Je, Dkt. Mpango ndiye Rais ajaye?

Je, Dkt. Mpango ndiye Rais ajaye?

Speculations zimekuwa nyingi kuelekea 2025 - 2030.

Muhimu Mungu taupe kibali cha Uzima, mtakuja kuona msiyoyatarajia.

Home ya Uchaguzi Loading..............
Kama leo watu wanawaza uchaguzi badala ya kuwaza kukamilisha mipango ya maendeleo, basi kama Nchi swala la maendeleo tutalisikia kwenye CNN, Aljazeera, BBC, France 24, etc.
 
Ktk mazungumzo yangu na watu nyeti nimedokezwa Jambo la kushangaza. Wanadai kuwa ishaamuliwa baada ya Mama yetu mpendwa, ajaye ni Makamu Rais Dr Philip Mpango.

Niliwaambia mbona Kuna vijana wawili na hata wanne machachari wanatajwa kuwinda nafasi hii? Wakadai kuwinda na kulenga shabaha ni jambo jingine.
Nikawauliza tena hadi kipindi tarajiwa Makamu atakuwa Mzee Sana!! Wakanijibu wewe wasema!!

Niliondoka nimeinamisha kichwa chini kwa sababu akiwa Waziri wa Fedha inadaiwa ndiye aliyemshauri Rais Magufuli kuwa kuwapandishia wafanyakazi mishahara kila mwaka sio Jambo la lazima bali ni hiari, "Tuhangaikie miradi Kwanza".
Hao watu nyeti ndiyo akina nani!? Maana nchi hii kila kitengo ni nyeti!!!
 
Philip Isdory Mpango atastaafu na Samia wake, wote washachoka 'wanazeeka pamoja'

Anayefuata baada ya Samia waulize TEC
Mnawaonea sana TEC.m..

Pamoja na nguvu yao kubwa ya kiimani lakini mambo ya tawala na siasa ni tofauti nao....hawako 100p....
 
Ungewauliza kuanzia mwaka gani?
Kwa mujibu wa TEC ..Mpango ndo anatakiwa aanze mwaka 2025...
Labda swali lako la atakuwa Mzee Sana mwaka 2030 wameshindwa kukujibu sababu wanajua wao vipi mwaka 2025 watafanya ...kumtoa Samia...

Au labda tayari wanafanya?
Pengine waraka ni sehemu ya hiyo mikakati?
Hatoki KKKT tena? 😂😂😂
 
Back
Top Bottom