Je, Feisal karudi Yanga SC?

Je, Feisal karudi Yanga SC?

fimboyaasali

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2011
Posts
8,617
Reaction score
8,244
Nimeona picha yupo Fei Toto, Hersi Said, Arafat Haji na Patric Saimon. Wapo na Fei na anaonekana kasaini mkataba,

Je, karudi Yanga?
 
Ndio karudi nimethibitisha Kwa macho yangu kumwona avic usiku wa leo, Japo ndio hivo washabiki wa damu tumepoteza imani nae.. Hatutaki wachezaji wasaliti Yanga
Acha ujinga wewe, Fei ni muajiliwa kama waajiliwa wengine, yupo Yanga kutafuta malisho na si kumfurahisha mtu. Kama kasaini mkataba au kaboresha mkataba ni kheri kwake maana atapata alichohitaji.
 
Acha ujinga wewe, Fei ni muajiliwa kama waajiliwa wengine, yupo Yanga kutafuta malisho na si kumfurahisha mtu. Kama kasaini mkataba au kaboresha mkataba ni kheri kwake maana atapata alichohitaji.
Uliambiwa Yanga imemzurumu Feitoto? Au haikumlipa kulingana na matakwa ya mkataba wake?
Hebu nitolee upumbavu wako bladfakeni
 
Uliambiwa Yanga imemzurumu Feitoto? Au haikumlipa kulingana na matakwa ya mkataba wake?
Hebu nitolee upumbavu wako bladfakeni
Huna akili pimbi wewe, umeambiwa kama kaonekana Avic basi ujue kuna maboresho katika mkataba wake maana Fei ni muajiliwa na ana haki ya kutafuta malisho sehemu nyingine kama akiona Yanga hapati anachohitaji, habari za kudhulumiwa zinakujaje!!!??? Kweli we ni utopolo og
 
Mambo ya kulipana Afutatu yamepitwa na wakati.
Hivi unamlaumu vipi mwajiri Kwa kukulipa mshahara uliosaini mwenyew kwenye mkataba kisa kuna waajiliwa wenzako wanalipwa zaidi yako??
Huyu dogo angeenda tu, hii u turn yake inaenda kumponza maana ile namba 10 tayari Azi master [emoji360] ameshaimiliki rasmi
 
Karudi na wamekubaliana kama ifuatavyo
Mshahara 17.5m
Nyumba 800,000
Fuel 50litres per week
Car service 1,500,000 per month
 
Hivi unamlaumu vipi mwajiri Kwa kukulipa mshahara uliosaini mwenyew kwenye mkataba kisa kuna waajiliwa wenzako wanalipwa zaidi yako??
Huyu dogo angeenda tu, hii u turn yake inaenda kumponza maana ile namba 10 tayari Azi master [emoji360] ameshaimiliki rasmi
Huyo Aziz akiumwa au akiwa majeruhi nani anacheza?, FEISAL na Mabosi wake inaonekana Walikuwa wanabishana juu ya issue ya mshahara wa FEISAL. Na inaonekana walimtishia kuleta hizo fedha ili mkataba wake uvunjwe, Sasa alipoleta ndio wakaenda kwenye kipengele cha Sheria za mikataba.
Kwasababu, mtu mwenye akili timamu hawezi kuamuka tu, na kupeleka milioni 112, benki bila kuwa na kutoafikiana katika suala la maslahi.
NB
Umesaini mkataba mwaka juzi na gharama za maisha zinapanda kila uchao, kwanini maboresho yasifanyike ili mchezaji awe na Ari na morali ya timu yake?( Kumbuka, malipo duni ndio yanamfanya FEISAL kutaka kuhama YANGA. Dawa yake ni kuboresha maslahi yake, siyo kumwambia akumbuke masharti ya mkataba).
KIFUPI: FEISAL naye anapenda kutanua kama wengine. Kwahiyo, tuache kumtwisha misalaba isiyomhusu.
 
Back
Top Bottom