Itakuwa nzuri, ila hatua za mwanzo ni kufungua mipaka ya nchi watu kuingia na kutoka na kufanya biasharaThis is good news, acha twende mdogo mdogo, mpaka Africa nzima, tuwe nchi moja ya United States of Africa USAf.
P
Kama ccm haitaki kutoka madarakani, hiyo usaf kiongozi atakua nani? Huku muhozi anakuja kwa kasi huku biya anazidi kuomba uhai?This is good news, acha twende mdogo mdogo, mpaka Africa nzima, tuwe nchi moja ya United States of Africa, USAf.
Nimeandika sana kuhusu EAC
- Ijue Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) na Fursa za Mtangamano
P
Najivunia kwa ku "share" kile ambacho kinaonekana kuwa kama utumbo kutokana na upofu wako, wewe usiyejua kitu chochote kile kinachoendelea katika dunia hii.Delete utumbo wako huu. Nyie walokole mna shida sana
Karibu pande hizi Ijue Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) na Fursa za MtangamanoHivi umuhimu wa hii jumuiya mpaka sasa ni upi? Ukiilinganisha na Jumuiya nyingine kama EU, EAC ni kama mkusanyiko wa kima wasio na akili wala mapatano ya pamoja.
Bottom line: unamshukuru Rais ndo mmiliki wa EAC?
Tuunde tena ka-umoja ketu ka Afrika Mashariki, Jumuiya ya Afrika Mashariki Asilia, Kenya, Tanzania na Uganda.Itafika muda sasa itakuwa sio EAC tena bali ECNAC (East, Central and North Africa.....)...
Jinsi nchi zinavyoongezekana, malengo ya awali ya EAC ni kama yanzidi kupoteza uelekeo au ugumu kuyafikia...
Aisee ni kweli kabisa mkuu..Itafika muda sasa itakuwa sio EAC tena bali ECNAC (East, Central and North Africa.....)...
Jinsi nchi zinavyoongezekana, malengo ya awali ya EAC ni kama yanzidi kupoteza uelekeo au ugumu kuyafikia...
Hao wahamiaji haramu ndio watafaidi nchi haifaidiki na wahamiaji haramuEthiopia watafaidika zaid. Watapita free kwenda south Africa bila kukamatwa nk. Nini maana ya kuwa na East Africa hii kama Rwanda wanapigana huko Congo?
Ha ha ha nchi imelala sana hii kakaNi faida kwa waliolala ili waamshwe
Huku Somalia na waje Ethiopia, mbona mtaamka tu maana hata mwendokasi mmeshindwa
Acha waje wasaidie mengi
Wasomali wameisha Anza kuingia Kenya kwa makundi
Na nyie kutwa kukamata wahabeshi kwenye V8
Naona wajiunge tu V8 zikose dili
Ziongezeke nchi maana hii nchi imelala kama ujiAisee ni kweli kabisa mkuu..
Yaani hela zinazopigwa angekuwepo mtu wa kuokoa hata robo tuHa ha ha nchi imelala sana hii kaka
Sauti ya nini?Ethiopia inataka kujiunga na EAC?
Nini madhara na faida?
Je Tanzania na Kenya zitakua bado na sauti ndani ya EAC au ndio mvurugano utaongezeka?
Watu wenye akili ndogo na masikini hawawezi kuungana zaidi yamakubaliano hewa.This is good news, acha twende mdogo mdogo, mpaka Africa nzima, tuwe nchi moja ya United States of Africa, USAf.
Nimeandika sana kuhusu EAC
- Ijue Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) na Fursa za Mtangamano View attachment 2959374
- Watanzania watakiwa kuacha hofu ya Shirikisho la EAC, na badala yake wachangamkie fursa!
- Sababu ya Kuvunjika EAC-I, Kuundwa Upya EAC-II,"The Coalition of The Willing" Kujimwambafay na Jinsi JK Alivyoiokoa Jumuiya Isivunjike Kwa Kujishusha!
- Ijue Jumuiya ya Afrika Mashariki-3: Ujue Mkataba wa Jumuiya ya Afrika Mashariki
- Ijue Mahakama ya Afrika Mashariki, Kwanini Hukumu Zake Hazina Rufaa na Kwanini Zina Puuzwa na Baadhi ya Nchi Washirika Sisi Tanzania Tukiwemo?
- Lijue Bunge la Afrika Mashariki na Jee Uchaguzi wa Wabunge wa CCM EALA Ulikuwa ni Uchaguzi Kweli Au Kiini Macho cha Uchaguzi?
P
Si Rwanda tu bali nchi zote za waafrika weusi ni nchi za hovyo kutokana kukaliwa na watu wenye akili za hovyoRwanda ni nchi ya hovyo
Mkuu punguza hasiraSi Rwanda tu bali nchi zote za waafrika weusi ni nchi za hovyo kutokana kukaliwa na watu wenye akili za hovyo
Si kweli mkuu,,,,Watu wenye akili ndogo na masikini hawawezi kuungana zaidi yamakubaliano hewa.
πππ comment yangu soon itakuwa ni umoja wa Africa.Hii jumuiya ya EAC sijui Ina nini, mbona nchi nyingi zinataka kujiunga nao? Mbona hii wing itaweaken AU?