Je, endapo Jua likimwagiwa Maji nini kitatokea?

Je, endapo Jua likimwagiwa Maji nini kitatokea?

Nakumbuka kuna kipindi nilikuwa naangalia jamaa walikuwa wanaunga Reli,katika ile process kuna uchomaji wa materials flani ambapo joto hufikia 1,200 centigrade,kuna jamaa alichukua ndoo ya maji akamwagia kulitokea mlipuko mkubwa sana kama wa bomu,sasa sijui kwa jua nini kitatokea...
 
Duh kumbe tuwe na tahadhari tunaweza sababisha bom la kulipua dunia nzima
 
Mkuu amka,, acha kuwaza the impossible

Life is a reality, hayo ni mawazo labda kama unataka kutoa Sci-fi Movies
 
Mkuu amka,, acha kuwaza the impossible

Life is a reality, hayo ni mawazo labda kama unataka kutoa Sci-fi Movies
Kweli ila hapo najaribu kufanya nadharia ili tuumize Bongo zetu japo ukweli utabaki palepale kubwa ni kitu kisicho wezekana.
 
Hivi Kasomi ndio unakujaga kubeba watu hivi huku😂😂😂😂😂,, sasa hata wewe hufikrii hata kitukuu chako hakitoweza beba maji, why not theorise itengenezwe chemical itayoweza fanya kazi hivo?
 
Hivi Kasomi ndio unakujaga kubeba watu hivi huku😂😂😂😂😂,, sasa hata wewe hufikrii hata kitukuu chako hakitoweza beba maji, why not theorise itengenezwe chemical itayoweza fanya kazi hivo?
Ndio tupo kwenye majaribio kulifanya hilo
 
Kweli ila hapo najaribu kufanya nadharia ili tuumize Bongo zetu japo ukweli utabaki palepale kubwa ni kitu kisicho wezekana.

Hizi nadharia ndio zilifanya dunia ya kwanza kuleta movies ambazo zinashika kasi sana,,, Waliwaza, wakatengeneza uhalisia kwa Computer then wakaacha dunia ione..

Ni nadharia nzuri sana kama ukizitazama kwa jicho la fursa
 
Kweli kabisa hivyo hata sisi tunatakiwa kufanya kitu hapa walau tutengeneze mazingira ya kunufaika na nadharia hii.
 
Duuh 🤣🤣🤣

wakati una stress zako unadaiwa kodi na huna hata mia hatimae unakutana na nyuzi kama hizi zinakuchekesha.🤣🤣🤣
 
Duuh 🤣🤣🤣

wakati una stress zako unadaiwa kodi na huna hata mia hatimae unakutana na nyuzi kama hizi zinakuchekesha.🤣🤣🤣
Ukijaribu kufikiria juu ya uzi huu unajikuta umetatua tatizo lako la kodi.
 
NINI KITATOKEA TUKILIMWAGIA JUA LETU MAJI[emoji782]

Endapo tutafanikiwa kutafuta ndo au diaba kubwa lenye ujazo sawa na jua kisha tukajaza maji humo baada ya hapo tukaenda tukalimwagia jua maji !;

Kitakachotokea ni kwamba jua [emoji3508] halitazimika bali jua litaongezeka ukubwa na uzito kutokana na kuongezeka kwa hydrogen na oxygen,
na hii sasa itapelekea kutengeneza jua kubwa sana lenye rangi ya bluu na nyeupe.

Kutokana na kumwagiwa maji jua litakuwa kubwa mara 1.8 kushinda size ya awali, kutokana na huo ukubwa litakuwa linaambaa ambaa karibu kabisa na dunia huku sayari zilizo karibu na jua mfano mercury, venus zote zitamezwa na jua.

Watu, wanyama watakimbia huku na kule wakihofia nini kimetokea pia viumbe hai asilimia kubwa watapoteza maisha kutokana na kuongezeka kwa joto.
Ndio maana bhang inadharaulika
 
Nipe kanuni ya utengenezaji wa barafu hilo
1.Freezers.
2. Put the water at the peak of the extreme high Artificial moutains.

Si tunaambiwa kila ukisogea juu baridi ndio inazidi au ni "Changa" sio kweli?
3. Extract the ice blocks from Antarctica when the sun is at tropical of capricon.

Usipoitaka hii na wewe itabidi unipe kanuni ya kuweza kuyafikisha hayo maji yatayo tumika kulimwagia jua.
 
Back
Top Bottom