Je, Dkt. Mpango ndiye Rais ajaye?

Rais wa Tanzania ni chaguo la Mungu tu na siyo matakwa ya binadamu. Ukiacha J K Nyerere Rais wa kwanza, kila ambaye alisemwa sana hajawahi kupata hiyo nafasi hiyo.

Mungu akitaka uwe Rais utakuwa tu. Akina Lowassa, Membe na Maalim Seif walishupaa sana kutaka kuwa mRais wa Tz na Znz lakini waliishia wapi?
 
Naunga mkono hoja.he seems to be a good leader.
 
Hao TEC ndio wenye mamlaka ya kutuchagulia Rais?...nani kawapa?
 
Kikwete alitajwa na kujiandaa na akawa Rais kweli.
 
Kwahiyo... Huu uzi umeletwa ili tujiandae kisaikolojia?
Mtoa mada nimekusoma..

Ila achane hayo mambo...!!
 
Hao watu nyeti ndiyo akina nani!? Maana nchi hii kila kitengo ni nyeti!!!

Umeona eeee, kwa hiyo tuachane na harakati za uchaguzi maana zinatupa gharama na kutupotezea muda achili mbali madhira yake na zile taharuki zake.
 
Mmemponza jamaa Hadi tetesi za huko zikanushwe kuwa anaumwa!!

Mimi nadhani thread kama hizi humuumiza mlengwa kisaikolojia na kiakili!!
 
Manjozi ya mtoa mada Dr mpango atakuwa mzee mno, pia ni hatari kwa mfumo uliopo, Jamaa haangaliagi hata jirani kalalaje kala au kulala njaa 😁😁😁
Wewe unajua kama jirani yako alilala niaa?
 
Ok, mmepandishiwa mishahara, nini kimebadilika kwenye maisha yenu?

Vilio vimeongezeka kuliko wakati wa yule aliyewanyima nyongeza, japo sitetei kunyimwa stahiki zenu. Tozo kila utakapokanyaga.
That's how economics works, unaongeza mishahara inaleta inflation unaweka tax unaondoa ile excess disposable income. Hata JPM alibana mishahara na matumizi mwishowe hela ikapungua kwenye mzunguko so ajira zikafa makusanyo yakashuka.

So kila kitu kifanywe systematically sio zero sum game
 
Sheria ya tanzania ni kuanzia miaka 41 na kuendelea haina kikomo labda itumike busara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…