Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
uzee unakuingia sasa.Ma "Pharaoh" wapo wengi si mmoja, kuna weusi, njano, kijani, samawati, weupe, wekundu, - you name it.
So what?
Tunataka kubaguana mpaka kwa mafirauni?
uzee unakuingia sasa.
swissme
Seriously? ?? Wewe unatakiwa kuwa na discipline kwenye thread za watu. Kama huna cha kuongea tafadhali pita kandowa kijani
Endelea kuwaamini haohao wazungu waliokuletea na Imani yako ya atheismHabari za Jioni Wakuu,
Naomba nitumie kiswahili na kiingereza ili kueleweka zaidi.
Mimi naji'consider ni atheist nayeamini zaidi katika facts more than hearsay , ila kuna swali limekua likinitatiza na kunivunja moyo kuhusu science.
Tafuta utafutavyo, Google uwezavyo lakini hutapata jibu straight. Je Firauni(Pharaohs ) of ancient Egypt walikua watu wenye rangi nyeusi au watu weupe?
Mzungu atakuambia ulimwengu (The Universe) ulivyoanza miaka billion 13.7 iliyopita. Atakuambia hadi rangi waliokuwa nayo Dinosaurs miaka million 65 iliyopita. Watakuambia hadi kuhusu kinachoendelea kwenye galaxies billions of light years away from us.
Lakini hawawezi kujibu swali ambalo linamuulizia mtu aliyeishi miaka 3500 iliyopita.
Wakuu mwenye jibu la uhakika kuweka conspiracy theories aside na emotions aside. Je Firauni(Pharaoh) alikuwa mtu mweusi au mweupe?
upagani unaingiaje hapa? imani zingine banaKwa kuwa wewe ni mpagani tafuta majibu toka kwa wapagani wenzio maana hata ukiletewa maandiko ya kidini hutoyaamini.
Sikuwa nimepanga kuandika chochote kwenye thread hii kutokana na aina ya watu waliokuwa wanachangia hapa lakini, kutokana na hiki ulichoandika hapa nalazimika kuandika chochote.....Waafrika tumeacha kufuatilia mambo ya msingi tumebaki kuhangaika na vitu vidogo sana kuonesha kuwa akili za waafrika wengi zinahangaika na mambo madogo sana yasiyo na tija kwao.
Mfano kama mmoja wa mafarao hao alikuwa mweusi sisi inatusaidia nini? Kwa wazungu/waarabu/wahindi n.k kusema Alikuwa mweupe imewasaidia nini?
Mfano leo tukafaham alikuwa mweusi tii itatusaidia nini?
Tunahangaika na mambo madogo sana.wenzetu wanavumbua madawa,teknolojia n.k sisi tunakaa hapa karne hii kubishania rangi. Karne hii?
Wakitengeneza magari,ndege,simu n.k hapo sisi tunashindwa hata kuwaza namna ya kutengeneza dawa za kutusaidia na malaria.
Wewe Chizi (kifupi cha Chizi Maarifa ) huna maarifa yoyote!!Waafrika tumeacha kufuatilia mambo ya msingi tumebaki kuhangaika na vitu vidogo sana kuonesha kuwa akili za waafrika wengi zinahangaika na mambo madogo sana yasiyo na tija kwao.
Mfano kama mmoja wa mafarao hao alikuwa mweusi sisi inatusaidia nini? Kwa wazungu/waarabu/wahindi n.k kusema Alikuwa mweupe imewasaidia nini?
Mfano leo tukafaham alikuwa mweusi tii itatusaidia nini?
Tunahangaika na mambo madogo sana.wenzetu wanavumbua madawa,teknolojia n.k sisi tunakaa hapa karne hii kubishania rangi. Karne hii?
Wakitengeneza magari,ndege,simu n.k hapo sisi tunashindwa hata kuwaza namna ya kutengeneza dawa za kutusaidia na malaria.
pharao ni title ya mtawala wa misri ya enzi hizo, (pharao = mfalme, rais,...........) na bila shaka walikuwepo ma pharao wengi.Habari za Jioni Wakuu,
Naomba nitumie kiswahili na kiingereza ili kueleweka zaidi.
Mimi naji'consider ni atheist nayeamini zaidi katika facts more than hearsay , ila kuna swali limekua likinitatiza na kunivunja moyo kuhusu science.
Tafuta utafutavyo, Google uwezavyo lakini hutapata jibu straight. Je Firauni(Pharaohs ) of ancient Egypt walikua watu wenye rangi nyeusi au watu weupe?
Mzungu atakuambia ulimwengu (The Universe) ulivyoanza miaka billion 13.7 iliyopita. Atakuambia hadi rangi waliokuwa nayo Dinosaurs miaka million 65 iliyopita. Watakuambia hadi kuhusu kinachoendelea kwenye galaxies billions of light years away from us.
Lakini hawawezi kujibu swali ambalo linamuulizia mtu aliyeishi miaka 3500 iliyopita.
Wakuu mwenye jibu la uhakika kuweka conspiracy theories aside na emotions aside. Je Firauni(Pharaoh) alikuwa mtu mweusi au mweupe?
Acha zako. Usifananishe Firauni na CHAMA.Kijani
Basi walikua Waarabu tiii...!Safi sana, so what?
Basi walikua Waarabu tiii...!
Na wala Uarabu siyo uislamu ukumbuke ilo pia.Uarabu si rangi. Kumbuka hilo.