Elections 2010 Je, Dr. Willibrod Slaa atatufaa?

Elections 2010 Je, Dr. Willibrod Slaa atatufaa?

Sijasema kwamba ubora wa maandishi yangu unatakiwa kuwa sahihi wakati wote, hili nalikubali. Hapa naongelea kitu tofauti.

Naongelea standards na applications zake. Naongelea "Noblesse Oblige". Naongelea "To whom much is given, much is required". Hizi ni basic principles. Huwezi kumpa mtoto wa darasa la pili mtihani wa Chuo Kikuu kuandika research paper, utaonekana unachekesha.

Unayosema ni sahihi kabisa. Ila ni sahihi kwenye nyanja tofauti na hapa tulipo. Hapa JF hakuna haja ya kuwa too keen na maandishi tunayoyatoa. Sababu ni kuwa hapa tunafanya discussion tu.

Mimi kwa kazi ninayofanya na dhamana yake kwa maisha ya kila siku kwa wananchi wa Tanzania ni kama mtoto wa darasa la pili. Dr. Slaa kazi anayofanya na hususan anayoiomba ya urais, dhamana yake kwa maendeleo ya taifa ni kama mtihani wa Chuo Kikuu kuandika research paper. Kutupa mimi mtoto wa darasa la pili na Dr. Slaa mtu anayeandika research paper ya chuo kikuu standards zile zile na mtihani ule ule itakuwa ni utovu wa maarifa.

Mimi si Dr, Slaa ni Dr. Mimi siko katika uongozi wa kisiasa wa Tanzania ngazi ya taifa, Slaa yumo, mimi sijaomba dhamana ya kupigiwa kura na wananchi hata ujumbe wa nyumba kumi, Slaa kashaomba na sasa anaomba kura za mamilioni ya Watanzania nchini kote.

Utawezaje kutuweka katika fungu moja?
Mkuu, ni vigumu kunishawishi kuwa hapa JF panafanana kwa namna yoyote na chumba cha mtihani. Ungeweza kufananisha majadiliano ya kawaida kati ya mwanafunzi wa darasa la pili na mtu wa chuo kikuu. Katika maongezi ya kawaida, hakuna tofauti kubwa kati ya alie chuo kikuu na alie katika shule za chini.

Japokuwa hata ufananisho wako hapo juu si sahihi. Siamini kuwa huwezi kuomba ridhaa ya kuchaguliwa kuwa Rais. Level hiyo naamini umeifikia. Tofauti yako nae ni maamuzi, uthubutu na nia ya kuomba kuchaguliwa tu. Inawezekana usiwe na exposure ya matatizo ya msingi ya Taifa kama alivyo yeye. Hiyo inaweza kuwatofautisha zaidi.

Vyovyote iwavyo, mapungufu hayo si ya msingi sana kwa taasisi ya Rais, maana ana watu wa kutosha kuhakikisha kuwa nyaraka zake zote ziko sahihi.
 
Sikusema kama napingana na ligi (trust me... napenda sana ligi za JF). Tatizo ni kuwa, sidhani kama Dr Slaa ana muda wa kuendesha ligi na yeyote hapa JF kwa muda huu. Ligi zinahitaji uwepo JF masaa 24, otherwise kina Kiranga na wenzake watakuita muongo.

Unlike you, mimi sitetei ligi, natetea majadiliano yenye mantiki.

Sitaki Dr. Slaa aje kuendesha ligi, nataka aje kuendesha majadiliano yenye mantiki.

So far Dr. Slaa ananipa haki ya kumuita muongo, kwa kuahidi kwamba maswali yatajibiwa halafu kukimbia bila kujibu maswali wala kujiudhuru

Waswahili walisema "Ada ya mja kunena, muungwana ni matendo".
 
Kiranga sitaki kukuaibisha rafiki yangu ila katika hili umeanza kujichanganya na kupotoka.

Hiki ndicho ulisema somewhere hapo juu

Kiranga said:
Kama unaita kuulizana kuendeleza ligi, then point nzima ya JF ni kuendeleza ligi. Kama huna nia ya kuendeleza ligi huhitaji kuwa JF.

