Uhakiki
JF-Expert Member
- May 18, 2017
- 7,288
- 7,704
@jimama26 mambo[emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
@jimama26 mambo[emoji23][emoji23][emoji23]
Agiza popcorn 🍿 zako kabisaHaleluya Acha nikae huku Annex nipunge upepo mwanana kazi imeisha
Acha tuAgiza popcorn 🍿 zako kabisa
Hii Nchi ngumu Mkuu
CCM mwisho wake 2025.Ktk mazungumzo yangu na watu nyeti nimedokezwa Jambo la kushangaza. Wanadai kuwa ishaamuliwa baada ya Mama yetu mpendwa, ajaye ni Makamu Rais Dr Philip Mpango.
Niliwaambia mbona Kuna vijana wawili na hata wanne machachari wanatajwa kuwinda nafasi hii? Wakadai kuwinda na kulenga shabaha ni jambo jingine.
Nikawauliza tena hadi kipindi tarajiwa Makamu atakuwa Mzee Sana!! Wakanijibu wewe wasema!!
Niliondoka nimeinamisha kichwa chini kwa sababu akiwa Waziri wa Fedha inadaiwa ndiye aliyemshauri Rais Magufuli kuwa kuwapandishia wafanyakazi mishahara kila mwaka sio Jambo la lazima bali ni hiari, "Tuhangaikie miradi Kwanza".
Kama n kwel bc nadhan anafaa kuwa rais, wafanyakazi wengi wa serikalini wanawaza kupandishiwa mishahara tuu lkn ufanisi wa kazi upo duni au hauongezekiAkiwa Waziri wa Fedha inadaiwa ndiye aliyemshauri Rais Magufuli kuwa kuwapandishia wafanyakazi mishahara kila mwaka sio Jambo la lazima bali ni hiari, "Tuhangaikie miradi Kwanza".
mama ako ana uroho wa madaraka hawezi kataa kuendeleaUsiamini sana! Unless otherwise Mama akiamua kukataa kuendelea,vinginevyo ni Mama tu.
Sisi ndio tunapanga Rais awe Nani, Kama Mkristo sharti awe Mkatoliki, akiwa Mwislam sharti awe Bakawata. Hutaki kajiue, hata upinzani failure ya kwanza kusimamisha Rais asiwe Mkatoliki au BakwataWagalatia hampewi tena nchi
Hivi nyinyi mna mfumo?Ktk mazungumzo yangu na watu nyeti nimedokezwa Jambo la kushangaza. Wanadai kuwa ishaamuliwa baada ya Mama yetu mpendwa, ajaye ni Makamu Rais Dr Philip Mpango.
Niliwaambia mbona Kuna vijana wawili na hata wanne machachari wanatajwa kuwinda nafasi hii? Wakadai kuwinda na kulenga shabaha ni jambo jingine.
Nikawauliza tena hadi kipindi tarajiwa Makamu atakuwa Mzee Sana!! Wakanijibu wewe wasema!!
Niliondoka nimeinamisha kichwa chini kwa sababu akiwa Waziri wa Fedha inadaiwa ndiye aliyemshauri Rais Magufuli kuwa kuwapandishia wafanyakazi mishahara kila mwaka sio Jambo la lazima bali ni hiari, "Tuhangaikie miradi Kwanza".
Dk samia vipi hamkupanga awe Rais😂😂Sisi ndio tunapanga Rais awe Nani, Kama Mkristo sharti awe Mkatoliki, akiwa Mwislam sharti awe Bakawata. Hutaki kajiue, hata upinzani failure ya kwanza kusimamisha Rais asiwe Mkatoliki au Bakwata
Samia ataanza kipindi chake kwa kwanza 2025. Cha pili 2030. Anamaliza 2035. Sasa hivi anamalizia daiwaka aliyoachiwaSpeculations zimekuwa nyingi kuelekea 2025 - 2030.
Muhimu Mungu atupe kibali cha Uzima, mtakuja kuona msiyoyatarajia.
Home ya Uchaguzi Loading..............
Mpango ni Mtanzania.Burundi kwa mara ingine?😡😡
Hata hii katiba mbovu huifahamu !.Samia ataanza kipindi chake kwa kwanza 2025. Cha pili 2030. Anamaliza 2035. Sasa hivi anamalizia daiwaka aliyoachiwa
Ebu taja majina yake yote halafu uniambie kama kuna Mtanganyika mwenye jina hilo.Mpango ni Mtanzania.
Idara zingine ni mzigo kwa mlipakodi.Kama n kwel bc nadhan anafaa kuwa rais, wafanyakazi wengi wa serikalini wanawaza kupandishiwa mishahara tuu lkn ufanisi wa kazi upo duni au hauongezeki