Je, duniani kote Mchezaji mahiri Siku ya Kuagwa na Klabu yake huanzia Benchi na kuishia Kumwagiwa tu Maji 'Vumbi' ya Kandoro?

Kuna Waafrika wachache wanasababisha Waafrika wote tuonekane si tu Wapuuzi bali Washamba sana hapa duniani.

Tuacheni Kukurupuka tunachekwa sana.
Toa muongozo wa namna ya kumuaga mchezaji mahiri na uone kama mbumbumbu huwa mnaufuata.
 
kalinyo festin sarpong serikali iweke tozo kwa wanaume wanaobeba wenzio eaportii kwa maendeleo ya nchii yetu.wapenda soka mnasemaje kwa hilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…