Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwamba vipi?Visa bado tusepe?Hakika hapa tunajaribu kufikirisha tu.
Bonde la mto ruvu labdaHayo maji yakutosha kulimwagia Jua utayapata wapi?
Ila kweli. Putin haeleweki. tuvute subraTunasubiri ukrine na Russia wapoe kwanza maana jua linaweza zima wakiwa busy na mapigano.
Au tunaweza fyatuliwa kwa bahati mbaya tukiwa juu angani maana Russia hapoi.
Tatizo hujasema maji kiasi ganiNINI KITATOKEA TUKILIMWAGIA JUA LETU MAJI❔
Endapo tutafanikiwa kutafuta ndo au diaba kubwa lenye ujazo sawa na jua kisha tukajaza maji humo baada ya hapo tukaenda tukalimwagia jua maji !;
Kitakachotokea ni kwamba jua ☀️ halitazimika bali jua litaongezeka ukubwa na uzito kutokana na kuongezeka kwa hydrogen na oxygen,
na hii sasa itapelekea kutengeneza jua kubwa sana lenye rangi ya bluu na nyeupe.
Kutokana na kumwagiwa maji jua litakuwa kubwa mara 1.8 kushinda size ya awali, kutokana na huo ukubwa litakuwa linaambaa ambaa karibu kabisa na dunia huku sayari zilizo karibu na jua mfano mercury, venus zote zitamezwa na jua.
Watu, wanyama watakimbia huku na kule wakihofia nini kimetokea pia viumbe hai asilimia kubwa watapoteza maisha kutokana na kuongezeka kwa joto.
NINI KITATOKEA TUKILIMWAGIA JUA LETU MAJI[emoji782]
Endapo tutafanikiwa kutafuta ndo au diaba kubwa lenye ujazo sawa na jua kisha tukajaza maji humo baada ya hapo tukaenda tukalimwagia jua maji !;
Kitakachotokea ni kwamba jua [emoji3508] halitazimika bali jua litaongezeka ukubwa na uzito kutokana na kuongezeka kwa hydrogen na oxygen,

Basi!! hivi hivi!! ndo mnafeliga mitihani yenu!!....mnabaki kulalama tuuu oooh! yule amafaulu sababu ya babake ni flani ana hele kuuumbe failure to read instructions!!!.......alisha sema yenye ujazo sawa wewe unakurupuka chooni huko hata hujanawa unaropoka tu..... mfyuxcccc!Tatizo hujasema maji kiasi gani
NINI KITATOKEA TUKILIMWAGIA JUA LETU MAJI[emoji782]
Endapo tutafanikiwa kutafuta ndo au diaba kubwa lenye ujazo sawa na jua kisha tukajaza maji humo baada ya hapo tukaenda tukalimwagia jua maji !;
Kitakachotokea ni kwamba jua [emoji3508] halitazimika bali jua litaongezeka ukubwa na uzito kutokana na kuongezeka kwa hydrogen na oxygen,
na hii sasa itapelekea kutengeneza jua kubwa sana lenye rangi ya bluu na nyeupe.
Kutokana na kumwagiwa maji jua litakuwa kubwa mara 1.8 kushinda size ya awali, kutokana na huo ukubwa litakuwa linaambaa ambaa karibu kabisa na dunia huku sayari zilizo karibu na jua mfano mercury, venus zote zitamezwa na jua.
Watu, wanyama watakimbia huku na kule wakihofia nini kimetokea pia viumbe hai asilimia kubwa watapoteza maisha kutokana na kuongezeka kwa joto.
Du kwa ukubwa huo likianguka litafunika dunia plus nje ya dunia.Leo nimecheka SanaLinaukubwa mkubwa kuzidi ukubwa wa bahari jumlisha na dunia yote.
Mtu kama Putin wakimzingua anatengeneza mtambo wa kulisumbua juaSubiri limwagiwe maji kwanza tuone itakuwaje.
Kuna watu wajinga sana duniani.
Uzito wa jua niDu kwa ukubwa huo likianguka litafunika dunia plus nje ya dunia.Leo nimecheka Sana
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Litaunguza duni yetuAu jua tulitumie nyuklia moja tulipasue pasue , joto liondoke duniani , ligeuke vinyota vidogo vidogo vya kutupa tu mwaka wa kawaida, maana nasikia bomu la nyuklia lina sambaratisha kila kitu
Sent from my SM-J400F using JamiiForums mobile app
Hapo ulipo malizia sipo pamoja na wewe.kabla huja fika hayo maji tayri yalishakuwa mvuke mbaya hata ukibeba hayo maji maradufu ya jua!! yatayeyuka hutaamini hayafiki huko!! tunapata mvua na maji ajili ya jua!!...yaaani ukifanya ivo maji yatakukimbia ktk sura ya mvuke!!
ni sawa na kuweka tone la moto kwenye sufuria ya moto!! au km mnavo fanya hapo kwenu kuzima jiko la mchina kwa matone mengi ya maji!!...si unaonaga kanavo fanya basi ndo ivo ila acha bangi si nzuri!..unaweza enda south kwa miguu!
Yaani kazi ipoDu kwa ukubwa huo likianguka litafunika dunia plus nje ya dunia.Leo nimecheka Sana