mlinzi mlalafofofo
JF-Expert Member
- Apr 20, 2008
- 725
- 1,282
zimwage apa kiongozi tufaidike na uwepo wakoBinafsi huwa napata shida sana kufafanua jambo ambalo lipo wazi, mbona faida zipo bayana
wacha weehHakuna faida zaidi ya kubadilisha chakula cha usiku na mchana.
NB: Wakubwa wameelewa
1. Kupata sex kwa wakati.Wakuu 2025 ndo hiyooo inakuja.
Nataka hii iwe moja ya plan zangu kwa 2025.
Ila nimeona nije kwanza apa jeifu maana apa ndo kisima cha busara nipate hakikisho kwa wakongwe walionitangulia ktk hili.
Kwaiyo hapa nawakaribisha wote mlio na wake kuanzia wawili na zaidi kwa maoni. Nina uhakika nitatoka na kitu fulani.
Wakuu karibuni. Wachanga na mitetea nanyi ruksa kusema chochote.
Nachukua notes๐๐๐
Kama unaelewa michezo ya sex kiroho huwezi ona kwa namna hii.Hakuna faida zaidi ya kubadilisha chakula cha usiku na mchana.
NB: Wakubwa wameelewa
Unagongewa mara mbili zaidi ya mwenye mke Mmoja.Wakuu 2025 ndo hiyooo inakuja.
Nataka hii iwe moja ya plan zangu kwa 2025.
Ila nimeona nije kwanza apa jeifu maana apa ndo kisima cha busara nipate hakikisho kwa wakongwe walionitangulia ktk hili.
Kwaiyo hapa nawakaribisha wote mlio na wake kuanzia wawili na zaidi kwa maoni. Nina uhakika nitatoka na kitu fulani.
Wakuu karibuni. Wachanga na mitetea nanyi ruksa kusema chochote.
Nachukua notes๐๐๐
duh kumbe mambo ya moto ivi๐คฏ๐คฏ hlf viongozi mmekaa kimya hamsemi1. Kupata sex kwa wakati.
Linapokuja suala la sex mwanaume yupo active 24 hrs lakini wanawake wana excuses nyingi sana, mara kachoka, mara kichwa kinauma, mara yupo period, mara mara mara ni nyingi sana. Lakini unapokua na wake wengi inasaidia kwa sababu mmoja akiwa na excuse unaenda kumaliza haja kwa mwingine.
2. Ushindani wa wanawake.
Wanawake wanapenda sana kushindana wenyewe kwa wenyewe, sasa akiwa peke ake maana yake anakosa mpinzani kwa iyo atakua bored na hayo mahusiano.
3. Idadi ya watoto.
Kama una mpango wa kuwa na watoto wengi basi kuoa wake wengi itakua njia yenye ufanisi zaidi katika kutimiza ilo. Mfano mimi nina mpango wa kuwa na watoto ishirini kwaiyo siwezi kuoa mke mmoja kwa sababu hataweza kuzaa idadi iyo ya watoto, kwaiyo minimun expectation nitaoa wake watano.
Muhimu: uwe nanuwezo wa kuhudumia kingono na kifedha
๐๐ฒ๐Bado hujakuwa subiri umri uitike ndio utajua saa hizii bado we kula uloje ukalale
1. Probability ya kufanikiwa maisha unakuwa nayo, wanasemaga kuwa na wake wengi ndo unaongeza chance ya kufanikiwa maana kila mke anakuja na nyota yake kutoka kwao , unaweza ukamiliki wake watatu kati ya hao mmoja tu ndo anakuwa na nyota ya mafanikioWakuu 2025 ndo hiyooo inakuja.
Nataka hii iwe moja ya plan zangu kwa 2025.
Ila nimeona nije kwanza apa jeifu maana apa ndo kisima cha busara nipate hakikisho kwa wakongwe walionitangulia ktk hili.
Kwaiyo hapa nawakaribisha wote mlio na wake kuanzia wawili na zaidi kwa maoni. Nina uhakika nitatoka na kitu fulani.
Wakuu karibuni. Wachanga na mitetea nanyi ruksa kusema chochote.
Nachukua notes[emoji998][emoji998][emoji998]
duh asante kiongozi umeweka madini ya maana kabisa apa๐ค๐ค1. Probability ya kufanikiwa maisha unakuwa nayo, wanasemaga kuwa na wake wengi ndo unaongeza chance ya kufanikiwa maana kila mke anakuja na nyota yake kutoka kwao , unaweza ukamiliki wake watatu kati ya hao mmoja tu ndo anakuwa na nyota ya mafanikio
2. Kupanua ukoo, kama una ndoto ya kuwa na watoto wengi ni lazima tu uwe na wake zaidi ya mmoja..kwamfano kuna mzee kijijin kwetu ana wanawake 7 yaan kidogo aanzishe shule yake, na wake zake wamejaliwa vizazi. Mke wa kwanza ana watoto 15 , wapili anao 9 bado anazaa na wengine wanaendelea kushusha ndama
Yaan huyu mzee anakaukoo kake.
3. Kama maisha yamekupiga chenga wekeza kwenye kuzaaa hakikisha una watoto wakutosha,kati ya watoto utakaowazaa hawawezi kukosekana wenye bahati ya maisha hao ndo watakuokoa katika maisha. Hii point nina mifano hai kabisa , kuna mzee yupo ana wake wawili mke mkubwa watoto wake hawana mbele wala nyuma,, watoto wa mke mdogo ndo matajiri vibaya mno yapo Arusha huko yamewekeza sehem mbalimbali yaan mzee saiv ni mwendo wa chopa tu, akihitaji safari ya kwenda wapi kutembea nauli anatumiwa chapu yaan usafir wa ardhin keshausahau.
NB: zaa watoto wa mama tofautitofauti, usikariri kuzaa na mke mmoja dunia ishatoka huko maana koo nyingi saiv zina laana matoto hayaeleweki
[emoji106]duh asante kiongozi umeweka madini ya maana kabisa apa[emoji1666][emoji1666]