Come on ... mbona unaniangusha mazee
 
Kiranga sitaki kukuaibisha rafiki yangu ila katika hili umeanza kujichanganya na kupotoka.

Hiki ndicho ulisema somewhere hapo juu

Come on ... mbona unaniangusha mazee

Ndio madhara ya kuwa all over the map hadi unasahau hata uliyoyasema (andika). Sasa subiri spin....
 
Ndio madhara ya kuwa all over the map hadi unasahau hata uliyoyasema (andika). Sasa subiri spin....

Nakuambia hapa nimekamata mtu hadi inachekesha. I like this Kiranga guy (and most of the things he does hapa JF) BUT .... huwa ananiangusha sana akianza hizi ligi ambazo mwisho wa siku huwa zinamwangusha sana.
 
Unayosema ni sahihi kabisa. Ila ni sahihi kwenye nyanja tofauti na hapa tulipo. Hapa JF hakuna haja ya kuwa too keen na maandishi tunayoyatoa. Sababu ni kuwa hapa tunafanya discussion tu.

JF tunawasiliana kwa maandishi. Kama unasema hatuna haja ya kuwa too keen on maandishi, basically unasema hatuna haja ya kuwa too keen on anything. How can we be too keen on anything if we cannot be too keen on the way we communicate/

Mkuu, ni vigumu kunishawishi kuwa hapa JF panafanana kwa namna yoyote na chumba cha mtihani. Ungeweza kufananisha majadiliano ya kawaida kati ya mwanafunzi wa darasa la pili na mtu wa chuo kikuu. Katika maongezi ya kawaida, hakuna tofauti kubwa kati ya alie chuo kikuu na alie katika shule za chini.

Sijasema JF ni chumba cha mtihani, nimesema standards za kum judge Slaa kwa level yake, popote atakapokuwa, zikilinganishwa na standards za kuni judge mimi, ni tofauti kama mtihani wa darasa la pili na research paper ya Chuo Kikuu. Big difference.

Japokuwa hata ufananisho wako hapo juu si sahihi. Siamini kuwa huwezi kuomba ridhaa ya kuchaguliwa kuwa Rais. Level hiyo naamini umeifikia. Tofauti yako nae ni maamuzi, uthubutu na nia ya kuomba kuchaguliwa tu. Inawezekana usiwe na exposure ya matatizo ya msingi ya Taifa kama alivyo yeye. Hiyo inaweza kuwatofautisha zaidi..

Unajuaje kwamba naweza kuomba urais? Vipi kama nina uwezo na ujasiri ninao lakini katiba hainiruhusu kwa sababu inanilazimisha kuingia katika chama cha siasa na mimi siamini katika kushiriki katika vyama hivi ? Usiweke assumptions tu.

Unaweza kumwambia mtu "japo hujasema kwamba unataka kununua hili gari langu, lakini una uwezo huo, hivyo nipe hela zako, ni haki yangu nikuuzie gari hili kwa sababu una uwezo wa kununua gari hili" ? Si utakuwa kichekesho ?

Hata kama ningekuwa na chama cha kisiasa na kuondoa issue ya katiba kutonipa nafasi kwa sababu ya kutokuwa na chama, the fact kwamba nina haki/ uwezo wa kugombea urais hainipi presidential level scrutiny automatically kama sija declare nia kwamba nataka kuwa rais. Wangapi wanaweza kuwa rais wa Tanzania lakini hatusikii kuandikwa magazetini wala kuwa scrutinized? Hii ni kwa sababu hawajasema kwamba wanataka kuwa rais, Slaa kasema, kwa hiyo scrutiny level kwake na kwangu ni tofauti.

Vyovyote iwavyo, mapungufu hayo si ya msingi sana kwa taasisi ya Rais, maana ana watu wa kutosha kuhakikisha kuwa nyaraka zake zote ziko sahihi.

Nafurahi umeona hili, lakini yeye na jeshi lake lote hawataweza kurekebisha chochote kwamba kuna makosa, je amekubali kwamba wana mapungufu haya na watayafanyia kazi /
 
Kiranga sitaki kukuaibisha rafiki yangu ila katika hili umeanza kujichanganya na kupotoka.

