fimboyaasali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 8,617
- 8,244
wee na naniHatumtaki tena
MmmhHatumtaki tena
Kwani alienda wapi?nimeona picha yupo fei toto,hersi said,arafat haji na patric saimon.wapo na fei na anaonekana kasaini mkataba,je karudi yanga?
Acha ujinga wewe, Fei ni muajiliwa kama waajiliwa wengine, yupo Yanga kutafuta malisho na si kumfurahisha mtu. Kama kasaini mkataba au kaboresha mkataba ni kheri kwake maana atapata alichohitaji.Ndio karudi nimethibitisha Kwa macho yangu kumwona avic usiku wa leo, Japo ndio hivo washabiki wa damu tumepoteza imani nae.. Hatutaki wachezaji wasaliti Yanga
Uliambiwa Yanga imemzurumu Feitoto? Au haikumlipa kulingana na matakwa ya mkataba wake?Acha ujinga wewe, Fei ni muajiliwa kama waajiliwa wengine, yupo Yanga kutafuta malisho na si kumfurahisha mtu. Kama kasaini mkataba au kaboresha mkataba ni kheri kwake maana atapata alichohitaji.
hatujui alienda wapi bali alituaga wanayangaKwani alienda wapi?
ok ni jambo jemaNdio karudi nimethibitisha Kwa macho yangu kumwona avic usiku wa leo, Japo ndio hivo washabiki wa damu tumepoteza imani nae.. Hatutaki wachezaji wasaliti Yanga
Mambo ya kulipana Afutatu yamepitwa na wakati.Ndio karudi nimethibitisha Kwa macho yangu kumwona avic usiku wa leo, Japo ndio hivo washabiki wa damu tumepoteza imani nae.. Hatutaki wachezaji wasaliti Yanga
Huna akili pimbi wewe, umeambiwa kama kaonekana Avic basi ujue kuna maboresho katika mkataba wake maana Fei ni muajiliwa na ana haki ya kutafuta malisho sehemu nyingine kama akiona Yanga hapati anachohitaji, habari za kudhulumiwa zinakujaje!!!??? Kweli we ni utopolo ogUliambiwa Yanga imemzurumu Feitoto? Au haikumlipa kulingana na matakwa ya mkataba wake?
Hebu nitolee upumbavu wako bladfakeni
Hivi unamlaumu vipi mwajiri Kwa kukulipa mshahara uliosaini mwenyew kwenye mkataba kisa kuna waajiliwa wenzako wanalipwa zaidi yako??Mambo ya kulipana Afutatu yamepitwa na wakati.
Source? Au ndio za ndaaani kabisa [emoji3]Karudi na wamekubaliana kama ifuatavyo
Mshahara 17.5m
Nyumba 800,000
Fuel 50litres per week
Car service 1,500,000 per month
Huyo Aziz akiumwa au akiwa majeruhi nani anacheza?, FEISAL na Mabosi wake inaonekana Walikuwa wanabishana juu ya issue ya mshahara wa FEISAL. Na inaonekana walimtishia kuleta hizo fedha ili mkataba wake uvunjwe, Sasa alipoleta ndio wakaenda kwenye kipengele cha Sheria za mikataba.Hivi unamlaumu vipi mwajiri Kwa kukulipa mshahara uliosaini mwenyew kwenye mkataba kisa kuna waajiliwa wenzako wanalipwa zaidi yako??
Huyu dogo angeenda tu, hii u turn yake inaenda kumponza maana ile namba 10 tayari Azi master [emoji360] ameshaimiliki rasmi
Kamzidi mshahara Hadi Aucho and DiarraKarudi na wamekubaliana kama ifuatavyo
Mshahara 17.5m
Nyumba 800,000
Fuel 50litres per week
Car service 1,500,000 per month
Ndo walewale.Source? Au ndio za ndaaani kabisa [emoji3]