Je Eatv/Ea Radio walikoseana nini na Diamond

Je Eatv/Ea Radio walikoseana nini na Diamond

kedrick

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2015
Posts
5,080
Reaction score
4,914
Kumekuwepo na tetesi kuwa Eatv na Ea Radio hawapigi nyimbo za Diamond na kwamba kuna ugomvi leo katika pitapita zangu nika kutana na hii habari kwenye blog ya Eatv

"Rapa Fid Q amefunguka na kuonyesha hisia zake juu ya mambo mbalimbali ambayo yametokea baada ya moja ya msanii wa bongo kufanya 'Remix' ya wimbo wake 'Fresh' na kusema yeye mwenyewe alikuwa hajui kama msanii huyo alimchana hasimu wake Alikiba"

Ukiangalia hii habari Diamond hajatajwa jina ila wame mu address kama "msanii huyo" na sio jina lake.

Tunajua moja ya chanzo cha ugomvi wa Clouds na Lady Jay Dee ni Clouds kuminya matangazo yake ya machozi band na kuanza kuipigia promo sky light band iliokuwa chini ya Dr Sebastian Ndege.

Sugu na Clouds project ya Malaria no more

je hawa wamekoseana nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nazan bifu ni kauli za diamond kuwa hategemei redio kupata promo na ishu ya Tunzo za East Africa award kuna mambo ya kejeli alitoa nazan ndiyo chanzo au inawezekana ilichangia zaid
 
Hao walishapoteza mvuto hata kwa watazamaji kwa hiyo haina mbaya hata wasipo zicheza
 
Bora ya hao wana bifu na msanii mmoja pale clouds ndio wanaoongoza kuwa na bifu na wasanii kibao wa bongo flava

sent from my iPhone 7 nimeinunua SAPNA pale Posta mtaa SAMORA
 
Nazan bifu ni kauli za diamond kuwa hategemei redio kupata promo na ishu ya Tunzo za East Africa award kuna mambo ya kejeli alitoa nazan ndiyo chanzo au inawezekana ilichangia zaid
- Hata kabla Diamond kutoa hiyo kauli walikuwa hawapigi nyimbo zote za WCB
- Hata kabla ya EATV Awards mahusiano yalikuwa siyo mazuri, kama kutoshiriki kwani wasanii wa WCB tu ndio hawakushiriki ?

SABABU KUBWA: Duller anayeonekana ni mtu mwenye ushawishi sana hapo EATV ni TEAM KIBA ana CHUKI ZA WAZI WAZI na DIAMOND. Kama huamini msikilize kuanzia leo hata kwa vipindi 3 tu utajua. Suala la Tuzo lilikuwa ni sababu tu, ALIKIBA amewahi KUKATAA Kujibu INTERVIEW na kumjibu SAM MISAGO kwa kiburi na dharau lakini HAWAWEZI kumwekea BEEF ila ingekuwa ni WCB ndo wamefanya basi ingekuwa ni TICKET na SABABU BEEF
- In short sababu kubwa ni MAFANIKIO

- Binafsi naona kwa ukubwa walionao na umaarufu wao haiwaathiri sana kwasababu hata nyimbo zenyewe WANAPIGA BURE hawatoi MIRAHABA.
 
Back
Top Bottom