Nchi ya Ufaransa iliondoa sheria za kuadhibu mapenzi ya jinsia moja mwaka 1791 wakati wa French Revolution, na tangu hapo suala hili halihesabiwi kama kosa la jinai, lakini hadi leo idadi ya wanaojitambulisha kama mashoga ni takriban asilimia 4 tu ya wananchi wote.

Kibaiolojia na kisaikolojia kwa kiwango kikubwa wanaume huvutiwa na wanawake na wanawake huvutiwa na wanaume, huku sehemu ndogo ya watu ikiwa na mvuto kwa jinsia moja, na muundo huu umeonekana kuwa kawaida katika jamii nyingi duniani.

Pia ni muhimu kutenganisha dhana ya ushoga na aina fulani za vitendo vya kingono. Siyo kila mahusiano ya kimapenzi ya wanaume hujumuisha kufirana (anal sex), kama ambavyo hata mahusiano ya wanaume na wanawake hayafuati mfumo mmoja tu. Tabia za kimapenzi hutofautiana kati ya watu binafsi.

Kuhusu maadili na tamaduni, si sahihi kusema ushoga ni “utamaduni wa watu fulani (wazungu)" Tu.

Kihistoria, jamii nyingi duniani zikiwemo nchi nyingi za Ulaya ziliwahi kupinga Ushoga, lakini mabadiliko yaliyotokea katika baadhi ya nchi za Ulaya yalichangiwa na kuongezeka kwa mifumo ya secularism na kuimarika kwa sheria za haki za binadamu, siyo kwamba ulikuwa utamaduni wao wa asili. Hivyo, mitazamo ya jamii kuhusu ushoga hubadilika kadri uelewa wa kisayansi, sheria, na maadili ya kijamii unavyobadilika.

Not parts of Europe even in Africa

specifically Congo and Uganda na places zingine

Colonialists especially British made it illegal but before that ilikubalika
 
Kiukweli hili suala la ushoga naona kama linatumika kupumbaza watu wasiongelee mambo mazito yanayowaandama maishani. Kwa mfano tatizo la utapiamlo bado ni kubwa mno nchini ila watu hawazungumzii kabisa.
Sio kupumbaza ni vita za kiuchumi kati ya mashoga na mashoga..!!

Mtu yupo JF 24/7 halali km server za JF unafikiri atajadili nini kama sio upuuzi na kujichetua kama *****..!!
 
Joti anaigiza uanamke lakini maisha yake ya kawaida anaishi kama mwanaume...huyo dogo T anachopost ndicho anachoishi na maisha yake ni kama mwanamke
Anatembea na mawig yake mtaani au kwenye nyumba za Ibada anaenda nayo?

Huyo Anko T alikuwa na saloon ya kusuka wanawake before hajafungua duka la mawig..!!
 
watu ni wanafiki sana joti na yule dullah cjui, wanachekewa na hakuna malalamishi ila anko t wanampandia juu sijawahi msikia akitangaza kutaka mwanaume.
Ni wivu tu wa mashoga wa humu, mtu asifanye biashara tayari wanahisi anataka kuwaibia madanga yao..!!

Wamemkalia Anko T kichwani utasema ana figo lao, wao wamezoea kujisell kazi hawana. Wamuache mwenzao afanye kazi, apambanie maisha yake..!!

Vita yao ya TikTok wasituletee huku wamalizane huko huko. Mtu anajipa umuhimu na mknd wa mwenzie kasahau kuulinda wake umetobolewa..!! Mxiewwww 😹😹😹
 
Kuna mambo hayana msingi kabisa.
Mnataka kupambana na mambo ya gizani?
Nani anaweza kumzuia asfrwe? Mknd si wake? Sasa shida iko wapi?

Tungeanza kutokomeza Rushwa, katiba mpya, bima ya afya huduma bora kabisa za kiafya, maji salama, umeme, miundo mbinu, kilimo.

