Je, endapo Jua likimwagiwa Maji nini kitatokea?

Kasomi

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2014
Posts
11,030
Reaction score
20,391
NINI KITATOKEA TUKILIMWAGIA JUA LETU MAJI❔

Endapo tutafanikiwa kutafuta ndo au diaba kubwa lenye ujazo sawa na jua kisha tukajaza maji humo baada ya hapo tukaenda tukalimwagia jua maji !;

Kitakachotokea ni kwamba jua ☀️ halitazimika bali jua litaongezeka ukubwa na uzito kutokana na kuongezeka kwa hydrogen na oxygen,
na hii sasa itapelekea kutengeneza jua kubwa sana lenye rangi ya bluu na nyeupe.

Kutokana na kumwagiwa maji jua litakuwa kubwa mara 1.8 kushinda size ya awali, kutokana na huo ukubwa litakuwa linaambaa ambaa karibu kabisa na dunia huku sayari zilizo karibu na jua mfano mercury, venus zote zitamezwa na jua.

Watu, wanyama watakimbia huku na kule wakihofia nini kimetokea pia viumbe hai asilimia kubwa watapoteza maisha kutokana na kuongezeka kwa joto.
 
Mkuu hayo maji yatakauka kabla hayajafikiwa na jua
 
Hio bangi uliyovuta leoooo.. sio mchezo. Hongera 😂😂😂
 
NINI KITATOKEA TUKILIMWAGIA JUA LETU MAJI[emoji782]

Endapo tutafanikiwa kutafuta ndo au diaba kubwa lenye ujazo sawa na jua kisha tukajaza maji humo baada ya hapo tukaenda tukalimwagia jua maji !;

Kitakachotokea ni kwamba jua [emoji3508] halitazimika bali jua litaongezeka ukubwa na uzito kutokana na kuongezeka kwa hydrogen na oxygen,
na hii sasa itapelekea kutengeneza jua kubwa sana lenye rangi ya bluu na nyeupe.

Kutokana na kumwagiwa maji jua litakuwa kubwa mara 1.8 kushinda size ya awali, kutokana na huo ukubwa litakuwa linaambaa ambaa karibu kabisa na dunia huku sayari zilizo karibu na jua mfano mercury, venus zote zitamezwa na jua.

Watu, wanyama watakimbia huku na kule wakihofia nini kimetokea pia viumbe hai asilimia kubwa watapoteza maisha kutokana na kuongezeka kwa joto.
Natamani ulisome jua kwanza
Ukishalifahamu ndipo sasa ujue maji huchemka katika digrii ngapi.

Ukimaliza, njoo uchukue nauli ukalimwagie jua hayo maji
 
NINI KITATOKEA TUKILIMWAGIA JUA LETU MAJI❔

Endapo tutafanikiwa kutafuta ndo au diaba kubwa lenye ujazo sawa na jua kisha tukajaza maji humo baada ya hapo tukaenda tukalimwagia jua maji !;

Kitakachotokea ni kwamba jua ☀️ halitazimika bali jua litaongezeka ukubwa na uzito kutokana na kuongezeka kwa hydrogen na oxygen,
na hii sasa itapelekea kutengeneza jua kubwa sana lenye rangi ya bluu na nyeupe.

Kutokana na kumwagiwa maji jua litakuwa kubwa mara 1.8 kushinda size ya awali, kutokana na huo ukubwa litakuwa linaambaa ambaa karibu kabisa na dunia huku sayari zilizo karibu na jua mfano mercury, venus zote zitamezwa na jua.

Watu, wanyama watakimbia huku na kule wakihofia nini kimetokea pia viumbe hai asilimia kubwa watapoteza maisha kutokana na kuongezeka kwa joto.
Hii habari ni nyeti.
..Nini kitatokea endapo wananchi wote wataungana kuvunja nguvu za ccm?
Ccm itafura na kuongeza nguvu za kukandamiza mara 1.8...nimewaza tu.
 
Safari tutaianza lini? Ila itabidi tusafiri usiku kucha, tufike alfajiri kabla jua halijawa kali, au una maoni gani mwana anga mwenzangu Kasomi
Hapo tutaongea na Elon Musk ili tupate usafiri wa anga za mbali wa SpaceX.

Hapo tutabeba Maji ya bahari zote nje ya dunia na safari itaanza tufanye practical.

Tukishindwa tunaunganisha na nguvu za Gambosi na sumbawanga.
 
Natamani ulisome jua kwanza
Ukishalifahamu ndipo sasa ujue maji huchemka katika digrii ngapi.

Ukimaliza, njoo uchukue nauli ukalimwagie jua hayo maji
Kumbuka Maji hua yanachemka mwisho digrii 100°C na hapo huanza ku evaporate na yanapo evaporate huenda angani kumbuka anga la mwanzo tutakuwa tumelipa ili kupata jua.

Hivyo Maji yatabaki kufyonzwa na jua.
Vipi mkuu nije nichukue nauli ili kuanza project kabisa?
 
Ookay okay

Haya hebu tupe analisisi hapa namna gani mvuke unaweza kuzima moto
 
Mvuke utakosa pa kwenye maana utakosa anga utakapo tulia.
Ila thesis ya hii mpaka tuingie projectini zaidi.
 
Back
Top Bottom