Je, Dkt. Mpango ndiye Rais ajaye?

Kama chadema hawana mpango wa kushiriki uchaguzi 2025 km hakuna tume huru ya uchaguzi, ina maana 2025 CCM itendelea tena kutawala.

Tuombe CHADEMA wakubali kushiriki japo kushinda nafasi ya urais kwa tume hii sidhani, kwenye ubunge wanaweza kupatapata.
 

Sentensi za mwisho zinaonyesha huu ni uchonganishi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…