imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Kweni majina ya "Kitanganyika" ni yepi?Ebu taja majina yake yote halafu uniambie kama kuna Mtanganyika mwenye jina hilo.
Niorodheshee tafadhali, Mnyamahanga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweni majina ya "Kitanganyika" ni yepi?Ebu taja majina yake yote halafu uniambie kama kuna Mtanganyika mwenye jina hilo.
Utasinyaa sana, Mpango haepukiki.Ebu taja majina yake yote halafu uniambie kama kuna Mtanganyika mwenye jina hilo.
Unakuta mtu kama huyu ety n kichwa cha familia 🗑️Samia ataanza kipindi chake kwa kwanza 2025. Cha pili 2030. Anamaliza 2035. Sasa hivi anamalizia daiwaka aliyoachiwa
Lakini nyie si ndio mlisema hii ni awamu ya Tano. Tulia kaka ianze awamu ya sita rasimi hapo 2025Unakuta mtu kama huyu ety n kichwa cha familia 🗑️
Ni tafsiri tu. Itabidi mahakama ya kikatiba itutafsirie maana ya vipindi viwili vya uraisHata hii katiba mbovu huifahamu !.
Nataka niseme kitu ila ngoja kwanzaKama huamini, huu Uzi utatrend 2030
Mzanzibari tena???The next chief is Hussein mwinyi 2030
Kuna watu ni Maqooma sana yani.Unafuu wa kuuziwa petrol sh 3,500 kwa lita? 😆😆
Wanasema mwisho wa uchaguzi mmoja ni mwanzo wa maandalizi ya uchaguzi unaofuatia.Yaani nikiangalia siasa za bongo nacheka tu kwani hakuna cha maana kitakachotokea hata miaka 50 ijayo
Mnawaza nani atakuwa Rais badala ya.. tutakuwa wapi kimaendeleo mwaka 2030
Ungetupongeza, angalao leo hatuongelei Ngono Simba na Yanga na Diamondi.Yaani nikiangalia siasa za bongo nacheka tu kwani hakuna cha maana kitakachotokea hata miaka 50 ijayo
Mnawaza nani atakuwa Rais badala ya.. tutakuwa wapi kimaendeleo mwaka 2030
Watu wanawaza kurithishana vyeo tu, thats the best thing Chama cha Mambuzi can do.Yaani nikiangalia siasa za bongo nacheka tu kwani hakuna cha maana kitakachotokea hata miaka 50 ijayo
Mnawaza nani atakuwa Rais badala ya.. tutakuwa wapi kimaendeleo mwaka 2030
😄 🤣 sawaUngetupongeza angalao leo hatuongelei Ngono.
NAMBA MOJA AJAYE NCHINI Jabali ni JG Mlawi au?
Kama chadema hawana mpango wa kushiriki uchaguzi 2025 km hakuna tume huru ya uchaguzi, ina maana 2025 CCM itendelea tena kutawala.2030 kutakua na vijana ambao watapambana na Chadema ikiwa madarakani, ila hawataweza maana ccm wakati huo itakua imechakaa mara 20, kama ccm wataweza kukirudisha mchezoni chama may be 2035, nayo itategemea wapi chadema watakua wamefail katika kuwatumikia wananchi
Sasa ccm jidanganye iba kura 2025 ndo mtajua hamjui , sio maneno yangu ,bali nikutoka kwake aliejuu, awafanyae kaa kwenye viyoyozi, na mav8
PoleLakini nyie si ndio mlisema hii ni awamu ya Tano. Tulia kaka ianze awamu ya sita rasimi hapo 2025
Ktk mazungumzo yangu na watu nyeti nimedokezwa Jambo la kushangaza. Wanadai kuwa ishaamuliwa baada ya Mama yetu mpendwa, ajaye ni Makamu Rais Dr Philip Mpango.
Niliwaambia mbona Kuna vijana wawili na hata wanne machachari wanatajwa kuwinda nafasi hii? Wakadai kuwinda na kulenga shabaha ni jambo jingine.
Nikawauliza tena hadi kipindi tarajiwa Makamu atakuwa Mzee Sana!! Wakanijibu wewe wasema!!
Niliondoka nimeinamisha kichwa chini kwa sababu akiwa Waziri wa Fedha inadaiwa ndiye aliyemshauri Rais Magufuli kuwa kuwapandishia wafanyakazi mishahara kila mwaka sio Jambo la lazima bali ni hiari, "Tuhangaikie miradi Kwanza".