NAMBA MOJA AJAYE NCHINI
JF-Expert Member
- Oct 29, 2019
- 9,863
- 20,806
Kuna mpango wa kabla ya hapo Mkuu!Kama huamini, huu Uzi utatrend 2030
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna mpango wa kabla ya hapo Mkuu!Kama huamini, huu Uzi utatrend 2030
Usiamini sana! Unless otherwise Mama akiamua kukataa kuendelea,vinginevyo ni Mama tu.
Unafuu wa kuuziwa petrol sh 3,500 kwa lita? 😆😆Kwanza Mimi sifanyi kazi serikalini, lakini watumishi wanadai Kuna unafuu Sasa.
Kama leo watu wanawaza uchaguzi badala ya kuwaza kukamilisha mipango ya maendeleo, basi kama Nchi swala la maendeleo tutalisikia kwenye CNN, Aljazeera, BBC, France 24, etc.Speculations zimekuwa nyingi kuelekea 2025 - 2030.
Muhimu Mungu taupe kibali cha Uzima, mtakuja kuona msiyoyatarajia.
Home ya Uchaguzi Loading..............
Unanyimwa nyongeza mafuta unauziwa 1700, unapewa nyongeza mafuta unauziwa 3200! Nani mjanja!!??Ok, mmepandishiwa mishahara, nini kimebadilika kwenye maisha yenu?
Vilio vimeongezeka kuliko wakati wa yule aliyewanyima nyongeza, japo sitetei kunyimwa stahiki zenu. Tozo kila utakapokanyaga.
Hao watu nyeti ndiyo akina nani!? Maana nchi hii kila kitengo ni nyeti!!!Ktk mazungumzo yangu na watu nyeti nimedokezwa Jambo la kushangaza. Wanadai kuwa ishaamuliwa baada ya Mama yetu mpendwa, ajaye ni Makamu Rais Dr Philip Mpango.
Niliwaambia mbona Kuna vijana wawili na hata wanne machachari wanatajwa kuwinda nafasi hii? Wakadai kuwinda na kulenga shabaha ni jambo jingine.
Nikawauliza tena hadi kipindi tarajiwa Makamu atakuwa Mzee Sana!! Wakanijibu wewe wasema!!
Niliondoka nimeinamisha kichwa chini kwa sababu akiwa Waziri wa Fedha inadaiwa ndiye aliyemshauri Rais Magufuli kuwa kuwapandishia wafanyakazi mishahara kila mwaka sio Jambo la lazima bali ni hiari, "Tuhangaikie miradi Kwanza".
Deep StateTEC ni kina nani hadi waamue nani awe nani
Tunafanya maendeleo huku tukiwaza uchaguzi piaKama leo watu wanawaza uchaguzi badala ya kuwaza kukamilisha mipango ya maendeleo, basi kama Nchi swala la maendeleo tutalisikia kwenye CNN, Aljazeera, BBC, France 24, etc.
Shangaa mkuu! Kila kitu bei juu na tozo kila utakapogusa.Unanyimwa nyongeza mafuta unauziwa 1700, unapewa nyongeza mafuta unauziwa 3200! Nani mjanja!!??
Mnawaonea sana TEC.m..Philip Isdory Mpango atastaafu na Samia wake, wote washachoka 'wanazeeka pamoja'
Anayefuata baada ya Samia waulize TEC
Kwa kweli, Mipango ya Viongozi wengi ni kuendelea kushika madaraka badala ya kusaidia kusogeza maendeleo na ustawi wa NchiKama leo watu wanawaza uchaguzi badala ya kuwaza kukamilisha mipango ya maendeleo, basi kama Nchi swala la maendeleo tutalisikia kwenye CNN, Aljazeera, BBC, France 24, etc.
Hatoki KKKT tena? 😂😂😂Ungewauliza kuanzia mwaka gani?
Kwa mujibu wa TEC ..Mpango ndo anatakiwa aanze mwaka 2025...
Labda swali lako la atakuwa Mzee Sana mwaka 2030 wameshindwa kukujibu sababu wanajua wao vipi mwaka 2025 watafanya ...kumtoa Samia...
Au labda tayari wanafanya?
Pengine waraka ni sehemu ya hiyo mikakati?
Na wewe mrundi?Apite bila kupingwa, mimi ni jirani yake yawezekana akatujengea barabara ya juu kutoka posta mpaka Chanika
Hatoki KKKT tena? 😂😂😂
Wa Awamu ya 4 alikuwa Mrundi? 😄TEC wanapenda warundi.. JPM,Mpango..