Elections 2010 Je, Dr. Willibrod Slaa atatufaa?

s65bv8.jpg

Wameshakula na wewe? Usijali Mkuu wangu, sina maana hiyo................

Last edited by a moderator:
Kalunguine: Join date:- Wed Oct 2010

Tandale one: Join date:- Sat Sep 2010

Bila shaka haya ni mapandikizi ya CCM yaliyovamnia JF baada ya kuanza kwa kampeni na kuona muungwana anazidi kuelemewa. Hata hivyo nawasikitikia kuwa mmechelewa sana na propaganda zenu feki.
 
Mwandish Bollen Ngetti aliandika"mtu huwezi kuamka tu usingizini na na kutaka kuchaguliwa kuwa rais wa nchi hasa kwa nchi changa kama hizi za dunia ya tatu ( na Tanzania ikiwemo) bali yapo mazingira yanayomuandaa mtu ndani na nje ya nchi kuwa mkuu wa nchi.

Heshima mbele Mkuu Kalunguine: TandaleOne ni ID yako nyingine humu JF? Umeweka hiyo topic yako saa 12.44 na dakika moja baadaye yaani 12.45 TandaleOne akaijibu kwa kukuunga mkono! Inawezekana hii? Alikuwa anaisubiri topic?
 
Hii hoja ina hisia za kidini na upungufu wa kinga za mawazo (UKIMA)
 
Mwandish Bollen Ngetti aliandika"mtu huwezi kuamka tu usingizini na na kutaka kuchaguliwa kuwa rais wa nchi hasa kwa nchi changa kama hizi za dunia ya tatu ( na Tanzania ikiwemo) bali yapo mazingira yanayomuandaa mtu ndani na nje ya nchi kuwa mkuu wa nchi.
Hoja yako iko wapi? Unaongea kama mtu anayetoka usingizini! Vipi kuhusu rais wako mtembeza bakuli kila kukicha wakati pesa ya nchi inaliwa na mafisadi. Mazingira gani yalitumika kumwandaa huyo mgombea wenu ambaye kwa kipindi cha miaka 5 iliyopita amefanya virtualy hakuna! Si elimu si barabara, si vita vya ufisadi si rushwa, si kilimo! Uswahili swahili tu ndio ulitawala! Halafu wewe na upofu wako unamwona kafanya tena sana!
Ni heri ukawa masikini wa pesa kulika kuwa masikini wa fikra!
 
Mwandish Bollen Ngetti aliandika"mtu huwezi kuamka tu usingizini na na kutaka kuchaguliwa kuwa rais wa nchi hasa kwa nchi changa kama hizi za dunia ya tatu ( na Tanzania ikiwemo) bali yapo mazingira yanayomuandaa mtu ndani na nje ya nchi kuwa mkuu wa nchi.
Tueleze yupi anafaa Mziray au Lipumba auWa TLP manake kikwete bado kuzikwa na hivi alivyochelewa kwenda kubadirisha damu sijui itakuwaja tueleze basi yupi anafaa,ridhiwani au salma naona miraji undali road upanga area
 
Hivi mbona hawa jamaa wote, Kalunguine, Tandale one, Kadogoo, Malaria Sugu, and The list Go.
Mbona hoja zao hazina hata Chembe ya mshiko. Quality yake iko chini sana. What kind of people are they? hawa hawajaishia Class seven wakaenda Computer course Kwli? wapi mmeshawahi ona malaria sugu ameandika umombo?
 
Mwandish Bollen Ngetti aliandika"mtu huwezi kuamka tu usingizini na na kutaka kuchaguliwa kuwa rais wa nchi hasa kwa nchi changa kama hizi za dunia ya tatu ( na Tanzania ikiwemo) bali yapo mazingira yanayomuandaa mtu ndani na nje ya nchi kuwa mkuu wa nchi.

Shallow
 
Hivi mbona hawa jamaa wote, Kalunguine, Tandale one, Kadogoo, Malaria Sugu, and The list Go.
Mbona hoja zao hazina hata Chembe ya mshiko. Quality yake iko chini sana. What kind of people are they? hawa hawajaishia Class seven wakaenda Computer course Kwli? wapi mmeshawahi ona malaria sugu ameandika umombo?

Wote wametumwa na MAKAMBA usishangae mkuu.
 
Jenga hoja mkuu, one premise does not lead to a viable and sound conclusion!
 
Back
Top Bottom