Je, Dkt. Dorothy Gwajima ataiweza vita dhidi ya ushoga?

Je, Dkt. Dorothy Gwajima ataiweza vita dhidi ya ushoga?

Ni kosa kisheria mwanaume kuvaa gauni hadharani au kujinadibisha na mwanamke na hivo hivo kinyume chake Kwa mwanamke.
Serikali Huwa inapuuza Kwa kuwa impact yake ni ndogo.
Ikiamua inaunda zigo inamwagushia huyo kijana apambane nalo
Mbona tunavaa suruali kila siku na hamjawahi kutushtaki. Ningependa kuiona hiyo sheria niisome
 
Hakuna huo ushahidi wa kulawitiwa kunamgeuza mtu kuwa shoga, ni story za wajinga tu mtaani. Waulizeni hao mnaowajua na mnaowesama ni mashoga kama walilawitiwa, au walitoka boarding schools au ni kwa sababu ya pesa.
Na pia kisayansi hakuna hormones za kusababisha mtu kuwa au kutokuwa shoga.

Halafu kama hayo ndio matatizo kweli kwa nini mnadili na matokeo badala ya chanzo? Ilitakiwa mpinge shule za boarding au ziwe mchanganyiko wa wanaume na wanawake, ilitakiwa mpambane na umasikini ili wazazi watimize mahitaji ya vijana wao na kama ni hormones wekeni tiba za kurekebisha hormones.
Yoda I'm not with or against anything

Naongea ninachokijua kwa sababu nimeiishi hiyo experience.

7 years back nilipata depression kali nikaingia jf and I confessed everything about my homosex situation

Since then sicomment sana but if I see a certain thread where people want to discuss this thing objectively

I normally share what I know because I know maneno yataishi and you may never know yatamsaidia nani
 
Yote inawezekana inahitaji userious tu.
Dorothy Gwajima pia ni mtu smart huwa hakurupuki kufanya vitu kwa mihemko kama wanasiasa wengine.
Ndio maana katika maelezo yake amesema anafuatilia mambo ya kisheria zinatafsiri vipi kuhusu mambo hayo ili akishawanasa wasijitoe kirahisi mtegoni.
Na katika maelezo yake hajawatuhumu kuwa ni mashoga ila amewataja kama wanaume wanaovaa mavazi kwa kujifananisha na wanawake maana ukishawaita mashoga bila uthibitisho unakuwa umeshaharibu kisheria na kesi inakugeukia.
 
Niliona pia

Hajakurupuka
 
Yoda I'm not with or against anything

Naongea ninachokijua kwa sababu nimeiishi hiyo experience.

7 years back nilipata depression kali nikaingia jf and I confessed everything about my homosex situation

Since then sicomment sana but if I see a certain thread where people want to discuss this thing objectively

I normally share what I know because I know maneno yataishi and you may never know yatamsaidia nani
Sijakupata hoja yako
 
Sijui ulichokiongea miaka saba iliyopita nyuma hapa JF ila hiki uliachokiandika sasa sio kweli, experience yako pia sio uwakilisho wa jumla wa suala la ushoga Tanzania au duniani, mfano kama ulianza ushoga baada ya kulawitiwa haimaanishi hiyo ndio sababu iliyokufanga uwe shoga kwa sababu kuna watu wengi tu wamewahi kulawitiwa lakini hawajawa mashoga na zaidi sana wanachukia ushoga kuliko. Inawezekana ulikuwa shoga kwa kuanzia kabla hata hujalawitiwa ila ulianza rasmi tu ngono za ushoga baada ya kulawitiwa, "correlation is not causation".
 
It's OK too

My words sio conclusion but I'm only sharing what I know. From my own experiences and few encounters

I'm not seeking any authority over this topic

Natoa tu contribution

Ukiona ni uongo it's OK

ukiona ni sawa it's OK

cheers 🥂
 
It's OK too

My words sio conclusion but I'm only sharing what I know. From my own experiences and some few encounters

I'm not seeking any authority over this topic

Natoa tu contribution

Ukiona ni uongo it's OK

ukiona ni sawa it's OK

cheers 🥂
Ukishasema ni experience yako acha kusema "most gays"! Sema tu wewe ilivyokuwa kwako, labda kama ungesema umekutana na mashoga 20 ishirini na hayo ndio uliyoyabaini.
 
Asa
Hakuna njia zozote za kuzuia. Kama serikali imeshindwa mimi na wewe ni nani tuweze? Kila mmoja alinde kizazi chake
Asa kama serikali yenyewe ndo watumiaji wakuu wa huduma wakubwa serikalini ndo wanaowafira na wengine wanafirwa ndo utasema wadhibiti????

Watadhibiti kivipi akati ndo utamu wao
 
Tuache unafiki jamani tuseme tu ukweli. Serikali inasapoti ushoga. Kama mtu anabisha atuletee kesi yoyote ya ushoga ambayo imewahi kushughulikiwa ipasavyo.
Tukemee ushoga kwenye jamii na kwenye dini zetu basi lakini kutegemea serikali isaidie SAHAU.
Hapa ndo umeongea point, serikalini Kuna wafiraji wengi na wafirwaji kuzuia ushoga ni kazi ngumu
 
Kwa wale wanaosema kwamba ushoga ukionekana ni jambo la kawaida utahamasisha vijana wa kiume kuwa mashoga zaidi na zaidi, hii siyo kweli.

Nchi ya Ufaransa iliondoa sheria za kuadhibu mapenzi ya jinsia moja mwaka 1791 wakati wa French Revolution, na tangu hapo suala hili halihesabiwi kama kosa la jinai, lakini hadi leo idadi ya wanaojitambulisha kama mashoga ni takriban asilimia 4 tu ya wananchi wote.

Kibaiolojia na kisaikolojia kwa kiwango kikubwa wanaume huvutiwa na wanawake na wanawake huvutiwa na wanaume, huku sehemu ndogo ya watu ikiwa na mvuto kwa jinsia moja, na muundo huu umeonekana kuwa kawaida katika jamii nyingi duniani.

Pia ni muhimu kutenganisha dhana ya ushoga na aina fulani za vitendo vya kingono. Siyo kila mahusiano ya kimapenzi ya wanaume hujumuisha kufirana (anal sex), kama ambavyo hata mahusiano ya wanaume na wanawake hayafuati mfumo mmoja tu. Tabia za kimapenzi hutofautiana kati ya watu binafsi.

Kuhusu maadili na tamaduni, si sahihi kusema ushoga ni “utamaduni wa watu fulani (wazungu)" Tu.

Kihistoria, jamii nyingi duniani zikiwemo nchi nyingi za Ulaya ziliwahi kupinga Ushoga, lakini mabadiliko yaliyotokea katika baadhi ya nchi za Ulaya yalichangiwa na kuongezeka kwa mifumo ya secularism na kuimarika kwa sheria za haki za binadamu, siyo kwamba ulikuwa utamaduni wao wa asili. Hivyo, mitazamo ya jamii kuhusu ushoga hubadilika kadri uelewa wa kisayansi, sheria, na maadili ya kijamii unavyobadilika.
 
Back
Top Bottom