Je, funga ya Waislamu ni kula na kunywa tu?

Ili iweje!?..unawanunulia wewe chakula!?
 
Kama una watoto jiulize huwa unawalazimisha wakugeshimu au wanahiyari!?...yaani wanakuheshimu kwa kuwa unawapa mahitaji muhimu au wanakuheshimu kwa kuwa wanatakiwa kukuheshimu,wasipokuheshimu utachukua hatua gani?
Swali nililo uliza kutokana na maelezo ya mleta mada na maswali yako kuna uwiano wowote ?
 
safi sana mwalimu wengi tume kufahamu ila wachache tu wakina miujiza kawada yao kujitoa akili
 
huo ni msimu wakulima wa mihogo magimbi viazi wamesubilia mfungo kupiga hela hacha watu wanufaike uapo sema watu wanakula sana wafungaji hata wakala si wanakula .hela yao
 
Kipindi cha kuwapa likizo kidogo,wazinzi mashoga,wafiraji,wasengenyaji,mafisadi,waongo na washenzi kama hao,huku kikichangizwa na unafiki mwingi,ila baada ya hapo ni fungulia dog miezi 11 mbele,hizi dini zimejaa wanafiki wengi sana ndio mana kila siku zinapoteza mwitikio na umaana mbele ya wanao jitambua.

Dini ya kweli ni kutenda haki na kusaidia wahitaji,hizi zingine mbwembwe na unafiki tu.
 
[emoji120]
 
Mokiti swali lako limejibiwa huku
Ukweli ni kwamba mfungo wa Ramadan ni sherehe ya kula
Ndio maana uitaji wa chakula unakuwa mkubwa mno na price inapanda , ni kama waislamu wanashindana na sikuu za Christmas wanavyo waona wakristo mwezi mzima wanasherehekea ,

waislamu mwezi wa Ramadan wanachukua likizo makazini wanaingia kwenye madeni makubwa kisa kula sana

Shida kubwa inakuja kuvimbiwa chakula Cha kula usiku saa 10 tena umeshindilia Sana ili usisikie njaa mchana , ukikutana akicheua mavimbizi ni hatari
 
Punguzeni makasiriko kwenye comment imani yetu tunatelekeza jambo letu nyie mnaumia nini na eti wazinzi wanapumzika embu ona jinsi gani tunavyo uheshimu mwezi wetu inaezekana iyo kupumzika ikambadilisha moja kwa moja.
 

Sasa mwalimu inakuwaje kama funga ni kupunguza kula kwa ajili ya kutoa sadaka halafu kinyume chake uhitaji wa chakula unaongezeka mpaka bei inapanda!!!

Nilitegemea sababu waislam wanaacha kula asubuhi,mchana ila tu jion,bas vyakula vishuke bei maana watumiaji wamepungua???hii inakaaje.

Wachana na kwarezma maana hutakaa umsikie mkristo anakwambia nimefunga usile mbele yangu.
 

Maandazi,uji wa mhogo na ukwaju,chapati za maji,ubwabwa au tambi.futali ya mihogo na ndizi za nazi[emoji3063][emoji3063],hii ni 3 in 1 bado usiku.
 
M
MashaaAllah
Baraka Llahu Fiikum
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…