Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nadhani tutakufa wote... Sababu jua ndio chanzo cha maisha...NINI KITATOKEA TUKILIMWAGIA JUA LETU MAJI❔
Endapo tutafanikiwa kutafuta ndo au diaba kubwa lenye ujazo sawa na jua kisha tukajaza maji humo baada ya hapo tukaenda tukalimwagia jua maji !;
Kitakachotokea ni kwamba jua ☀️ halitazimika bali jua litaongezeka ukubwa na uzito kutokana na kuongezeka kwa hydrogen na oxygen,
na hii sasa itapelekea kutengeneza jua kubwa sana lenye rangi ya bluu na nyeupe.
Kutokana na kumwagiwa maji jua litakuwa kubwa mara 1.8 kushinda size ya awali, kutokana na huo ukubwa litakuwa linaambaa ambaa karibu kabisa na dunia huku sayari zilizo karibu na jua mfano mercury, venus zote zitamezwa na jua.
Watu, wanyama watakimbia huku na kule wakihofia nini kimetokea pia viumbe hai asilimia kubwa watapoteza maisha kutokana na kuongezeka kwa joto.
tutalizengeneza Kwa mfumo wa setelite yaani linaungwa kidogo kidogo huko Anga za Juu then linajazwa maji linaamsha dude kwenda kuliogesha jua!Kwanza hilo diaba linapaki wapi maana uzito wake na ukubwa wake sijui dunia itamudu
Hii ni assumption ambayo ni quite impossible and irrelevant...Ndio maana imeandikwa kua endapo tukibeba Maji na kwenda kumwagia jua
Stress za mapenzi hziNINI KITATOKEA TUKILIMWAGIA JUA LETU MAJI❔
Endapo tutafanikiwa kutafuta ndo au diaba kubwa lenye ujazo sawa na jua kisha tukajaza maji humo baada ya hapo tukaenda tukalimwagia jua maji !;
Kitakachotokea ni kwamba jua ☀️ halitazimika bali jua litaongezeka ukubwa na uzito kutokana na kuongezeka kwa hydrogen na oxygen,
na hii sasa itapelekea kutengeneza jua kubwa sana lenye rangi ya bluu na nyeupe.
Kutokana na kumwagiwa maji jua litakuwa kubwa mara 1.8 kushinda size ya awali, kutokana na huo ukubwa litakuwa linaambaa ambaa karibu kabisa na dunia huku sayari zilizo karibu na jua mfano mercury, venus zote zitamezwa na jua.
Watu, wanyama watakimbia huku na kule wakihofia nini kimetokea pia viumbe hai asilimia kubwa watapoteza maisha kutokana na kuongezeka kwa joto.
Anza safari haraka sanaView attachment 2119251
Mada zingine ni za ajabu sana.Ila wajanja na wenye akili wanajua what it is all about:distortion from main issues.NINI KITATOKEA TUKILIMWAGIA JUA LETU MAJI❔
Endapo tutafanikiwa kutafuta ndo au diaba kubwa lenye ujazo sawa na jua kisha tukajaza maji humo baada ya hapo tukaenda tukalimwagia jua maji !;
Kitakachotokea ni kwamba jua ☀️ halitazimika bali jua litaongezeka ukubwa na uzito kutokana na kuongezeka kwa hydrogen na oxygen,
na hii sasa itapelekea kutengeneza jua kubwa sana lenye rangi ya bluu na nyeupe.
Kutokana na kumwagiwa maji jua litakuwa kubwa mara 1.8 kushinda size ya awali, kutokana na huo ukubwa litakuwa linaambaa ambaa karibu kabisa na dunia huku sayari zilizo karibu na jua mfano mercury, venus zote zitamezwa na jua.
Watu, wanyama watakimbia huku na kule wakihofia nini kimetokea pia viumbe hai asilimia kubwa watapoteza maisha kutokana na kuongezeka kwa joto.
Mmmmm............!Hakika hapa tunajaribu kufikirisha tu.
Asante sana mkuu kwa ufafanuzi uliyo jitoshereza kwa udogo wake huo.Hili swali linatakiwa lijibiwe na theoretical physicists kwani majibu yake yatakuwa ya nadharia tu.
1---Jua ni kitu gani??--- ni mkusanyiko wa Gas ya hydrogen inayofanya reaction ya kinyuklia na matokeo yake kuzalisha Mionzi, joto, gas ya Helium , sauti, Mawimbi, Nuru, kutaja vitu baadhi tu.
2---- Jua linayo nguvu kubwa sana ya uvutano na kitu chochote kitakachokaribia jua kitavutwa kuingizwa ndani ya kiini chake hivyo ukimwaga maji juu ya uso wa jua hayo maji yatavutwa kwa kasi kubwa sana (zaidi ya acceleration 9.81m/s²) mfano wake ni kama jinsi kitu kinavyovutwa/kuanguka kutoka juu kuja duniani, hayo maji yatakuwa mvuke katika joto la chini ya 100°C kwani katika mazingira ya jua hakuna tabaka la hewa litakalo fanya mgandamizo kama ilivyo katika uso wa dunia, hayo maji yakishakuwa mvuke baadaye yatakuwa Super heated huku yakiendelea kuvuta kuingizwa katikati ya kiini cha jua ambako ndipo kwenye kani kubwa ya uvutano na ndipo hapo kuna kiini cha reaction ya kinuklia, hiyo super heated steam baadaye itakuwa Plasma (ionised steam) hatimaye ikiingia katikati ya kiini cha jua hapo itaingilia reaction ya kinuklia ya jua na hivyo kuleta athari kubwa katika katika sifa za jua na hapo ndio mwanzo wa mwisho wa dunia nk.
NB: Yanahitajika maji trilions of trillions of litres to accomplish the operation, kimsingi maji yaliyopo duniani hayatoshi ku serve the operation, hayo ni kama tone ukilinganisha na ukubwa wa jua na joto linalotoa.
Hiyo ni nadharia tu kulingana na uelewa wangu mdogo wa natural science and I stand to be corrected and learn more.🙏🏻🙏🏻