Kamuulize mama Salma aliyekuwa ikulu kwa miaka 10 lkn baadae leo hii ni mbunge wa mchinga
PESA TAMU!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kamuulize mama Salma aliyekuwa ikulu kwa miaka 10 lkn baadae leo hii ni mbunge wa mchinga
Nimepitia hotuba zake za kampeni mwaka 2005 wakati anagombea urais na kushuhudia madini na mipango mbadala ya maendeleo aliyoinadi.
Nabaki najiuliza ilikuwaje akarudi tena kugombea ubunge wakati hiyo level alishaipita?
Au yeye binafsi alivipima viatu vya Rais akaona havimtoshi?
Mungu wa mbinguni awabariki sana.
Maendeleo hayana vyama!
Umeonaeeee?Ndiyo maana ana vielement vya ubarmaid fulani hivi.
Imekuwaje sentensi ya mtu itumike kuwa maoni ya BAADHI ya watanzania?. Huko makao makuu chadema mnaelekezana kweli Cha kuandika humu?“Kwa kweli mbowe angepata nafasi ya kulitumikia taifa kwa wadhifa wowote angeacha alama kubwa sana”. -maoni ya baadhi ya watanzania.
Watanzania wameonesha kuchoka sasa na utawala wa CCM. Yapo maoni mengi kutoka hapa JF na kwingineko kama Twitter na Instagram kuonesha upenzi wao kwa mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe na kutamani aongoze nchi.
Kuna haja sasa watanzania kufanya mabadiliko makubwa kwani uongozi wa mazoea tulionao unatupeleka siko!
Mbowe analitumikia Taifa kwa wadhifa wa Mwenyekiti wa CHADEMANimepitia hotuba zake za kampeni mwaka 2005 wakati anagombea urais na kushuhudia madini na mipango mbadala ya maendeleo aliyoinadi.
Nabaki najiuliza ilikuwaje akarudi tena kugombea ubunge wakati hiyo level alishaipita?
Au yeye binafsi alivipima viatu vya Rais akaona havimtoshi?
Mungu wa mbinguni awabariki sana.
Maendeleo hayana vyama!
Bahati aliyoipata Rajoelina dj mwenzake wa miziki kupata urais wa Madagascar hawezi kuipata hapa bongo huyo mbaguzi wa kimachame.Nimepitia hotuba zake za kampeni mwaka 2005 wakati anagombea urais na kushuhudia madini na mipango mbadala ya maendeleo aliyoinadi.