Je, endapo Jua likimwagiwa Maji nini kitatokea?

NINI KITATOKEA TUKILIMWAGIA JUA LETU MAJI❔

Endapo tutafanikiwa kutafuta ndo au diaba kubwa lenye ujazo sawa na jua kisha tukajaza maji humo baada ya hapo tukaenda tukalimwagia jua maji !;

Kitakachotokea ni kwamba jua ☀️ halitazimika bali jua litaongezeka ukubwa na uzito kutokana na kuongezeka kwa hydrogen na oxygen,
na hii sasa itapelekea kutengeneza jua kubwa sana lenye rangi ya bluu na nyeupe.

Kutokana na kumwagiwa maji jua litakuwa kubwa mara 1.8 kushinda size ya awali, kutokana na huo ukubwa litakuwa linaambaa ambaa karibu kabisa na dunia huku sayari zilizo karibu na jua mfano mercury, venus zote zitamezwa na jua.

Watu, wanyama watakimbia huku na kule wakihofia nini kimetokea pia viumbe hai asilimia kubwa watapoteza maisha kutokana na kuongezeka kwa joto.

Halafu ukilimwagia?
 
Subiri limwagiwe maji kwanza tuone itakuwaje.

Kuna watu wajinga sana duniani.
 
Hapo sio titapapa mvua yamaji moto kama shower yenye heatwr
 
Back
Top Bottom