Wanawake ni watamu mno mpaka watu wanabaka halafu jitu limeamua kufirwa mnataka kupambana nalo.
Acheni upuuzi. Acha afrweee
Hapo sasa..!!
Mambo ya kudiscuss mengi lakini mtu yuko busy kufatilia upumbavu, kama na wenyewe Sio kundi moja na hao machoko ni nini??

Wakalime Katavi huko mapori yapo mengi..!! 😹😹
 
Usilazimishe hio sura ya kichoko ni kigalatia 100%
Unamsilimisha na kumpa jina haibadilishi uchoko na wagalatia ni pipa na mfuniko
Wewe jamaa nimegundua kwa nini ulijiita makebo,kweli wewe ni makebo.

Huyo ni mwenzako kuanzia anazaliwa,halafu nikuulize swali,kwa hapa tanzania ,ni mikoa gani inayoongoza kwa ushoga kwa kuangalia mikoa yenye waislamu wengi na mikoa yenye wakristo wengi,,tukianzia zanzibar kwa ndugu zako ambapo ushoga ni kama chakula kwao?
 
Wewe jamaa nimegundua kwa nini ulijiita makebo,kweli wewe ni makebo.

Huyo ni mwenzako kuanzia anazaliwa,halafu nikuulize swali,kwa hapa tanzania ,ni mikoa gani inayoongoza kwa ushoga kwa kuangalia mikoa yenye waislamu wengi na mikoa yenye wakristo wengi,,tukianzia zanzibar kwa ndugu zako ambapo ushoga ni kama chakula kwao?
Ndio nyinyi mipumbavu ya kilugaluga mmejaa mijini kutoka huko maporini hata kiswahili kimeharibiwa kwa sasa mnaingiza vilugaluga vya maporini kwenye misamiati
Nikiwa Kariakoo mpaka nashaangaa kwa jinsi mlivyochafua mji na kunyakunya kila sehemu na sasa mmeanza kuingiza vilugha vyenu kwenye kiswahili
Huyo ***** hana hata chembe ya uislamu ni mgalatia mwenzenu hilo halihusiani
Na machoko wote waliojaa mikoa ya pwani na zanzibar ni wagalatia sababu mashoga wote maarufu ni wagalatia
Kina James delicious, na huyu hapa frankie kawa mdada kabisa
Mmejitengenezea kinadharia fulani kuwa pwani na zanzibar kuna mashoga wengi kumbe nyinyi ndio mmejanazana huko kwa ushoga kwenye mahoteli ya kitalii wahudumu wote wagalatia mashoga
Na Mbeya na Kilimanjaro kumejaa machoko wako mpaka kwenye mitandaoni ya ngono
Na sasa mana mpaka kwa wakurya
Wagalatia na ushoga havitenganishwi
1774101484216.jpeg


1774101484221.jpeg
 
Mm naona hii awamu hawa watu wame zidi kujiweka wazi sana, sisemi kwamba awamu zilizo pita hawa kuwepo lakini hii imezidi, Ukingia huko TikTok yapo mapunga mengi tena haya ogopi.
 
Hata humu Kuna vijiwanawake vinajifanya kukemea ushoga kumbe na vyenyewe ni vile vile tuu, vilishaga test ladha ya mboo ya mkund....ni, vingine ndo michezo Yao kuliwa mkund...ni
😹😹😹😹 Mtumeee
Kuna ***** limechafukwa linaponda wenzie hii ajabu sana..!!

JF kichaka machoko wanaweza kukemea uchoko muda huo naye ni ***** khaaaa..!!
 
Hata humu Kuna vijiwanawake vinajifanya kukemea ushoga kumbe na vyenyewe ni vile vile tuu, vilishaga test ladha ya mboo ya mkund....ni, vingine ndo michezo Yao kuliwa mkund...ni
😹😹😹 Mnajuana na milupo yako..!!
Hata hivyo ni id ya kike Ila dume bana weeeh em niache nisije kuvamia km USA nikaonekana mkorofi..!!
 
Back
Top Bottom