Je Emmanuel Nchimbi atatekwa na kupotezwa kama Polepole?

Je Emmanuel Nchimbi atatekwa na kupotezwa kama Polepole?

Mambo mengi yanafanywa kike saaana tangu mvaa bikini avae joho swala la bwana imma km watu wangekua smart kuna namna wangemalizana nae bila sisi ku question sana
 
Utasikia E.N alibanwa na kifua ghafla awe makini sana hawa watu ni wauaji
 
Hili ni swali tu ndugu zangu, maana utamaduni wa watu hawa ndio huo

Ukipingana nao tu unatekwa na kuuawa.
Ndugu yangu bado hakuna anayeza kutuonesha ushahidi wa dhahir shahir polepole alirudi nchini,ili kuanzia hapo sasa ndipo upatikane ushahidi wa kutekwa kwake.
 
Channel Africa TV we are joined by Maria Sarungi Tsehai, Tanzanian activist and media expert

27 August 2026

Tanzania VP Emmanuel Nchimbi Resigns: What Does It Mean for Samia’s Government?

View: https://m.youtube.com/watch?v=WVNko7LujGM
Tanzania’s Vice President, Dr Emmanuel Nchimbi, has announced his resignation and retirement from politics and public service, effective September 4, 2026. He says he is honouring a commitment made to President Samia Suluhu Hassan to step aside whenever she wanted a change in the Vice Presidency.

The resignation comes just weeks after Nchimbi made a striking public call for Tanzanians and human rights groups to “fight to get a new constitution”, arguing that constitutional reform could address wider questions of governance, human rights and democracy.

What prompted his departure? Was it simply a decision to honour his promise to President Samia, or does it point to deeper political tensions within Tanzania’s leadership and ruling CCM party?

To unpack the resignation, its political implications, Nchimbi’s controversial constitutional reform remarks, and what could come next for Tanzania, we are joined by Maria Sarungi Tsehai, Tanzanian activist and media expert.

Source : Channel Africa
 
Alipigwa sumu mwaka 2010 kwenye uchaguzi ya kumuua pole pole

Walimutumia ndugu mmoja wa yusuph manji.

Ndio maana mtoto wake naye kawekwa bench ili asilipize kisasi

Mambo ni mengi sana Sana yaani mafaili yanatisha ya mauaji
Unaripoti kutoka kijiwe gani mkuu
 
Alipigwa sumu mwaka 2010 kwenye uchaguzi ya kumuua pole pole

Walimutumia ndugu mmoja wa yusuph manji.

Ndio maana mtoto wake naye kawekwa bench ili asilipize kisasi

Mambo ni mengi sana Sana yaani mafaili yanatisha ya mauaji
Aiseeee
 
Kizuizini tu hapo hadi Kifo chake. Mazee Mamlaka ya Rais ni Makubwa sana sio kumvaa vaa hovyo huyo mama. Upole wake ndio maana watu wengi wanamvaa tu. Lkn akikunjua makucha kama hapo kwa VP lazima akili zitukae sawa. Kama VP ametagishwa unategemea LISSU atakuwa salama.?
Hata jana nimewaza hili sana, kama VP anakuwa mishandled hivi si kumnyonga Lissu ni dakika tu.

Duh tumefika pabaya sana
 
Alipigwa sumu mwaka 2010 kwenye uchaguzi ya kumuua pole pole

Walimutumia ndugu mmoja wa yusuph manji.

Ndio maana mtoto wake naye kawekwa bench ili asilipize kisasi

Mambo ni mengi sana Sana yaani mafaili yanatisha ya mauaji
Bange unazovuta zimekutia uwendawazimu
 
 
Back
Top Bottom