Je, Forex Trading inaweza kunitoa kimaisha hapa Tanzania?

Sijataja pesa apo kwanza huwa nafundisha bure ila kwa watu serious alafu trding aifundishwi kwa kuchat inatakiwa series za zoom discussion n.k. sio unashare material hakuna anaetrade hata mmoja
Kiongoz wadau wa serious wapo kibao we ukianza wadau utawaona tu.....so keep it up tusonge
 
Uvuvi ni kamari. Tendering ni kamari. Uchimbaji madini ni kamari. Hata kufungua biashara ni kamari. Kikubwa kanuni za mchezo
 
Mkuu huwez kua na $500 hapaf baada ya miez sita ukawa na $800 hapo itakua anacheza bro kwa hiyo kwa cku anapata $2 halaf anaridhka wakat mtaji wake ni mkubwa..[emoji23][emoji119]
Huyo anatrade demo,sio risk taker.

Mtu anayetrade ukimpa 500$ kwa siku anao uwezo wa kuweka dola 10$ bila ya tamaa.
Kwa mtaji wa 500$ alafu reward iwe 2$ hiyo risk itakuwa 0.5$ .

Ra risk ya 0.5$ kila siku trade zitagonga stop loss kwa sababu market haiendi straight line huwa ina swing na hapo hapo kuna stop loss hunters.

So 500$ for 2$ ni kucheza sokoni
 
Umesema vizuri, hii kitu inahitaji kupata elimu kwanza, kudhibiti tamaa ni msingi mku wa mafanikio. Kwa bahati mbaya wabongo sisi ni wavivu kusoma.
 
daaah
 
Sio Tanzania popote pale..., Unless unatoa mafunzo au wewe ni broker au unafanya hedging, Yaweza pia Kukupoteza kabisa..., kwanini nasema hivyo statistically wengi wanapigwa kuliko wanaopata...

Approximately 1-20% of day traders make money day trading. Just a tiny fraction of day traders make any significant amount of money. That means that between 80 to 99% of them fail. We have looked at plenty of research and very few traders can brag about making any significant amount of money day trading.

Hayo sio maneno yangu ni statistically proven; ila huenda wewe ni hio 1%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…