Je, Dkt. Mpango ndiye Rais ajaye?

CCM mwisho wake 2025.
 
Akiwa Waziri wa Fedha inadaiwa ndiye aliyemshauri Rais Magufuli kuwa kuwapandishia wafanyakazi mishahara kila mwaka sio Jambo la lazima bali ni hiari, "Tuhangaikie miradi Kwanza".
Kama n kwel bc nadhan anafaa kuwa rais, wafanyakazi wengi wa serikalini wanawaza kupandishiwa mishahara tuu lkn ufanisi wa kazi upo duni au hauongezeki
 
Hivi nyinyi mna mfumo?
 
Kiburi cha AFYA na UZIMA....

Siku ni mwaka.....

Badala ya kulijenga taifa chini ya Samia tunakaa kufikiria "Mapenzi dhaifu ya nafsi" [emoji1787][emoji1787]

Nilitegema TUAINISHE hulka ,tabia na uwezo wa atakayepokea kijiti baada ya mh.Rais Samia amin...

Na si hivi kumtaja MTU kabisa.......

#Mama Anaupiga Mwingi[emoji120]
#SiempreJMT[emoji120]
 
Speculations zimekuwa nyingi kuelekea 2025 - 2030.

Muhimu Mungu atupe kibali cha Uzima, mtakuja kuona msiyoyatarajia.

Home ya Uchaguzi Loading..............
Samia ataanza kipindi chake kwa kwanza 2025. Cha pili 2030. Anamaliza 2035. Sasa hivi anamalizia daiwaka aliyoachiwa
 
Kama n kwel bc nadhan anafaa kuwa rais, wafanyakazi wengi wa serikalini wanawaza kupandishiwa mishahara tuu lkn ufanisi wa kazi upo duni au hauongezeki
Idara zingine ni mzigo kwa mlipakodi.


Nimewahi kushuhudia gari la zimamoto likifika kwenye eneo linaloungua kumbe gari likawa halina maji; wananchi walitaka kulichoma moto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…