The Khoisan
Platinum Member
- Jun 5, 2007
- 18,900
- 18,751
Hili ni swali tu ndugu zangu, maana utamaduni wa watu hawa ndio huo
Ukipingana nao tu unatekwa na kuuawa.
Akitoka kuzungumza watamshughulikia.
Hili ni swali tu ndugu zangu, maana utamaduni wa watu hawa ndio huo
Ukipingana nao tu unatekwa na kuuawa.
Itategemea.Hili ni swali tu ndugu zangu, maana utamaduni wa watu hawa ndio huo
Ukipingana nao tu unatekwa na kuuawa.
SanaYule shangingi anaharibu nchi
Nitaanza kumchukia afande Mafwele siku akinikosea personally nikaona kwa macho yangu. Apart from that I'll never succumb to internet/social media hearsays.Nasikia mafwele ameanza kulipaka hogo lake mafuta
Kuna watu wana roho mbaya sijawah onaHili ni swali tu ndugu zangu, maana utamaduni wa watu hawa ndio huo
Ukipingana nao tu unatekwa na kuuawa.
Mzee Mafwele alinisaidia sana. Mtu kukusaidia sio lazima akupe laki 9 au elfu 5,000. If someone can get you from point B to point C, please pray him well.Nasikia mafwele ameanza kulipaka hogo lake mafuta
Wamarekani siyo WajingaNitaanza kumchukia afande Mafwele siku akinikosea personally nikaona kwa macho yangu. Apart from that I'll never succumb to internet/social media hearsays.
American government na Chinese government wanaheshimiana sana licha ya kutofautiana "political ideologies" Siasa za wakubwa Zina mipaka yao na kuelewanw kwao (P5 Veto wa Security Council)Wamarekani siyo Wajinga
Hayo mamlaka ni constitutional?Kizuizini tu hapo hadi Kifo chake. Mazee Mamlaka ya Rais ni Makubwa sana sio kumvaa vaa hovyo huyo mama. Upole wake ndio maana watu wengi wanamvaa tu. Lkn akikunjua makucha kama hapo kwa VP lazima akili zitukae sawa. Kama VP ametagishwa unategemea LISSU atakuwa salama.?
Usiseme hivyo maana naona majaji hawataki watu watoe hukumu nje wanamkomoa.Lissu kishashinda kesi
Makamu wa Rais asijadiliwe? Tusiwe wabinafsi kiasi hichoHabar za lisu mmeziacha mnahangaika na yasiyowahusu,
Kwani mpaka sasa yuko wapi?Hili ni swali tu ndugu zangu, maana utamaduni wa watu hawa ndio huo
Ukipingana nao tu unatekwa na kuuawa.
2,000 tu ikakutoa Imani. Mafwele ni mzuri kama anakusaidia ila akiwa dhidi yako, ogopa sana.Mzee Mafwele alinisaidia sana nauli shillings 2,000. Mtu kukusaidia sio lazima akupe laki 9 au elfu 5,000. If someone can get you from point B to point C, please pray him well.
Tangu lini Samiah akawa mpole? Unajua maana ya upole?. Usiropoke tu.Kizuizini tu hapo hadi Kifo chake. Mazee Mamlaka ya Rais ni Makubwa sana sio kumvaa vaa hovyo huyo mama. Upole wake ndio maana watu wengi wanamvaa tu. Lkn akikunjua makucha kama hapo kwa VP lazima akili zitukae sawa. Kama VP ametagishwa unategemea LISSU atakuwa salama.?
Nchimbi alikuwa VP wa Tanzania sio Ccm.Habar za lisu mmeziacha mnahangaika na yasiyowahusu,
Hivi huu msemo ulikuwa una maana gani? Niliusikia sana enzi hizo shuleniTime is makangability