hao digidigi hakuna kitu ndugu yangu ndiyo kwanza wametoka kuchakazwa mitaani, akaona hana uelekeo ndiyo kuingia kwenye usista. wa makamu wameshakomaa wanajua mengi, pia unakuta wamekaa siku nyingi sana wana ugwadu wa kufa mtu, tena ukitafutiza zile sura ngumungumu utashangaa unakurupusha bikra yenye mvi...kwikwikwiii! Niliwahi kamata moja hiyo ilikuwa kama utani tu mara ikaniambia jumamosi ijayo itaibuka gheto, enzi hizo kijana tumepanga wawili nyumba tukagawana vyumba, jamaa yangu alvoona kiremba nikamwona antabasamu halafu akaunda safari huyoo tukabaki wenyewe yakaanza mapishi, muda wote huo remba liko on na story ni za heshima tu na za kuchombeza kidogo kwa mbaali, wkati wa msosi si nikatuia kachupa ka wine mwanaume nilikuwga najikakamua kukeep vichupa viwili vitatu, na wenzetu hawa hawnaga hiyana kutupia pombe kama kawaida. Kumbe kila mtu alikuwa anamhofia mwenzake, baadaye kabisa anataka kuondoka si ikabidi akaoge kwanza kupunguza joto na harufu ya vitunguu...loh, sijui kilitokea nini hapa katikati lakini tulikuja kujistukia uwanja wa umechafuka vibaya kuanzia sebuleni, chumbani, mpaka bafuni na mtu yuko hoi nusu kuzimia! msalaba ule wanavaaga shingoni umening'inia kwenye hook nyuma ya mlango, gauni halionekani kumbe nipo sebuleni juu ya kochi, kilemba kipo chini kimekuwa kama dekio ikabidi kufua na kukikausha kwa pasi..ballaa! yule mama haukuisha mwaka akaacha usister na kuolewa, sasa hivi ana watoto wawili wakubwa tu!