Mnyuke Jr JF-Expert Member Joined Jul 3, 2021 Posts 4,472 Reaction score 6,391 Jul 17, 2021 #21 spanerboy said: mchukuenii sasa maana mkude ni bora kuliko wenu wote 4 vpl Click to expand... Mkude ni mwananchi kiushabiki ila ndo alikuwa simba kikazi, na kama Yanga Coach Nabi atalizika naye basi hana shaka kusajiliwa pale Jangwani
spanerboy said: mchukuenii sasa maana mkude ni bora kuliko wenu wote 4 vpl Click to expand... Mkude ni mwananchi kiushabiki ila ndo alikuwa simba kikazi, na kama Yanga Coach Nabi atalizika naye basi hana shaka kusajiliwa pale Jangwani
Bila bila JF-Expert Member Joined Dec 20, 2016 Posts 22,168 Reaction score 39,118 Jul 17, 2021 #22 Kuna thread inaanzishwa hadi unaona aibu kuchangia.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Jul 17, 2021 #23 Vyovyote sawa...
Dong Jin JF-Expert Member Joined Jun 4, 2018 Posts 968 Reaction score 2,034 Jul 17, 2021 #24 mtoa mada ni kama m*l*ya wa pale sinza makaburini... kila kitu anapita nacho mpaka unaanza kuushangaa utimamu wa akili yake
mtoa mada ni kama m*l*ya wa pale sinza makaburini... kila kitu anapita nacho mpaka unaanza kuushangaa utimamu wa akili yake
Mzururaji JF-Expert Member Joined Apr 6, 2012 Posts 1,558 Reaction score 1,273 Jul 18, 2021 #25 Wenzetu nyie mnaenda kiuwapima akili
78Kuku JF-Expert Member Joined Mar 31, 2021 Posts 562 Reaction score 756 Jul 18, 2021 #26 Isaac said: Lokosa tulimuaga kama mlivyomuaga Fiston juzi. Click to expand... Na Calinhos