Je, Dkt. Mpango ndiye Rais ajaye?

Je, Dkt. Mpango ndiye Rais ajaye?

😄 🤣 sawa
FM_UkAfXwAIlnVM.jpg

Karibu Kahawa Mkuu tupo Temeke Sudani.
 
2030 kutakua na vijana ambao watapambana na Chadema ikiwa madarakani, ila hawataweza maana ccm wakati huo itakua imechakaa mara 20, kama ccm wataweza kukirudisha mchezoni chama may be 2035, nayo itategemea wapi chadema watakua wamefail katika kuwatumikia wananchi

Sasa ccm jidanganye iba kura 2025 ndo mtajua hamjui , sio maneno yangu ,bali nikutoka kwake aliejuu, awafanyae kaa kwenye viyoyozi, na mav8
Kama chadema hawana mpango wa kushiriki uchaguzi 2025 km hakuna tume huru ya uchaguzi, ina maana 2025 CCM itendelea tena kutawala.

Tuombe CHADEMA wakubali kushiriki japo kushinda nafasi ya urais kwa tume hii sidhani, kwenye ubunge wanaweza kupatapata.
 
Ktk mazungumzo yangu na watu nyeti nimedokezwa Jambo la kushangaza. Wanadai kuwa ishaamuliwa baada ya Mama yetu mpendwa, ajaye ni Makamu Rais Dr Philip Mpango.

Niliwaambia mbona Kuna vijana wawili na hata wanne machachari wanatajwa kuwinda nafasi hii? Wakadai kuwinda na kulenga shabaha ni jambo jingine.
Nikawauliza tena hadi kipindi tarajiwa Makamu atakuwa Mzee Sana!! Wakanijibu wewe wasema!!

Niliondoka nimeinamisha kichwa chini kwa sababu akiwa Waziri wa Fedha inadaiwa ndiye aliyemshauri Rais Magufuli kuwa kuwapandishia wafanyakazi mishahara kila mwaka sio Jambo la lazima bali ni hiari, "Tuhangaikie miradi Kwanza".

Sentensi za mwisho zinaonyesha huu ni uchonganishi...
 
Back
Top Bottom