kedrick
JF-Expert Member
- Apr 25, 2015
- 5,080
- 4,914
Kumekuwepo na tetesi kuwa Eatv na Ea Radio hawapigi nyimbo za Diamond na kwamba kuna ugomvi leo katika pitapita zangu nika kutana na hii habari kwenye blog ya Eatv
"Rapa Fid Q amefunguka na kuonyesha hisia zake juu ya mambo mbalimbali ambayo yametokea baada ya moja ya msanii wa bongo kufanya 'Remix' ya wimbo wake 'Fresh' na kusema yeye mwenyewe alikuwa hajui kama msanii huyo alimchana hasimu wake Alikiba"
Ukiangalia hii habari Diamond hajatajwa jina ila wame mu address kama "msanii huyo" na sio jina lake.
Tunajua moja ya chanzo cha ugomvi wa Clouds na Lady Jay Dee ni Clouds kuminya matangazo yake ya machozi band na kuanza kuipigia promo sky light band iliokuwa chini ya Dr Sebastian Ndege.
Sugu na Clouds project ya Malaria no more
je hawa wamekoseana nini?
Sent using Jamii Forums mobile app