Je, Dkt. Dorothy Gwajima ataiweza vita dhidi ya ushoga?

Very wise mkuu,
Ni wachache wenye akili kubwa watakaelewa.
Ushoga ni personal issues, inashangaza kuona mtu sio ndugu yako wa karibu unapambanania kumtoa huko kwenye furaha zake. Je wewe unafaidika na nini akiwa shoga ama akiacha ushoga?
Mtu akiamua kufrw simpi hata nafasi ya kumjadili ni kupoteza mda.

Kuna wanawake wazuri sana hapa duniani mwanaume kufrwa inashangaza sana.
Kwanini tunapinga bangi na madawa ya kulevya ikiwa anayevuta cocaine sio ndugu yako?
Hapa tunaangalia jamii
Kuna watu wengi wanafanya huo ushoga sirini na hakuna anayewafuata.
Sasa mtu akija kuonesha hadharani kwenye jamii hii ni mbaya
 
Nakubaliana kuwa kuonyesha hadharani ni mbaya. Lakini kama.serikali haitaweka sheria kali hata jamii itakosa cha kufanya. Ndivyo ilivyo kwenye nchi yetu
 
Issues hapo ni influence anayoitoa Kwa vijana mtu akiwa anafanya Ubaya then Ubaya wake ukawa unajianika hadharani itapelekea Sehemu ya jamii kuadopt Ubaya huo na kuona kuwa ni jambo la kawaida sijui unaelewa

So kama amechagua kuliwa tope aliwe tu akaushe asilete mambo yake in public anaharibu next generation ,

Now huwezi kuona hilo tatizo lakini siku ukija kusikia mtoto wako wa kiume kawa shoga na role model wake ni huyo uncle T ndio utaelewa SoMo 🤣🤣
Najua ni jambo la aibu kwenye familia yangu, kazi yangu ni kumlea kijana wangu kwenye maadili mema, na mimi kama mzazi ni moja wa role model wake. Je nitamzuia vipi asiwe shoga kama kaamua kufata njia hio?

Cha msingi tu nikijua ameanza ushoga. Mimi na yeye undugu ndio umeishia hapo. Na sitanii namaanisha. Akaolewe kabisaa
 
Nakubaliana kuwa kuonyesha hadharani ni mbaya. Lakini kama.serikali haitaweka sheria kali hata jamii itakosa cha kufanya. Ndivyo ilivyo kwenye nchi yetu
Serikali inafungwa na mikataba ya kimataifa ya haki za binadamu.
Waki react wataletewa zengwe ya kunyimwa misaada au hata kuzongwa na kuambiwa madikteta hadi kuachia madarakan
Hivya serikali ikiona impact zote hizi yaani ikose misaada ya barabara, afya, maji kisa inasimamia mtu asifirwe ?
 
Hapo chacha

Another thing

Why Anko T amemjibu waziri indirectly like a nobody tena very fast

When James delicious aliwekwa behind bars na kutishia kutaja the guys anadate nao. Why aliachiwa very fast

Tatizo most of you guys think wanaowala these gays with spotlight ni chokambaya heheee only God knows
Naona una mengi ya kutusimulia tungeomba uelezee vizuri
 
Binafsi hili jambo ni gumu kuacha na kupuuza sio sawa,
Kupinga Bado Kuna ugumu
Navaa viatu vya serikali naona hii vita ni ngumu mno
kama serikali haijaweka sheria kali na kuziteleleza unategemea ifanikiwe? Serikali haijaamua....inatuektia tu lakini kiuhalisia hawana cha kufanya kutokana na kukubaliana na sheria za haki za binadamu.
Kwahiyo suala limebaki kwa mtu binafsi...LINDA KIZAZI CHAKO
 
Very wise mkuu,
Ni wachache wenye akili kubwa watakaelewa.
Ushoga ni personal issues, inashangaza kuona mtu sio ndugu yako wa karibu unapambanania kumtoa huko kwenye furaha zake. Je wewe unafaidika na nini akiwa shoga ama akiacha ushoga?
Mtu akiamua kufrw simpi hata nafasi ya kumjadili ni kupoteza mda.

