Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Hili ni swali tu ndugu zangu, maana utamaduni wa watu hawa ndio huo
Ukipingana nao tu unatekwa na kuuawa.
Ukipingana nao tu unatekwa na kuuawa.
Yetu machoNgoja tusubili watamfanyia figisu mpaka akome maana masisiemu hayana kadogo
Jibu ni ndiyo maana watekaji wapo juu sana ya sheriaHili ni swali tu ndugu zangu, maana utamaduni wa watu hawa ndio huo
Ukipingana nao tu unatekwa na kuuawa.
AiseeeeeJibu ni ndiyo maana watekaji wapo juu sana ya sheria
Lissu kishashinda kesiHabar za lisu mmeziacha mnahangaika na yasiyowahusu,
WeeeeeToa alama ya ulizo
Kumbe Lowassa alitiliwa sumu!Kama waliweza kumuua Lowasa kwa sumu, pole pole na Membe Hawa hawashindwi kitu mbwa Hawa.
... hata mimi pia najiuliza! ... MWENZANGU!Hili ni swali tu ndugu zangu, maana utamaduni wa watu hawa ndio huo
Ukipingana nao tu unatekwa na kuuawa.
Mngeenda kutangaza hizi habari radio uhuru na kwenye gazeti la mzalendo ili tusisome.Habar za lisu mmeziacha mnahangaika na yasiyowahusu,