GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kuna Waafrika wachache wanasababisha Waafrika wote tuonekane si tu Wapuuzi bali Washamba sana hapa duniani.
Tuacheni Kukurupuka tunachekwa sana.
Tuacheni Kukurupuka tunachekwa sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Toa muongozo wa namna ya kumuaga mchezaji mahiri na uone kama mbumbumbu huwa mnaufuata.Kuna Waafrika wachache wanasababisha Waafrika wote tuonekane si tu Wapuuzi bali Washamba sana hapa duniani.
Tuacheni Kukurupuka tunachekwa sana.
Au atuambie hapa namna walivyomuaga Junior Lokosa! Je walimpikia biriani au pilau? Maana hata uwanjani kwenyewe hatukuwahi kumuona!!!Hebu tuambie utaratibu mliofuata kuwaaga akina Serunkuma na Papa Ndaw.
Lokosa tulimuaga kama mlivyomuaga Fiston juzi.Au atuambie hapa namna walivyomuaga Junior Lokosa! Je walimpikia biriani au pilau? Maana hata uwanjani kwenyewe hatukuwahi kumuona!!!
Eti atakuwa anavuta bangi! Sasa kama Mkude simba anavuta hiyo bangi, na Msemaji wao Haji atakua anavuta au anapuliza kabisa?Sisi sio watu wa kuwapa kashfa ya kuwapima akili wachazaji ili tuachane nao
Papa ndaw si alikuwa wenu?Hebu tuambie utaratibu mliofuata kuwaaga akina Serunkuma na Papa Ndaw.
Lamine moro ni mtovu wa nidhamu, nasikia na sapong goal machine nae ni mtovuSisi sio watu wa kuwapa kashfa ya kuwapima akili wachazaji ili tuachane nao
Yaaa ila hatuwezi kuwapa kashfa ya ugonjwa wa akiliLamine moro ni mtovu wa nidhamu, nasikia na sapong goal machine nae ni mtovu
Alikuwa Simba hukoPapa ndaw si alikuwa wenu?
Huyo aliondolewa usiku Wa manane[emoji23]Au atuambie hapa namna walivyomuaga Junior Lokosa! Je walimpikia biriani au pilau? Maana hata uwanjani kwenyewe hatukuwahi kumuona!!!
sarpong the goal machine,kalinyos vip mlimsajili aje atembee na sepengaa akia nanii yanga pepo mtaiskia kuwen wa kweliMbumbumbu wanajikutaga wajuaji mbona ishu izi zipo sana
mchukuenii sasa maana mkude ni bora kuliko wenu wote 4 vplSisi sio watu wa kuwapa kashfa ya kuwapima akili wachazaji ili tuachane nao