Hiki ndicho ulisema somewhere hapo juu

Come on ... mbona unaniangusha mazee

Huwezi kunipata kirahisi hivi, this is a very lawyerly qualification.

Sikusema kwamba napenda ligi. Nimesema.

Kama unaita kuulizana kuendeleza ligi, then point nzima ya JF ni kuendeleza ligi. Kama huna nia ya kuendeleza ligi huhitaji kuwa JF.

Kama unaita nyekundu ni kijani, then Simba Sports Club wanavaa jezi za kijani. It is a logical twist ambayo wengi wanaosoma vitu juu juu hapa JF hawawezi kuiona.

Ndiyo maana wengine wanaona contradiction sehemu ambapo haipo, wengine wanataka kuniaibisha sehemu ambayo hamna cha aibu, na wengine wanaona nipo all over the map wakati mimi nimesimama still somewhere on an immobile ship near Port Harcourt Nigeria, on my way to Accra.
 
...Nafurahi umeona hili, lakini yeye na jeshi lake lote hawataweza kurekebisha chochote kwamba kuna makosa, je amekubali kwamba wana mapungufu haya na watayafanyia kazi /

Kiranga bana ... ha ha ha
 
Huwezi kunipata kirahisi hivi, this is a very lawyerly qualification.

Sikusema kwamba napenda ligi. Nimesema.

Kama unaita nyekundu ni kijani, then Simba Sports Club wanavaa jezi za kijani. It is a logical twist ambayo wengi wanaosoma vitu juu juu hapa JF hawawezi kuiona.

Ndiyo maana wengine wanaona contradiction sehemu ambapo haipo, wengine wanataka kuniaibisha sehemu ambayo hamna cha aibu, na wengine wanaona nipo all over the map wakati mimi nipo somewhere on a ship near Port Harcourt Nigeria.

Yele yele yele yele ... "same difference" ... kama unakumbuka ile movie ya Gene Hackman na Keanu wa matrix (replacements?)
 
Yele yele yele yele ... "same difference" ... kama unakumbuka ile movie ya Gene Hackman na Keanu wa matrix (replacements?)

Same difference? Same difference maybe but if it is a difference in direction going from point A, with B to the west and C to the east of A, you may end up with "same difference but two different positions, one on land and one in the sea" sasa kama hujui kuogelea hii "same difference" inaweza kukuua.

Mtu akisema "Kama unaiita rangi nyekundu kijani, then Simba SC wanavaa jezi ya kijani" hajasema kwamba Simba Sports Club wanavaa jezi ya kijani, in fact, kasema Simba SC wanavaa jezi nyekundu.

Kwa hiyo nikisema "kama kuulizana ni kupenda ligi then point nzima ya JF ni kupenda ligi" sijasema point nzima ya JF ni kupenda ligi, nimesema point nzima ya JF ni kuulizana.

Big difference.
 
Mazee mimi nishakwambia sishiriki katika ligi, sasa utanipaje ushindi wa kitu ambacho sishiriki ?
 
JF tunawasiliana kwa maandishi. Kama unasema hatuna haja ya kuwa too keen on maandishi, basically unasema hatuna haja ya kuwa too keen on anything. How can we be too keen on anything if we cannot be too keen on the way we communicate/

Sija maanisha kuwa hakuna haja ya kuwa keen na maandishi na hasa ujumbe tunaotoa hapa JF. Ila nimesema wengi wetu huwa tunaandika haraka kwa kusudi la kutoa ujumbe tunaotaka kuutoa hapa kwenye forum. Sidhani kama unataka kutufanya tuamini kuwa maandishi yaliyotolewa hapa na Dr. Slaa hayasomeki au hayaeleweki. Unachogombea wewe ni mtiririko wa maandishi yake na wala si ujumbe anaotaka utufikie. Hasa katika kujibu kwake hoja za mwanzishaji wa thread hii.

