johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Sio mroho wa madaraka. Baada ya kugombea 2000 na 2005, akaona apishe na wengine ambao walikuwa tayari kugombea.Nimepitia hotuba zake za kampeni mwaka 2005 wakati anagombea urais na kushuhudia madini na mipango mbadala ya maendeleo aliyoinadi.
Nabaki najiuliza ilikuwaje akarudi tena kugombea ubunge wakati hiyo level alishaipita?
Au yeye binafsi alivipima viatu vya Rais akaona havimtoshi?
Mungu wa mbinguni awabariki sana.
Maendeleo hayana vyama!
Lusinde, Msukuma, Babu Tale ndo presidential materialNimepitia hotuba zake za kampeni mwaka 2005 wakati anagombea urais na kushuhudia madini na mipango mbadala ya maendeleo aliyoinadi.
Nabaki najiuliza ilikuwaje akarudi tena kugombea ubunge wakati hiyo level alishaipita?
Au yeye binafsi alivipima viatu vya Rais akaona havimtoshi?
Mungu wa mbinguni awabariki sana.
Maendeleo hayana vyama!
Ingekuwa kuna tume huru hili swali tungelijibu lakini kwa sasa acha ibaki hivyoNimepitia hotuba zake za kampeni mwaka 2005 wakati anagombea urais na kushuhudia madini na mipango mbadala ya maendeleo aliyoinadi.
Nabaki najiuliza ilikuwaje akarudi tena kugombea ubunge wakati hiyo level alishaipita?
Au yeye binafsi alivipima viatu vya Rais akaona havimtoshi?
Mungu wa mbinguni awabariki sana.
Maendeleo hayana vyama!
Inategemea mawazo yako na mtu unayemtaka awe president wako. Hayo ni maoni yako na haki yako ingawa nina wasiwasi na hao uliowataja😄😄Lusinde, Msukuma, Babu Tale ndo presidential material
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Inategemea mawazo yako na mtu unayemtaka awe president wako. Hayo ni maoni yako na haki yako ingawa nina wasiwasi na hao uliowataja[emoji1][emoji1]
Kamuulize mama Salma aliyekuwa ikulu kwa miaka 10 lkn baadae leo hii ni mbunge wa mchingaNimepitia hotuba zake za kampeni mwaka 2005 wakati anagombea urais na kushuhudia madini na mipango mbadala ya maendeleo aliyoinadi.
Nabaki najiuliza ilikuwaje akarudi tena kugombea ubunge wakati hiyo level alishaipita?
Au yeye binafsi alivipima viatu vya Rais akaona havimtoshi?
Mungu wa mbinguni awabariki sana.
Maendeleo hayana vyama!
Basi tufanye Jah People ndiye residential material maana kila kitu kwa ccm kinawezekanaInategemea mawazo yako na mtu unayemtaka awe president wako. Hayo ni maoni yako na haki yako ingawa nina wasiwasi na hao uliowataja[emoji1][emoji1]
Kama ni hivyo basi kwa Mbowe leo hii kuwa na kesi za kisiasa siyo ajabu na akitoka huko anakuwa mkuu wa nchiMbowe anafanana kwa kitu na Baba yake Nyerere.
Watalazimishwa kuwepo na tume huru kupitia katiba mpyaIngekuwa kuna tume huru hili swali tungelijibu lakini kwa sasa acha ibaki hivyo
Ni mnafiki mkuu wa lumumba.Huu uzi umekaa kinafiki. Maana umeanzishwa na mtu mwenye tabia na hulka za kinafiki!
Periooood.Sio mroho wa madaraka. Baada ya kugombea 2000 na 2005, akaona apishe na wengine ambao walikuwa tayari kugombea.
Mbowe siyo mbinafsi,anachotaka ni mabadiriko na siyo uraisUbunge mtamu sana mkuu.pesa ya bwerere
Umemjibu vyema huyu MnafikiLusinde, Msukuma, Babu Tale ndo presidential material
Haiwezi kupatikana leo wala keshoWatalazimishwa kuwepo na tume huru kupitia katiba mpya
2000 Chadema walimuunga mkono Prof Lipumba.Sio mroho wa madaraka. Baada ya kugombea 2000 na 2005, akaona apishe na wengine ambao walikuwa tayari kugombea.
😆😆Basi tufanye Jah People ndiye residential material maana kila kitu kwa ccm kinawezekana