Je, Dkt. Dorothy Gwajima ataiweza vita dhidi ya ushoga?

Tatizo ni Serikali
Inapaswa iunde kikosi cha kuwapiga chuma mashoga wote, na wanaohisiwa mashoga
Walawiti
International law ipo pale sio rahisi hivyo ilianza Congo DRC walikua wanawachoma moto ikafuata Uganda wakafanya ya kufanya hapa tunazingatia Mikataba na Sheria za kimataifa ambazo zimetufunga kufanya unachosema, mambo ya haki za binadamu

Seran ushaamka naona unabonyeza bonyeza kioo tu angalia usije ukakipasua
 
Kwahiyo haki za binadamu ni kwa mashoga tu? Vipi waliouliwa kikatili mo29? Hujielewi ww
Seran ushaamka naona unabonyeza bonyeza kioo tu angalia usije ukakipasua
Nikikipasua unanunuaga wewe simu zangu? Nenda kanyooshe kanzu ujiandae kudoea bado mapema hii
 
Umeamka na hasira za nani mimi? Asubuhi yote hii ushachukia ndio usije ukapasua kioo hicho bonyeza taratibu na hizo kucha ndefu zilizokaa juu ya kucha
 
1729874687046.jpg

ila huu ni ugonjwa wa akili kabisa.
 
Wala sio kichaka ni wewe na mtazamo wako, mawigi sioni kama ni tatizo kwake kuvaa na kutangaza kwa muda..!!

Kama angekuwa anayavaa anazunguka nayo hapo tungesikiliza hoja yenu..!!

Kwani Joti hawezi kumuweka mwanamke akaigiza mpaka ajiweke yeye??
Hivi ushawahi kuona content za Joti?

Wanaume wanafki sana hebu anzeni na Joti. Huyu ndo kinara wa kuharibu desturi.

Watoto wanaharibika vipi? Kwamba wewe unawapa simu wamtazame Anko T akiuza mawigi yake??
Basi tukuchape viboko kama unaruhusu watoto washike simu wawatazame watu uliowafollow mitandaoni..!!
watu ni wanafiki sana joti na yule dullah cjui, wanachekewa na hakuna malalamishi ila anko t wanampandia juu sijawahi msikia akitangaza kutaka mwanaume.
 
Joti, Mpoki, Masanja, Wakuvanga, Dullivan, Wozzu, hao kwa kutaja wachache wameshafanya sana hizo content za kike kwa nyakati tofauti tofauti.. ila wanasema ni Project ya kuizima October 29, nimepiga break hapo.
 
oh kumbe, kwahiyo anko t kapitiliza mazima
 
Back
Top Bottom