Je, Freeman Mbowe ni Presidential material?

Je, Freeman Mbowe ni Presidential material?

Binafsi simuoni Bw Mbowe kama Presidential material. Actually hata ku run Wizara kama waziri pia ni mtihani unless iwe ndani ya mifumo kama ya CCM ambapo uwezo wa mtu hauna maana sana. Ni kujuana kimaslahi zaidi. Mbowe, Mimi kama fan wake, ANAFAA SANA kuwa kiongozi wa chama, Kiongozi wa Upinzani, Mbunge mwenye maarifa na zaidi mwanasiasa mwenye uthubutu wa hali ya juu aliyevaa ujana mwingi japo mzee, kiasi cha kuaminika kwa vijana wengi nchi hii na ndio sababu ya HOFU dhidi yake.

Pia ni mtu akiyekulia maisha yasiyojua njaa , haijui dhiki na ni mtoto wa mjini Dar sehemu nyeti na anajua siri nyingi mno za serikali. Ni sifa hizo Wanaomtesa ambao wao hawana background iliyoshiba kama ya Mbowe, wanamtamani aingie chamani kwao. Hilo ndilo linalofanya Mbowe aogopwe na watawala. Kwamba akiungana na mjanja wa hoja za ki predidential material mwingine kama Lowassa au Lissu ni disaster kubwa na hakika ya kuiondoa CCM iliyokufa madarakani. Ndio maana kesi hazipungui kwao.

Hii kesi ya sasa architect alikuwa mwendazake na kwa sababu hayupo, na Hangaya approach yake zaidi sio kuua, kuteka au kudhulumu itapatwa na natural death. Moyoni mwa Hangaya haitaki lakini iko iliasisiwa akiwepo serikalini na anatambua nguvu kubwa ya kimalengo iliyokuwa nyuma yake ambayo kwa sasa hana uhakika na consequence ya matokeo ya uamuzi wa aina yoyote. Hajui ateme au ameze. Viongozi wakuu wa vyombo vya dola waliosaidia kuliasisi ni walewale waliopo leo wakimlinda yeye Hangaya pia na who knows wanamwambia ukweli kiasi gani.
 
Nimepitia hotuba zake za kampeni mwaka 2005 wakati anagombea urais na kushuhudia madini na mipango mbadala ya maendeleo aliyoinadi.

Nabaki najiuliza ilikuwaje akarudi tena kugombea ubunge wakati hiyo level alishaipita?

Au yeye binafsi alivipima viatu vya Rais akaona havimtoshi?

Mungu wa mbinguni awabariki sana.

Maendeleo hayana vyama!

John, ebu kuweni kidogo walau kuheshimu kiti cha Urais, hivi kweli Div 0, form 6, na mtu asiyeruhusu demokrasia ndani ya chama chake na familia, yaani Chadema ni mali ya Mbowe na familia, awe Presidential material? Kweli? Does it make sense?
 
“Kwa kweli mbowe angepata nafasi ya kulitumikia taifa kwa wadhifa wowote angeacha alama kubwa sana”. -maoni ya baadhi ya watanzania.

Watanzania wameonesha kuchoka sasa na utawala wa CCM. Yapo maoni mengi kutoka hapa JF na kwingineko kama Twitter na Instagram kuonesha upenzi wao kwa mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe na kutamani aongoze nchi.

Kuna haja sasa watanzania kufanya mabadiliko makubwa kwani uongozi wa mazoea tulionao unatupeleka siko!
 
Imekuwaje sentensi ya mtu itumike kuwa maoni ya BAADHI ya watanzania?. Huko makao makuu chadema mnaelekezana kweli Cha kuandika humu?
 
Nimepitia hotuba zake za kampeni mwaka 2005 wakati anagombea urais na kushuhudia madini na mipango mbadala ya maendeleo aliyoinadi.

Nabaki najiuliza ilikuwaje akarudi tena kugombea ubunge wakati hiyo level alishaipita?

Au yeye binafsi alivipima viatu vya Rais akaona havimtoshi?

Mungu wa mbinguni awabariki sana.

Maendeleo hayana vyama!
Mbowe analitumikia Taifa kwa wadhifa wa Mwenyekiti wa CHADEMA
 
Nimepitia hotuba zake za kampeni mwaka 2005 wakati anagombea urais na kushuhudia madini na mipango mbadala ya maendeleo aliyoinadi.

Nabaki najiuliza ilikuwaje akarudi tena kugombea ubunge wakati hiyo level alishaipita?

Au yeye binafsi alivipima viatu vya Rais akaona havimtoshi?

Mungu wa mbinguni awabariki sana.

Maendeleo hayana vyama!
Bahati aliyoipata Rajoelina dj mwenzake wa miziki kupata urais wa Madagascar hawezi kuipata hapa bongo huyo mbaguzi wa kimachame.
Kwanza anatoka Kaskazini kwa watu ambao Nyerere alishawazuia kuchukua URAIS kutokana na ubaguzi wao. Labda Rais wa baa na madanguro yake.
 
Back
Top Bottom