Je, endapo Jua likimwagiwa Maji nini kitatokea?

Je, endapo Jua likimwagiwa Maji nini kitatokea?

Au liangukie baharini, nini kitatokea?.

(About 1.3 million Earths could fit inside the sun, according to NASA's statistics)
 
NINI KITATOKEA TUKILIMWAGIA JUA LETU MAJI[emoji782]

Endapo tutafanikiwa kutafuta ndo au diaba kubwa lenye ujazo sawa na jua kisha tukajaza maji humo baada ya hapo tukaenda tukalimwagia jua maji !;

Kitakachotokea ni kwamba jua [emoji3508] halitazimika bali jua litaongezeka ukubwa na uzito kutokana na kuongezeka kwa hydrogen na oxygen,
na hii sasa itapelekea kutengeneza jua kubwa sana lenye rangi ya bluu na nyeupe.

Kutokana na kumwagiwa maji jua litakuwa kubwa mara 1.8 kushinda size ya awali, kutokana na huo ukubwa litakuwa linaambaa ambaa karibu kabisa na dunia huku sayari zilizo karibu na jua mfano mercury, venus zote zitamezwa na jua.

Watu, wanyama watakimbia huku na kule wakihofia nini kimetokea pia viumbe hai asilimia kubwa watapoteza maisha kutokana na kuongezeka kwa joto.
Nenda kamwagie halafu uturudishie majibu ya kitakachokuwa kimetokea.
 
Nenda kamwagie halafu uturudishie majibu ya kitakachokuwa kimetokea.
Avatar yako bila shaka huyo ni Nikola Tesla.
Mkuu kweli juu ya madini ya maswala ya umeme ya Nikola Tesla unajibu na kutoa swali vyepesi hivyo hebu mtendee haki father of electricity
 
Back
Top Bottom