Tuitazame hii ni SUBARU forester wengi wanaijua kama gari za vijana ila sasa mawazo hayo naona yameanza kupotea baada ya kuja hii Forester ya 2007 na kuendelea mwanzo zilikuwa bei juu sana ila naona sasa zimeshuka,Utabili wangu ni kwamba kadri uhitaji unavyokuwa mkubwa bei hasa ya gari hupanda juu.
Nin maoni yako Harrier na kluger wajipange au bado haijakushawishi.
Nin maoni yako Harrier na kluger wajipange au bado haijakushawishi.