Je, Freeman Mbowe ni Presidential material?

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Nimepitia hotuba zake za kampeni mwaka 2005 wakati anagombea urais na kushuhudia madini na mipango mbadala ya maendeleo aliyoinadi.

Nabaki najiuliza ilikuwaje akarudi tena kugombea ubunge wakati hiyo level alishaipita?

Au yeye binafsi alivipima viatu vya Rais akaona havimtoshi?

Mungu wa mbinguni awabariki sana.

Maendeleo hayana vyama!
 
Sio mroho wa madaraka. Baada ya kugombea 2000 na 2005, akaona apishe na wengine ambao walikuwa tayari kugombea.
 
Nimepitia hotuba zake za kampeni mwaka 2005 wakati anagombea urais na kushuhudia madini na mipango mbadala ya maendeleo aliyoinadi.

Nabaki najiuliza ilikuwaje akarudi tena kugombea ubunge wakati hiyo level alishaipita?

Au yeye binafsi alivipima viatu vya Rais akaona havimtoshi?

Mungu wa mbinguni awabariki sana.

Maendeleo hayana vyama!
Lusinde, Msukuma, Babu Tale ndo presidential material
 
Nimepitia hotuba zake za kampeni mwaka 2005 wakati anagombea urais na kushuhudia madini na mipango mbadala ya maendeleo aliyoinadi.

Nabaki najiuliza ilikuwaje akarudi tena kugombea ubunge wakati hiyo level alishaipita?

Au yeye binafsi alivipima viatu vya Rais akaona havimtoshi?

Mungu wa mbinguni awabariki sana.

Maendeleo hayana vyama!
Ingekuwa kuna tume huru hili swali tungelijibu lakini kwa sasa acha ibaki hivyo
 
Inategemea mawazo yako na mtu unayemtaka awe president wako. Hayo ni maoni yako na haki yako ingawa nina wasiwasi na hao uliowataja[emoji1][emoji1]
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Nimepitia hotuba zake za kampeni mwaka 2005 wakati anagombea urais na kushuhudia madini na mipango mbadala ya maendeleo aliyoinadi.

Nabaki najiuliza ilikuwaje akarudi tena kugombea ubunge wakati hiyo level alishaipita?

Au yeye binafsi alivipima viatu vya Rais akaona havimtoshi?

Mungu wa mbinguni awabariki sana.

Maendeleo hayana vyama!
Kamuulize mama Salma aliyekuwa ikulu kwa miaka 10 lkn baadae leo hii ni mbunge wa mchinga
 
Inategemea mawazo yako na mtu unayemtaka awe president wako. Hayo ni maoni yako na haki yako ingawa nina wasiwasi na hao uliowataja[emoji1][emoji1]
Basi tufanye Jah People ndiye residential material maana kila kitu kwa ccm kinawezekana
 
Back
Top Bottom