Je Emmanuel Nchimbi atatekwa na kupotezwa kama Polepole?

Kizuizini tu hapo hadi Kifo chake. Mazee Mamlaka ya Rais ni Makubwa sana sio kumvaa vaa hovyo huyo mama. Upole wake ndio maana watu wengi wanamvaa tu. Lkn akikunjua makucha kama hapo kwa VP lazima akili zitukae sawa. Kama VP ametagishwa unategemea LISSU atakuwa salama.?
 
Hayo mamlaka ni constitutional?
Mamlaka ya kupora Mahakama sio
 
Tangu lini Samiah akawa mpole? Unajua maana ya upole?. Usiropoke tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…