Kuna wanawake wazuri sana hapa duniani mwanaume kufrwa inashangaza sana.
I'm very against na homesexuality kuwa normalized publicly because it affect young kids who are not fully matured enough to evaluate things and making right decisions especially kuhusu sexuality

And by the way why unashangaa men kuingiliwa why usishangae those who leave the so called beautiful girls na ku F***k guys with hanging balls
 
Serikali inafungwa na mikataba ya kimataifa ya haki za binadamu.
Waki react wataletewa zengwe ya kunyimwa misaada au hata kuzongwa na kuambiwa madikteta hadi kuachia madarakan
Hivya serikali ikiona impact zote hizi yaani ikose misaada ya barabara, afya, maji kisa inasimamia mtu asifirwe ?
Naelewa. Basi waache hizi porojo za kukemea kinafiki wakati hakuna kitu wanaweza kufanya kutokomeza.
 
Kwanini tunapinga bangi na madawa ya kulevya ikiwa anayevuta cocaine sio ndugu yako?
Hapa tunaangalia jamii
Kuna watu wengi wanafanya huo ushoga sirini na hakuna anayewafuata.
Sasa mtu akija kuonesha hadharani kwenye jamii hii ni mbaya
Mkuu tutakesha hapa, haya mambo yapo karne na karne. Mpaka Mungu amewahi angamiza kizazi kwa ajili ya ushoga.
Sisi tutaweza kuzuia?

Sisi tupambanie katiba mpya, huduma bora kabisa za afya, tutokomeze rushwa, maji safi, umeme, miundo mbinu murua, Ajira kwa vijana, Elimu bora n.k
 
Nimesoma lkn sijaelewa. Aje hapa atueleze matangazo ya Anko T yamevunja kosa gani kisheria. Dkt. Gwajima D
Anko T atasumbuliwa tu
Serikali haitahisika hata ushoga wake
Hapo watambana kama hiyo brand au kampuni yake ameisajili Brela
Hayo matangazo na hayo maudhui yake yanq kibali?
Ana kibali cha kuvaa mavazi ya kike hata kama n tangazi?
Kwaiyo laZima anasema tu
 
Mkuu tutakesha hapa, haya mambo yapo karne na karne. Mpaka Mungu amewahi angamiza kizazi kwa ajili ya ushoga.
Sisi tutaweza kuzuia?

Sisi tupambanie katiba mpya, huduma bora kabisa za afya, tutokomeze rushwa, maji safi, umeme, miundo mbinu murua, Ajira kwa vijana, Elimu bora n.k
Ni kweli ugumu upo
 
Anko T atasumbuliwa tu
Serikali haitahisika hata ushoga wake
Hapo watambana kama hiyo brand au kampuni yake ameisajili Brela
Hayo matangazo na hayo maudhui yake yanq kibali?
Ana kibali cha kuvaa mavazi ya kike hata kama n tangazi?
Kwaiyo laZima anasema tu
Kuvaa mavazi ya kike yanahitaji kibali? Hebu nifungueni macho tafadhali...
 
I'm very against na homesexuality kuwa normalized publicly because it affect young kids who are not fully matured enough to evaluate things and making right decisions especially kuhusu sexuality

And by the way why unashangaa men kuingiliwa why usishangae those who leave the so called beautiful girls na ku F***k guys with hanging balls
Good question kwa hio hapo wa kulaumiwa ni yupi?
 
I'm very against na homesexuality kuwa normalized publicly because it affect young kids who are not fully matured enough to evaluate things and making right decisions especially kuhusu sexuality

And by the way why unashangaa men kuingiliwa why usishangae those who leave the so called beautiful girls na ku F***k guys with hanging balls
Hapa nakubaliana na wewe, wa kudili nao ni mabasha.. hawa kwa namna moja ama nyingine ndio washawishi wakubwa wa ushoga.
Na wao ndio sababu kubwa ya kuwaingiza vijana kwenye ushoga.

Kijana anaweza kuwa ashawishiki na vitendo vya ushoga. Ila mabasha ndio washawishi wakubwa
 
Back
Top Bottom