Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 42,806
- 95,701
Hawawezi. Chezea haki za binadamu wewe😅Walipaswa kuwa wana washughulikia kimya kimya mtu anaitwa anafinywa vizuri sana then ghafla mnashangaa hapost ujinga Ujinga wake
Hawawezi. Chezea haki za binadamu wewe😅Walipaswa kuwa wana washughulikia kimya kimya mtu anaitwa anafinywa vizuri sana then ghafla mnashangaa hapost ujinga Ujinga wake
NaamSheria zipo imara tatizo masharti ya mikopo na midumu ndo inaifanya iwe butu
Lakini tukubaliane kuwa ni mambo mabayaSheria ya kumpima mtu ipoje? Yaani unaamua tu kumkamata mtu na kumpima au inakuaje?
Kumbuka kuna kipindi flani nyuma kidogo kuna watu walipelekwa muhimbili.kupimwa. lakini majibu hayakutoka..mwingine kule zenji video zilivuja anapakuliwa kesi ikaenda mahakamani...akapimwa akakutwa ni kweli tobo lipo wazi. Lakini mwisho.wa siku kesi ilifutwa na sasa yupo mtaani.
Haya mambo ya ushoga kama serikali imeshindwa kutokomeza ipasavyo ni bora waachane nayo. Hawajawahi kuonyesha mfano kwamba wanaweza. Ni porojo tu miaka yote.
Hapana lengo wala halikua siasa mkuu, ila tumeelewana.Unaona nimeongea siasa???
huduma bora za afya ni siasa?
Sikuombei ila ukiumwa vizuri utajua maana ya ninachosema. Hauta kumbuka hata kama kuna ushoga dunia.
Hakuna njia zozote za kuzuia. Kama serikali imeshindwa mimi na wewe ni nani tuweze? Kila mmoja alinde kizazi chakeLakini tukubaliane kuwa ni mambo mabaya
Lazima tuone ni njia Gani kisheria itaziua huu uchafu
Wanasema hivyo mkuu sasa mimi sijajua wanatumiaga kipimo gani labda waseme mwanaume kuuza mawigi na urembo wa kike ni ushoga?Tangu lini mwanaume.kuuza mawigi ikawa kosa? Maduka mengi wauza mawigi ni wanaume.
Mbona wauza chupi za kike hawakamatwi. Mawigi yana shida gani?
Km ni Mwanao unaweza kuwaambia hivi watu?Kinyeo ni chake. Aachweeee
Hawawezi. Chezea haki za binadamu wewe😅
Serikali haijashindwaHakuna njia zozote za kuzuia. Kama serikali imeshindwa mimi na wewe ni nani tuweze? Kila mmoja alinde kizazi chake
🙏📌Hii ni njia nzuri mno
Duuuuh so sad 😢 Kwa kweliKuna jamaa ni very handsome, ninafanya nae kazi sehemu. Siku akaniuliza una girl friend, nikamwambia hapana kwa sasa nina malengo kadhaa, nikikamilisha nitatafuta mmoja sababu napenda san wanawake classic na kuwa-impress ni pesa. Kwa sasa watanitoa kwenye malengo.
Nikamwuliza na wewe unae? Akanijibu kwa sauti kubwa nina boy friend. Kila mtu akasikia. Inashangaza sana
Wanawake matopeni maskiniKuna mambo hayana msingi kabisa.
Mnataka kupambana na mambo ya gizani?
Nani anaweza kumzuia asfrwe? Mknd si wake? Sasa shida iko wapi?
Tungeanza kutokomeza Rushwa, katiba mpya, bima ya afya huduma bora kabisa za kiafya, maji salama, umeme, miundo mbinu, kilimo.
Wanawake ni watamu mno mpaka watu wanabaka halafu jitu limeamua kufirwa mnataka kupambana nalo.
Acheni upuuzi. Acha afrweee
Kama ni mwanangu wewe unafikiri nitafanyaje? Niite Serikali imfunge jela? Wewe utanishauri nifanyeje?Km ni Mwanao unaweza kuwaambia hivi watu?
Anko T ametenda kosa gani kisheria? Labda tuanzia hapo...la sivyo Gwajima anapoteza muda wake
Kwa alichokiandika kiufupi Mama Heshima ni " Tuna shida na hayo matangazo yake je amesajili hiyo brand? Matangazo yako kwa mujibu wa Sheria?"Wewe sasa si Ke sio Me, au na wewe ndio vile ladies & gentlemen?
Sio unadhani hiyo ni sera ya kimataifa kwaajili ya kuspead ushoga duniani so kitu chochote kile kikisha undiwa sera na sheria kukifuta ni ngumu lazima kitasambaa tu katika jamii so next years to comes itaonekana ni kitu Cha kawaida Kwa baadhi ya watu wengiSerikali haijashindwa
Serikali imekosa utashi
Serikali inayopambana na drugs
Serikali inayopambana na ujambazi na ugaidi
Ndo ije ishindwe kulinda maadili Kwa kuzuia ushoga na usagaji
Nadhani mashoga wana nguvu mno kimataifa serikali ikigusa suala la ushoga, mzungu atakasirika
😁😁😁Kuna jamaa ni very handsome, ninafanya nae kazi sehemu. Siku akaniuliza una girl friend, nikamwambia hapana kwa sasa nina malengo kadhaa, nikikamilisha nitatafuta mmoja sababu napenda san wanawake classic na kuwa-impress ni pesa. Kwa sasa watanitoa kwenye malengo.
Nikamwuliza na wewe unae? Akanijibu kwa sauti kubwa nina boy friend. Kila mtu akasikia. Inashangaza sana