Sijasema JF ni chumba cha mtihani, nimesema standards za kum judge Slaa kwa level yake, popote atakapokuwa, zikilinganishwa na standards za kuni judge mimi, ni tofauti kama mtihani wa darasa la pili na research paper ya Chuo Kikuu. Big difference.

Sijaziona hizo differences katika maandishi yako.

Unajuaje kwamba naweza kuomba urais? Vipi kama nina uwezo na ujasiri ninao lakini katiba hainiruhusu kwa sababu inanilazimisha kuingia katika chama cha siasa na mimi siamini katika kushiriki katika vyama hivi ? Usiweke assumptions tu.

Baada ya kusoma maandiko yako hapo juu, bado hujaniridhisha kuwa huna uwezo wa kugombea uRais. Sababu ya mimi kusema hivyo ni kwamba yote uliyoyatamka kama qualification yako ya kugombea yako ndani ya uwezo wako. Ndio maana nilisema kinachotofautiana kati yako na yeye kinaweza kuwa nia, madhumuni na uthubutu wa kugombea tu. Ukitaka, utaweza.

Unaweza kumwambia mtu "japo hujasema kwamba unataka kununua hili gari langu, lakini una uwezo huo, hivyo nipe hela zako, ni haki yangu nikuuzie gari hili kwa sababu una uwezo wa kununua gari hili" ? Si utakuwa kichekesho ?

Akili yangu ndogo haijaelewa maana ya ulichokisema katika quote ya hapo juu.

Hata kama ningekuwa na chama cha kisiasa na kuondoa issue ya katiba kutonipa nafasi kwa sababu ya kutokuwa na chama, the fact kwamba nina haki/ uwezo wa kugombea urais hainipi presidential level scrutiny automatically kama sija declare nia kwamba nataka kuwa rais. Wangapi wanaweza kuwa rais wa Tanzania lakini hatusikii kuandikwa magazetini wala kuwa scrutinized? Hii ni kwa sababu hawajasema kwamba wanataka kuwa rais, Slaa kasema, kwa hiyo scrutiny level kwake na kwangu ni tofauti.
Quote ya hapo juu naikubali kabisa. Na wala sijakulaumu kwa kufanya scrutiny kwa mgombea yeyote. Ninachohofia ni kutumia muda mwigi kujadili makosa ambayo hayana mshiko. Kama ungejadili na ku-analyse kilichoandikwa na mtoa hoja wa kwanza kwenye thread hii, ambae ametoa shutuma za udhaifu mkubwa wa mgombea, ningeona kuna mantiki kubwa katika mapungufu yaliyoonekana. Lakini kudhani kuwa matumizi ya paragraphs, punctuations n.k za ujumbe ndio mapungufu makubwa, inanipa shida kukubali.
Nafurahi umeona hili, lakini yeye na jeshi lake lote hawataweza kurekebisha chochote kwamba kuna makosa, je amekubali kwamba wana mapungufu haya na watayafanyia kazi /
Sina uhakika kama wana muda wa kukubali au kukataa makosa madogo kama hayo. Siamini kuwa kuna busara yoyote katika kufanya hivyo.
 
Mwandish Bollen Ngetti aliandika"mtu huwezi kuamka tu usingizini na na kutaka kuchaguliwa kuwa rais wa nchi hasa kwa nchi changa kama hizi za dunia ya tatu ( na Tanzania ikiwemo) bali yapo mazingira yanayomuandaa mtu ndani na nje ya nchi kuwa mkuu wa nchi.
 
slaa hawezi kuwa raisi hana vigezo

Kwa hisani ya Shadow

cart1810.jpg
 
Mwandish Bollen Ngetti aliandika"mtu huwezi kuamka tu usingizini na na kutaka kuchaguliwa kuwa rais wa nchi hasa kwa nchi changa kama hizi za dunia ya tatu ( na Tanzania ikiwemo) bali yapo mazingira yanayomuandaa mtu ndani na nje ya nchi kuwa mkuu wa nchi.

Taratibu basi mbona unaingia na hasira sana????? Ni haki yake kikatiba na wapiga kura ndiyo wataamua, period
 
Back
Top Bottom